Ni muhimu Kuheshimu mawazo ya wengine bila chuki!

Unaamini katika Mungu?
ili nijue nakujibu kwa muktadha upi
Usinijibu katika muktadha wa mungu kwa sababu hata mapenzi kabla ya ndoa ni kinyume na maandiko ya Ukristo na Uislamu ila boyfriend au girlfriend wanaofanya ngono ni mtindo wa kawaida wa maisha katika jamii nyakati hizi.

Huwa kuna maandamano ya kupinga ushoga.
Llini uliwahi kusikia kuna maandamano ya kupinga uasherati au zinaa? Lini uliwahi kusikia mwanasiasa wa Tanzania anatokea povu akizungumza dhidi ya uasherati, uzinzi au cheating?
 
Nimetafuta jibu litakalokutosha wee nimekosa aisee ila
Binafsi sivutiwi na mapenzi ya jinsia moja kwa sababu naona yako kinyume na natural kwangu

Si kitu kinachonivutia kuona au kuhisi et mwanaume anapelekewa moto😒

Naona hayalingani na namna natural ilivyo kwangu ndiyo maana hayanivutii binafsi
Usinijibu katika muktadha wa mungu kwa sababu hata mapenzi kabla ya ndoa ni kinyume na maandiko ya Ukristo na Uislamu ila boyfriend au girlfriend wanaofanya ngono ni mtindo wa kawaida wa maisha katika jamii nyakati hizi.
 
BingwaaπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Ila itachukua myaka kama ile tena kuchukua mda huo una mjukuu tayaliπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
Nishakwambia ikizidi 2 yrs, kuna jambo gani .

Halafu mjukuu ndani ya miaka 2, kawa mdoli au πŸ˜…
 
Ni kwe
Ni kweli kuna mtu anaunga mkono ccm,huo ni mtazamo wake hakuna haja ya kumtukana na kumwita chawa,kuna mtu anaunga mkono chadema pia huo ni mtazamo wake hakuna haja ya kumchukia.Hivyo ndivyo dunia ilivyo
 
Concervative hao ni kisanga
 
Sina shida na wewe kuvutiwa au kutovutiwa na ushoga, hata mimi sivutiwi nao lakini sijali kwa sababu ni maisha yao waliyochagua. Mfano mimi pia sivutiwi na vazi la niqab au burqa lakini sijali, siwezi kutokwa na povu au kuandamana dhidi yake. Ishu ni kwa nini uanze kuhangaika na jambo ambalo alikuhusu au kukuathiri hadi utunge sheria za jinai, watu wafanye maandamano na iwe ajenda kubwa kila mahali?!
 
Ni kwe

Ni kweli kuna mtu anaunga mkono ccm,huo ni mtazamo wake hakuna haja ya kumtukana na kumwita chawa,kuna mtu anaunga mkono chadema pia huo ni mtazamo wake hakuna haja ya kumchukia.Hivyo ndivyo dunia ilivyo
Kwenye siasa za vyama vingi lugha zinazoonekana ni za kejeli, dhihaka na matusi ni vitu ambavyo haviwezi kukwepeka(kwa sababu pia ni subjective sana) na hivyo pia havipaswi kuwa jinai ila utekaji na mauaji ni vitu vinavyoweza kuepukika.
 
Mawazo yanguπŸ€”πŸ™‡πŸΏβ€β™‚πŸ™†πŸΏβ€β™‚
 
Hapa nakosa cha kujibu mkuu
Ni hatari mambo mengine tuache tu kama yalivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…