Ni muda wa Simba SC kumchukua kocha Florent Ibenge

Nakuomba ujibu swali ?


Kishingo baada ya kuifikisha Simba robo fainali alienda timu kadhaa akazifukisha Hadi nusu fainali au umejifanya kusahau ?

Makocha wote ni Bora.
Kishingo alitoka akaenda AS FAR haikuwa kwenye mashindano ya kimataifa.

Baadae alipewa Wydad ambayo ilikuwa semi Final tayari akaipeleka fainali.

Didier Gomes Da Rosa kabla ya Simba alikuwa ameshafika fainali na Coton sport kombe la shirikisho lakini alishafika quaters na CS constatine.
 
CV ya kocha bika wachezaji ni sawa bunduki bila risasi!.
Timu inamtegemea "ati mgeni rasmi K D" mchezaji ana mechi 30+ kwenye msimu ana Gori moja?. Anazidiwa na jobe na Fred wamecheza dk chache lkn Wana magori zaidi ya moja.
Hata kama sijui Mpira siwezi kumwamini kibu hata kwa dk 30...
 
Tatizo la Simba ni wachezaji kutofundishika na kushindwa kutengeneza muunganiko, hata aje Mourinho atafeli tu!
 
ibenge simba hawawezi hata benchika alikubali shingo upende
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…