Jamaa katoka jkt na upara kichwani demu wake anamuuliza baby kichwani umefanyeje?
mbna upo nje ya mada bro yan we kila muda unawaza wanawake tu
wakuu nisaidieni kwenye hili jambo,ni lazima niwe na pc nitakapoanza masomo chuoni?
faculty zote inaitajika laptop ila kasoro L,LB samahani mpgamsuli
oil sumu Ni kweli hawa hawahitaji Laptop saaana kwa sababu wao wanachamber yao yenye vitabu(kwa pale udsm-ground floor) ambavyo huwa wanafanya reference ya Case mbali[SUP]2[/SUP] pia hata Lecture zao si za Power point presentation ni Hard copy kwenda mbele kwa hiyo hakuna suala la Kuomba Slide notes.
Muangalie hata hujui sheria inavyosomwa??, kichwa chako kitupu hujui hata sheria moja! , unajua tanzania law reports?
ni publicatn contain judgments from
the High Courts of Tanzania
and Zanzibar and the
Appeal Court of Tanzania
from the period 1983 to
1997. Also included are a
list of reported cases, a full
digest of cases reported,
East African cases judicially
considered, foreign cases
judicially considered,
legislation judicially
considered and words and
phrases judicially
considered. The
1998/1999/2000 law
reports are currently in
production.
Badoooo sijaona mkuu
Inategemeana na wewe mwenyewe kwani wengine wanatumia PC kwa ajili ya kurekodi sinema za X na wapenzi wao huko mashuleni na mitaani ili wauze na kupata hela za matumizi. Wewe unataka kuitumia kivipi hiyo PC yako?
Kabla ya kuja kwa laptop hao waliopita ambao ndio walikuwa wasomi hasa walitumia nini? sio nyinyi wa fb,twtter,instagram,rahatupu,harusi yangu n.k
nendeni library nyie mazezeta mkapekue vitabu vinachakaa tu kule,acheni kusimplify mambo muongeze uwezo wa kufikiri!
Uvivu tu na kupenda anasa!
Mambo dear. Leo utakuja tena pande hizi...mmekumiss mwaya!..laptop ya nn na wewe jaman.....kusoma bongooo...ntumie vocha basi simu yangu haina crdt
unajua alimjibuje?
oooh baby nimefunga sola kichwani men...!!
usiseme hujaona we admit tu hujaelewa mambo yaishe bhaana
hahahaha mi ntasomaje kesi za miaka ya giza wewe.....