Ni muda wakuziacha taasisi ziajiri zenyewe ili kuokoa muda wa kuajiri

Wachaga ndo wanaongoza kwa ukabila Tanzania ndo maana nimewatolea mfano ndo maana nyerere aliacha wosia wasipewe nchi.
Sasa kama hawapewi nchi, ina maana wao wametengwa, right? Sasa mbona tena unawatuhumu kwa ukabila? Mimi ninadhani Wachaga ndiyo wangetakiwa walalamike. Nani kakuambia mtu wa kabila lako akiwa rais, maisha yako yatakuwa bora?

Jiwe alikuwa rais, sawa; waalize ndugu zake walichofaidika nacho. Kama huna huna tu!
 
Sifa za wachaga kila mtanzania anazijua kama kuchafuka image ya wachaga ilishachafuka toka zamani hamkuchua hatua yoyote sasa hivi hamna mtu anayewaamini wachaga tena ukisikia watu wamepiga dili iwe serikalini au mtaani mchaga hakosi dada zenu ndio kabisa mzazi ukimwambia nimepata mchumba mchaga anashika kichwa image ya wachaga itaendelea kuwa kama ilivyo until further notice.
 
Unateseka Wachaga wakipiga dili! Pole yako masikini wa akili usiye na uwezo wa kupiga dili. Kama umekatazwa kumuoa Mchaga, tafuta kabila lingine, siyo lazima kuoa Uchagani. Maisha ni kuchagua. Usililie usivyovimudu. Tembea usawa wa kamba
 
Kumekua na utaratibu ambao unazilazimisha taasisi zote za serikali kuwatumia sekretarieti ya ajira kufanya mchakato mzima wa kuajiri kila wakati ambao taasisi hizo zinahitaji kuajiri.

Lakini mfumo huu una mapungufu makubwa sana.

Kwanza unachelewa sana kuajiri wafanyakazi wapya kwasababu taasisi zinaajiri wa kumsululu.

Kwa hiyo inabidi taasisi isubiri zamu yake ifike ndipo iweze kutangaziwa Tangazo lake either la kuajiri au kuita watu kwenye usaili au kuita watu kazini.

Lakini pia kuwaachia sekretarieti ya ajira waendelee kuajiri ni kuongeza gharama za kuajiri.

Mimi nilikua naona utaratibu ungerudishwa kama zamani tu. Kila taasisi iajiri yenyewe tu ili kurahisisha mchakato.

NAWASILISHA
Kijana unaandika vitu gani hivi... ??????

Ukiona hujajua Mambo uliza ueleweshwe sio kutoa hoja au ushauri au mapendekezo yenye kushusha heshima ya uelewa wako
 
Ni vyema ujenge hoja inayokinzana na nilicho kuandika ili tuelewe kwanini unakinzana na nilicho kiandika.
 
Kumekua na utaratibu ambao unazilazimisha taasisi zote za serikali kuwatumia sekretarieti ya ajira kufanya mchakato mzima wa kuajiri kila wakati ambao taasisi hizo zinahitaji kuajiri.

Lakini mfumo huu una mapungufu makubwa sana.

Kwanza unachelewa sana kuajiri wafanyakazi wapya kwasababu taasisi zinaajiri wa kumsululu.

Kwa hiyo inabidi taasisi isubiri zamu yake ifike ndipo iweze kutangaziwa Tangazo lake either la kuajiri au kuita watu kwenye usaili au kuita watu kazini.

Lakini pia kuwaachia sekretarieti ya ajira waendelee kuajiri ni kuongeza gharama za kuajiri.

Mimi nilikua naona utaratibu ungerudishwa kama zamani tu. Kila taasisi iajiri yenyewe tu ili kurahisisha mchakato.

NAWASILISHA
Sababu ya Serikali ya JK kuachana na mfumo wa kila taasusi kuajiri wenyewe ni masuala ya urasimu,upendeleo na matumizi mabaya ya fedha,taasisi zilikuwa zinaajiri pasipo kufuata muundo,pasipo kufiata ikama na bila uwazi,watu kama sisi tusio na ndugu mahala popote serikalini tusingewaza kama leo hii tungekuwa watumishi wa umma tena ktk vitengo vizuri,faida ulizozitaja ni ndogo kulinganisha na hasara ambazo imekuwa ikisababisha kwa serikali,by then ww uliyeomba ajira una guaranteee gani kama kazi uliyofanya usahili umepata mpaka uingie kiwewe cha kuona muajiri anakichelewesha kukuita kazini?? Muajiri anakuita kulingana na bajet yake atakapoona inafaa kukuita,unachojipa ni kihoro ambapo majibu yakitoka haupo utaanza kulialia tena kumbe uliboronga,cha muhimu ukifanya usahili sahau endelea na mambo yako,ukiitwa sawa usipoitwa sawa,kuwa na issue ya kifanya nje ya ajira,
 
Mm nilifanya interview utumishi mwaka 2015 july,nikaja kuitwa kazini 2017, nishasahauu na jina la taasisi niliyofanyia usahili,ila ndo uamuz wa muajiri,huwez kumpangia,wala huna mkataba naye lazima akuite kazini ndani ya siku 30,anaweza akafanya interview leo ila kesho akahamishiwa watumishi watatu wa nafasi yako,ana kuwa na ulazima gani wa kuharakisha kukuita mapema??
 
