Scott junior
JF-Expert Member
- Mar 24, 2022
- 3,705
- 5,540
Sipo hivyoπ π π labda unaacha kushambulia hoja/mada zao una mu attack yeye binafsi
fire π₯π₯π₯Kama Ayatollah wa JF π.
Basi wapuuzeSipo hivyo
Hawa ndio wale ng'ombe wa kijaniConservatives wao wanaamini binadamu wote wanatakiwa kuwa na mawazo ya aina moja na hawana uvumilivu kabisa na mawazo tofauti.
Kumbe we mhusika hufahamu π€£π€£ kashesheNimekuwaje tena? Mbona sina habariππ½ββοΈ
Mambo yanashangaza sana humuπKumbe we mhusika hufahamu π€£π€£ kasheshe
Kila neno neno πMambo yanashangaza sana humuπ
Sawa ngoja ajeπ
Nimekuwaje tena? Mbona sina habariππ½ββοΈ
Kuelewa nini tena mdogoβetu?
Yote sawa, ila kuvumilia mashoga wakati Kuna watoto wa kiume nalea Hapana aiseeHembu nipimie Niko spectrum gani kwa kuzingatia haya;
Sipendi dini kutumika ku control watu au jamii, sijali wanawake wanavyovyaa, sijali mtu akiwa au asipokuwa shoga, sipendi mtu akijenga hoja kwa mambo ya nchi nzima kwa kusema hizi ni "mila na tamaduni zetu"
Maana ya Kumpa nonino, BrotherKuelewa nini tena mdogoβetu?
Nakujua umejitosheleza sana! Hebu malizana naye!Maana ya Kumpa nonino, Brother
Kama usingekuwa na watoto wa kiume unaolea ungewavumulia?Yote sawa, ila kuvumilia mashoga wakati Kuna watoto wa kiume nalea Hapana aisee
Wavulana hawafai kuwa karibu na mashoga kabisa kabisa
Kuna mstari mdogo sana kufanya mvulana kuwa demu kama mama yake