Ukiongelea taaluma ya Computer LAZIMA ujue kuandika lugha ya Computer (coding). Hiki chuo cha UDSM nina wasiwasi kila kitu wanafundisha nadharia tu (theory) hata katika taalum ambazo tunategenea wahitimu wawe wameiva kivitendo. Taaluma za uhandisi (engineering) wanaweza kujificha katika kivuli cha taasisi wanazofanyakazi kiasi kwamba wanaweza kuwa wanabebwa kwavile wanakuta taasisi au kampuni tayari imesimama inafanyakazi na wao tiamajitiamaji wanaibia na kukalili na mwisho wa siku wanajimwambafai. Sasa katika tasinia ya computer huwezi kudanganya. Sasa naomba (KWA USHAHIDI), muhitimu yupi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kahitimu anajua kuandika lugha ya computer (coding) na aje hapa na ushahidi wa kazi alizozifanya na jinsi ambavyo jamii tunajua na anaishi kwa taaluma hiyo. Mimi wengi ninaowajua kwenye coding wamejifunzia nje ya Tanzania. Nasema hivyo, tusijekuwa tunapeleka vijana wetu tukidhani watasaidika kumbe wanaenda kulishwa theories na mwisho wa siku wanaishia mtaani kama taaluma nyingine za Art! Kama kuna wataaluma wa UDSM ebu njoo mtuambie pia!
{Are you a coder?"yes, & wahitimu wa udsm tupo wengi tunaojua code":"...."}
kuna hii kitu nimeiona kwa ma Simp wengi kwamba wana lalamikia institution kwa hli na lile, but for what i can say is mtu ukifika level ya chuo it means that, almost everything you need and hopping for, you have to fight for it, hii sio kama zile level mtu yuko primary au secondary anashikiwa fimbo ajifunze kitu flan mpaka akijue, thats totally inverse na chuo,
kwa pale udsm tunafundishwa coding na practial sessions zipo,chuo kina provide execellent enviroment and resources kwa wanafunzi ikiwemo Internet, hubs and laboratories,Pia vile vile chuo kinaruhusu pawepo na ievents zinazo inspire vijana kuwa innovators such events kuna hackerthons, smartgirls/girl-can-code and etc. also kuna times tunaambiwa tutengeneze projects zinazohusisha coding, hence chuo kama chuo kinakua kishafanya kaz yake,.
Tuchambue somo la tehama.. kwa nchi yangu ya Tanzania ukimwambia mtu unasomea somo la computer basi ye direct anajua ww ni hacker au coder but mostly wengi wana assume ww n hacker...which is not true..IT as computer subject field iko na branches nyingi, nyingi sana ambazo mwanafunzi anaweza chagua n nn a specialize..kuna wanakuja kua ma Analyst, kuna wanakuja kua ma project managers, graphics designers, data scientists, network managers and etc..
Tuje kwenye Coding..coding is like mathematics ni kitu isio kubali kilamtu it means n kitu ya wachache, Also coding hu change lifestyle ya mtu na ina side effects nyingi since coders tunatumia mda mwingi tukichoma macho kwenye screen za computer, coding is tough sio kitu rahisi ya kufanya watu walalamikie wanafunzi kutokujua coding...characteristics za ma coder is that, almost ma coder wote n ma weirdos, ani huaga hawana time ya kula bata, coders kills even chances ya ku spend time na family....
The way i see it, is people should stop with there wishful thinking ya kwamba wanaosoma somo la Tehama ni lazma waje kua hacker au coder... since there are so many IT fields which can be smoothly learnt and mastered.. please stop blaming the university and the students be positive.