kalisheshe
JF-Expert Member
- Mar 19, 2020
- 2,064
- 4,056
Namuonea huruma ibembe siku akifurushwaKama ni kweli kocha Benchika anaondoka mwisho wa msimu, hakuna haja tena ya simba kutafuta kocha kutoka mbali au kocha mwenye rangi nyeupe.
Ibenge ni mmoja kati ya makocha wenye CV kubwa barani Africa, kinachomuongezea faida ni ubora wake katika kuwajua wachezaji na kulijua vyema soka la africa kwa hiyo kama simba sc mmepokea barua ya benchika kutaka kuondoka kubarini na kwa haraka
anzeni mazungumzo na Ibenge na kama mtafanikiwa muombeni aje na baadhi ya wachezaji wazuri.
Mkiukataa ushauri huu na kuwaleta kina cirkovic itakula kwenu tena.
Hamna kocha hapo hana mafanikio yoyote kwenye soka la Africa.Kama ni kweli kocha Benchika anaondoka mwisho wa msimu, hakuna haja tena ya simba kutafuta kocha kutoka mbali au kocha mwenye rangi nyeupe.
Ibenge ni mmoja kati ya makocha wenye CV kubwa barani Africa, kinachomuongezea faida ni ubora wake katika kuwajua wachezaji na kulijua vyema soka la africa kwa hiyo kama simba sc mmepokea barua ya benchika kutaka kuondoka kubarini na kwa haraka
anzeni mazungumzo na Ibenge na kama mtafanikiwa muombeni aje na baadhi ya wachezaji wazuri.
Mkiukataa ushauri huu na kuwaleta kina cirkovic itakula kwenu tena.
AS Vita hakuwahi kuvuka kwenda hatua ya robo fainali CAFCL.Kama ni kweli kocha Benchika anaondoka mwisho wa msimu, hakuna haja tena ya simba kutafuta kocha kutoka mbali au kocha mwenye rangi nyeupe.
Ibenge ni mmoja kati ya makocha wenye CV kubwa barani Africa, kinachomuongezea faida ni ubora wake katika kuwajua wachezaji na kulijua vyema soka la africa kwa hiyo kama simba sc mmepokea barua ya benchika kutaka kuondoka kubarini na kwa haraka
anzeni mazungumzo na Ibenge na kama mtafanikiwa muombeni aje na baadhi ya wachezaji wazuri.
Mkiukataa ushauri huu na kuwaleta kina cirkovic itakula kwenu tena.
Kabla hauja ongea kitu fanya utafitiHamna kocha hapo hana mafanikio yoyote kwenye soka la Africa.
Nina uhakika nilichokisemaKabla hauja ongea kitu fanya utafiti
Hahahahaha..nadhani watu mnajua tatizo mngewaambia na wengine tatizo ni niniUnafahamu tatizo la Simba ni nini, Kama ungefahamu usingemzungumzia Ibenge
Rs Berkane wamechukua ubingwa wakiwa na kocha gani?Nina uhakika nilichokisema
Nadhani itakua haumfahamu mtu anae zungumziwa hapo mkuu.Hamna kocha hapo hana mafanikio yoyote kwenye soka la Africa.
Najua amechukua ubingwa wa CAFCC akiwa na RS Berkane na fainali yenyewe alifika baada ya Mazembe kuonewa sana na Referee hapo Morocco.Rs Berkane wamechukua ubingwa wakiwa na kocha gani?
As Vita wamefika final wakiwa na kocha gani?
Mimi nafuatilia mpira kuliko wewe.Nadhani itakua haumfahamu mtu anae zungumziwa hapo mkuu.