ni muhimu kuwa na laptop kwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza?

ni muhimu kuwa na laptop kwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza?

ASUS X53E
Processor:Intel core i5 2.4GHZ
RAM:6GB
HDD:640
Screen:15.6"
OS:WIN7HP
Bei ni laki 8 tu.
Ni pm kama unahitaji.
 
there was some errors,,, so sorry for any inconvenience, remember its negotiable!
 
Nunua Laptop ili Boom likichelewa unaweka bond kupata sahani ya wali mabibo mtu anaokolewa na chake!
 
Muhimu kama unasoma kozi hizi hapa 1.engineering 2.law 3.medicine 4.architecture 5.accounting&finance,, zaidi ya hapo nunua labda ya kulogin facebook

we huna akili ndo mana unapiga msuli sana. Ina maana wanaosoma koz tofauti na hizo hawastahil kutumia laptop?

Coments zako nying ziko hasi zaidi.
 
Jamaa katoka jkt na upara kichwani demu wake anamuuliza baby kichwani umefanyeje?
 
ASUS X53E
Processor:Intel core i5 2.4GHZ
RAM:6GB
HDD:640
Screen:15.6"
OS:WIN7HP
Bei ni laki 8 tu.
Ni pm kama unahitaji.

bila ubishi hiyo kitu ni kali lakini tatizo beiiiiiiiiiiiiii
 
wakuu nisaidieni kwenye hili jambo,ni lazima niwe na pc nitakapoanza masomo chuoni?




Inategemeana na wewe mwenyewe kwani wengine wanatumia PC kwa ajili ya kurekodi sinema za X na wapenzi wao huko mashuleni na mitaani ili wauze na kupata hela za matumizi. Wewe unataka kuitumia kivipi hiyo PC yako?
 
Back
Top Bottom