ni muhimu kuwa na laptop kwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza?

ni muhimu kuwa na laptop kwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza?

Kabla ya kuja kwa laptop hao waliopita ambao ndio walikuwa wasomi hasa walitumia nini? sio nyinyi wa fb,twtter,instagram,rahatupu,harusi yangu n.k
nendeni library nyie mazezeta mkapekue vitabu vinachakaa tu kule,acheni kusimplify mambo muongeze uwezo wa kufikiri!

Uvivu tu na kupenda anasa!
 
wakuu nisaidieni kwenye hili jambo,ni lazima niwe na pc nitakapoanza masomo chuoni?

Inategemea na Kozi unayoenda kusoma. Pia, inategemea Quality ya Library ya chuo husika, maana kuna baadhi ya vyuo vina comp. kwa ajili ya wanafunzi so unaweza kuamua kutokuwa nayo.

Ila kama wewe unsukumwa na fassion kazi unayo subiri kuumia roho. Lkn kwa ninavyojua ni mapema sana kuwa na Laptop mwaka wa kwanza kwani hujajua mazingira ya chuo vizuri na Hata usalama na ukumbuke mara nyingi 2nd year na kuendelea wakiwaona 1st year huwa wanatake advantage ya kuwaibia- (kwa wale wenye tabia ya wizi)

c.cdonMramba
 
faculty zote inaitajika laptop ila kasoro L,LB samahani mpgamsuli

oil sumu Ni kweli hawa hawahitaji Laptop saaana kwa sababu wao wanachamber yao yenye vitabu(kwa pale udsm-ground floor) ambavyo huwa wanafanya reference ya Case mbali[SUP]2[/SUP] pia hata Lecture zao si za Power point presentation ni Hard copy kwenda mbele kwa hiyo hakuna suala la Kuomba Slide notes.
 
Muangalie hata hujui sheria inavyosomwa??, kichwa chako kitupu hujui hata sheria moja! , unajua tanzania law reports?
 
Muangalie hata hujui sheria inavyosomwa??, kichwa chako kitupu hujui hata sheria moja! , unajua tanzania law reports?

ni publicatn contain judgments from
the High Courts of Tanzania
and Zanzibar and the
Appeal Court of Tanzania
from the period 1983 to
1997. Also included are a
list of reported cases, a full
digest of cases reported,
East African cases judicially
considered, foreign cases
judicially considered,
legislation judicially
considered and words and
phrases judicially
considered. The
1998/1999/2000 law
reports are currently in
production.
 
ni publicatn contain judgments from
the High Courts of Tanzania
and Zanzibar and the
Appeal Court of Tanzania
from the period 1983 to
1997. Also included are a
list of reported cases, a full
digest of cases reported,
East African cases judicially
considered, foreign cases
judicially considered,
legislation judicially
considered and words and
phrases judicially
considered. The
1998/1999/2000 law
reports are currently in
production.

Badoooo sijaona mkuu
 
Inategemeana na wewe mwenyewe kwani wengine wanatumia PC kwa ajili ya kurekodi sinema za X na wapenzi wao huko mashuleni na mitaani ili wauze na kupata hela za matumizi. Wewe unataka kuitumia kivipi hiyo PC yako?

ni kwaajili ya kujisomea joh
 
Kabla ya kuja kwa laptop hao waliopita ambao ndio walikuwa wasomi hasa walitumia nini? sio nyinyi wa fb,twtter,instagram,rahatupu,harusi yangu n.k
nendeni library nyie mazezeta mkapekue vitabu vinachakaa tu kule,acheni kusimplify mambo muongeze uwezo wa kufikiri!

Uvivu tu na kupenda anasa!

sio uvivu joh ndo kukua kwa teknolojia
 
Dogo nakuombea maishaa marefu, ili kitaa kikufunze upate adabu maana una nyodo sana!

hahhahahahaha sivyo jama ,mpigamsuli ndo nataka ajibu hili.....hayo na majungu tu kwa mpiga msuli usichukulie serious joh
 
Back
Top Bottom