ni muhimu kuwa na laptop kwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza?

Me naona nunua simu yenye uwezo wa PDF na internet ya 3G zen huku ukijichanga
 
Muhimu kama unasoma kozi hizi hapa 1.engineering 2.law 3.medicine 4.architecture 5.accounting&finance,, zaidi ya hapo nunua labda ya kulogin facebook

Hahahahaa mpigamsuli you are very funny....kwahiyo mi na banking and finance yangu nikinunua ni ya kulog in facebook tu???
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…