HUO MFUMO WA KILA TAASISI KUAJIRI HAUFAI BORA SEKRETERIATI WAENDELEE KUSIMAMIA SELECTION UNDUGULIZATION UMEPUNGUA LAKINI KILA TAASISI IKIAJIRI YENYEWE UNDUGULIZATION UTARUDI SASA IVI VYETI VYAKO VIKIWA VERIFIED NA WAKILI UNAITWA DODOMA BILA ZENGWE LABDA USHINDWE MWENYEWE TU INTERVIEW
 
Wachaga ndo wanaongoza kwa ukabila Tanzania ndo maana nimewatolea mfano ndo maana nyerere aliacha wosia wasipewe nchi.
Hebu tuwekee hapa huo wosia wa Nyerere akisema Wachagga wasipewe nchi iwe kwa audio, video au nukuu toka chanzo rasmi cha serikali ili na sisi tupate kuielewa vizuri hii falsafa ya Mwalimu.

Maana vingine mnamsingizia
 
Kumekua na utaratibu ambao unazilazimisha taasisi zote za serikali kuwatumia sekretarieti ya ajira kufanya mchakato mzima wa kuajiri kila wakati ambao taasisi hizo zinahitaji kuajiri.

Lakini mfumo huu una mapungufu makubwa sana.

Kwanza unachelewa sana kuajiri wafanyakazi wapya kwasababu taasisi zinaajiri wa kumsululu.

Kwa hiyo inabidi taasisi isubiri zamu yake ifike ndipo iweze kutangaziwa Tangazo lake either la kuajiri au kuita watu kwenye usaili au kuita watu kazini.

Lakini pia kuwaachia sekretarieti ya ajira waendelee kuajiri ni kuongeza gharama za kuajiri.

Mimi nilikua naona utaratibu ungerudishwa kama zamani tu. Kila taasisi iajiri yenyewe tu ili kurahisisha mchakato.

NAWASILISHA
Ili muwekane. Utumish wanajitahidi mpaka watoto wa maskini wanapata kazi. Heri kuchelewa kukawa na fair competition kuliko kuwekana kama ilivyokuwa
 
Hao wanaolalamika ni wale watoto waliokiwa wakimaliza shule wanapelekwa internship ofisini kwa babaake miaka hata mitatu ikitokea nafasi interview ya uongo na kweli inafanyika anapachikwa,ofisi unakuta ina Baba/Mama na watoto hapo hapo,wadogo,mashwmej etc,akija kiomgoz ameteuliwa anashindwa hata kujua aanzie wapi maana ofisi nzima ni connection,ukimgusa huyu kaoa pale,huyu mtoto wa huyu ili mradi vurugu,dawa yao ni utumishi kustrengthen mifumo,interview zote wapambane huko,mwenye bahati apate,na bado ikiamua inahamisha tu,ili mradi kuondoa kujuana sana na kuzoea ofisi!!
 
hujui unalo liongea, wewe
 
Mi nadhani ni Jambo zuri lakini kuwe na mechanism flani ya kuhakiki waajiriwa Wana sifa zinazohitajika kwa kila nafasi husika .... Itapenedeza ikiwa ni mechanism za kidijitali ambazo zitalink taarifa za muajiriwa taasisi za elimu alizopita n.k
 
Kumekua na utaratibu ambao unazilazimisha taasisi zote za serikali kuwatumia sekretarieti ya ajira kufanya mchakato mzima wa kuajiri kila wakati ambao taasisi hizo zinahitaji kuajiri.

Lakini mfumo huu una mapungufu makubwa sana.

Kwanza unachelewa sana kuajiri wafanyakazi wapya kwasababu taasisi zinaajiri wa kumsululu.

Kwa hiyo inabidi taasisi isubiri zamu yake ifike ndipo iweze kutangaziwa Tangazo lake either la kuajiri au kuita watu kwenye usaili au kuita watu kazini.

Lakini pia kuwaachia sekretarieti ya ajira waendelee kuajiri ni kuongeza gharama za kuajiri.

Mimi nilikua naona utaratibu ungerudishwa kama zamani tu. Kila taasisi iajiri yenyewe tu ili kurahisisha mchakato.

NAWASILISHA
Tatizo kujuana

Sent from my LM-Q730 using JamiiForums mobile app
 
Sekretarieti changamoto yake ni mchakato mrefu tu wa Interview na kupangiwa kwa vituo vya kazi ila somehow kwa kiasi kidogo inatoa hope kwa yule ambaye connectionless. Hapo uwali undugunization ndio ilikua tiketi
Siku hizi hamna undugu ?
 
Back
Top Bottom