Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapana co muhimu kuwa na laptop lakini desktop ni muhimu sana usiache.
hawa tusiwatukane,dawa yao ipo jikoni......ushauri kama huo ni wa nguv za giza
hapana co muhimu kuwa na laptop lakini desktop ni muhimu sana usiache.
Muhimu kama unasoma kozi hizi hapa 1.engineering 2.law 3.medicine 4.architecture 5.accounting&finance,, zaidi ya hapo nunua labda ya kulogin facebook
Itakuwezesha hata kuifadhi vitabu
Hahahahaa mpigamsuli you are very funny....kwahiyo mi na banking and finance yangu nikinunua ni ya kulog in facebook tu???
wakuu nisaidieni kwenye hili jambo,ni lazima niwe na pc nitakapoanza masomo chuoni?