ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
-
- #41
Kutoa ushauri ni jambo mojaYEAH SASA TOKEA HAPO HATA JAMBO LOLOTE KWA MTU YEYOTE NAKUBALI MITAZAMO HAIFANANI japo ukisema fact hata mtu apinge baadae litakuja kuonekana ilikuwa ni fact tu ......dogo nlikua nikimwambia fanya kazi 6 month nikupeleke shule upate fani...ujuaji leo after 8 month anarejea pale pale kwenye kwenda shule.....funzo kubali kutokukubaliana mpe mtu room agundue mbivu na mbiche mwenyewe in a hard way
Yes tujifunze kuheshimu mitazamo ya watu wengine bila kujenga chukiMambo ya kukubaliana kutokukubaliana .
Wala haisikitishiInasikitisha sana
Ni jambo zuri ila urahisi wake ni hapa mtandaoni ila uso kwa uso inakuhitaji uwe na emotionali intelligence kuweza kuhimili mtu anayekupinga kitu ambacho unahisi uko sawa .Yes tujifunze kuheshimu mitazamo ya watu wengine bila kujenga chuki
Muhimu mitazamo yao haileti madhara
After marriageIlikuwaje mpaka ukakubali kwamba watu tuna mitazamo tofauti, na kwamba hata iweje hatuwezi kufanana mawazo?
Hapa naongelea kujifunza kuheshimu mitazamo ya watu wengine, hasa ile yenye upande chanya na isiyoleta madhara kwa jamii
Kwa mfano, kuna mtu anaamini Mungu yupo, na mwingine anaamini hayupo
Huo ni mtazamo wake binafsi
Kuamini kwake hakupunguzii kitu wewe unayeamini, wala hakumuongezei kitu asiyeamini
Vivyo hivyo kwa mtu anayesema yeye ni team kataa ndoa
Huo pia ni mtazamo wake binafsi
Aoe au asiolewe, hilo haliathiri maisha yako moja kwa moja
Hii naweza kuiita mitazamo chanya, kwa sababu haina madhara kwa watu wengine
Lakini pia kuna mitazamo hasi ambayo watu wengi waliostaarabika wanaweza kuipinga kwa sababu inaweza kuharibu jamii Kuna baadhi ya mawazo ambayo, hata kama watu wamekubaliana wenyewe, bado yanaweza kuleta madhara kwa jamii ikiwa hayatakemewa
Mitazamo ya aina hiyo ndiyo mara nyingi huzua mjadala mkubwa kwa sababu athari zake zinaonekana zaidi kwenye maadili na malezi ya jamii
Leo nazungumzia zaidi ile mitazamo ambayo, hata mtu akiwa nayo, haimdhuru mwingine
Kwa hiyo hakuna haja ya kuchukiana au kulalamika sana kwa sababu tu mtu ameamua kuamini au kuishi tofauti na wewe
Mimi zamani, sijui ilikuwa ni utoto au uelewa mdogo nilikuwa naamini kwamba kila ninachoamini mimi basi na wengine wanapaswa kuamini hivyo hivyo😅
Kama sipendi kitu fulani nilitaka hata mtu niliye karibu naye asikipende
Lakini baadaye niligundua kwamba hilo haliwezekani
Kwenye maisha tunakutana na watu waliokulia mazingira tofauti, tamaduni tofauti, na malezi tofauti
Kwa hiyo ni kawaida kabisa watu kuwa na mitazamo tofauti
Baada ya muda nikajifunza kwamba sina uwezo wa kubadilisha kila mtu ili awe kama mimi
Badala yake, ni bora kutafuta watu ambao tunaendana kitabia na kimawazo kuliko kutumia nguvu nyingi kuwalazimisha watu wabadilike wawe kama mimi
Maana mwisho wake unaweza kujikuta unaishi kwa hasira, chuki, na maumivu kwa sababu watu hawajawa vile ulivyotaka wawe
Je, wewe ilikuchukua muda gani kujifunza kuheshimu mawazo na mitazamo ya watu wengine, bila kuwaona hawana akili, bali kwa kutambua tu kwamba binadamu hatufanani?
ShesRise_1 🖐
Huko kwenye kuzijadili lazima watu waumie. Misimamo ya watu ni utambulisho wao.Wewe mpka saivi hujaelewa mada kuna tofauti ya mtifuano na kuweka hoja mezani na kuzijadili
Bila mmoja kuvuka mipaka na kuanza kumtoa akili mwingine
Urahisi ni hapa mtandaoni na physically ni rahisi piaNi jambo zuri ila urahisi wake ni hapa mtandaoni ila uso kwa uso inakuhitaji uwe na emotionali intelligence kuweza kuhimili mtu anayekupinga kitu ambacho unahisi uko sawa .
🤝Huko kwenye kuzijadili lazima watu waumie. Misimamo ya watu ni utambulisho wao.
Utaelewa tu siku moja.
Mkuu wangu ShesRise_1 sikatai ila inataka moyo sana mshikaji wangu japo mimi naweza sasaUrahisi ni hapa mtandaoni na physically ni rahisi pia
Usilazimishe watu wasiokuelewa wakuelewe
hiyo kutaka watu wahisi uko sawa kilazima ndio kosa linaponzia
Chukua wale wanokuelewa nenda nao hao wengine ambao mitazamo haifungamani na yako achana nao
Ilikutana na nini mpka kubadili mtazamo?After marriage
Yes inaweza kua ngumu mwanzoniMkuu wangu ShesRise_1 sikatai ila inataka moyo sana mshikaji wangu japo mimi naweza sasa
NakubaliYes inaweza kua ngumu mwanzoni
Lakini ukiweza unaishi kwa amani sana
Kwa nini unajali, kusumbuka au kukosa amani mtu akiwa shoga au msagaji?Wewe ni Liberals
Ila hapo kwenye ushoga🤔
Subiri hapo hapo nawaza jibu la kukupatiaKwa nini unajali au kukosa amani mtu akiwa shoga au msagaji?
Unaamini katika Mungu?Kwa nini unajali, kusumbuka au kukosa amani mtu akiwa shoga au msagaji?
Mm nmesikitika 😎Wala haisikitishi
Utajijuu😅Mm nmesikitika 😎
ShesRise_1 fvckin world 🤣🤣Intelli fvckin world
Haiwezi ku rhyme pamoja 😅ShesRise_1 fvckin world 🤣🤣