Mkurugenzi Wa Mashirika
Member
- Oct 23, 2022
- 97
- 99
Kumekua na utaratibu ambao unazilazimisha taasisi zote za serikali kuwatumia sekretarieti ya ajira kufanya mchakato mzima wa kuajiri kila wakati ambao taasisi hizo zinahitaji kuajiri.
Lakini mfumo huu una mapungufu makubwa sana.
Kwanza unachelewa sana kuajiri wafanyakazi wapya kwasababu taasisi zinaajiri wa kumsululu.
Kwa hiyo inabidi taasisi isubiri zamu yake ifike ndipo iweze kutangaziwa Tangazo lake either la kuajiri au kuita watu kwenye usaili au kuita watu kazini.
Lakini pia kuwaachia sekretarieti ya ajira waendelee kuajiri ni kuongeza gharama za kuajiri.
Mimi nilikua naona utaratibu ungerudishwa kama zamani tu. Kila taasisi iajiri yenyewe tu ili kurahisisha mchakato.
NAWASILISHA