kipenseli2021
JF-Expert Member
- Jul 17, 2021
- 1,390
- 1,431
Ai
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Programming ni juhudi binafsi za mtu ,kiufupi kwa ulimwengu wa sasa hasa huko tunapoelekea mtu ambaye ni kilaza kwenye programming Hana tofauti na mtu asiye jua kusoma na kuandika.Asante! Natafuta watu kama nyie!
Not only programming but also other skills on Earth. Hata music, kuchora nk vinatakiwa kutolewa ktk umrii mdogo. Wanafalsa waliweka elimu ya msingi ili iwe msingi wa kila jambo utakalojifunza baadae.Same applied here, Programming si ya kuisoma ukiwa ushakomaa akili kupitiliza utapasuka kichwa, ile inatakiwa iwe ni culture yake
"It is dead career" in future accirding to Nvidia CEO. Why ? because programming will be human language like english !, that means every human will know how to code just because programming will be automated.Programming
Kuna fani chache zitaendelea kubamba huku tunapoelekea hasa nchi za wenzetu ingawa fani nyingi kweli zitakuwa irrelevant kadiri AI nà technologies mpya zinavyokuja kwa kasi na kureplace watu ,watu wanaokuwa involved kwenye designing na maintenance ya vitu kama humanoid robots na automated systems nk , maintenance kazi lazima zifanywe na skilled human beings , watu wa mechanics , electrics nk"It is dead career" in future accirding to Nvidia CEO. Why ? because programming will be human language like english !, that means every human will know how to code just because programming will be automated.
Kamsikilize vizuri huyo jamaa japo ni maneno ya kinabii inaweza kutokea au isitokee. Kwa hio mtu yeyote anaedhani programmming will be big deal anakuwa hafuatilii tech inakoelekea.
Kwa hio skill nyingi sana zitakabiliwa na changamoto wakati ujao. Hakuna guarantee ya skills tunazowapa watoto wa sasa zitakuwa applicable miaka 10 ijayo.
Imagine AI ndani ya mwaka mmoja wa uzinduzi wake isha wipe out baadhi ya kada, what about 10years to come ?
ni kweli ila hatuna guarantee.Unsona jinsi siku hizi elimu haimpi mtu 100 ya kazi. Competition ni kubwa sana nafasi ni chache.Kuna fani chache zitaendelea kubamba , unafikiri watu wanaokuwa involved kwenye designing na maintenance ya vitu kama humanoid robots na automated systems , maintenance kazi.a ifanywe na skilled human beings , watu wa mechanics , electrics nk
Leta hapa ushaidi! Inbox nikafanye nini mimi ni "me"Usikariri ndugu, zama zimebadilika. Vijana wapo vizuri, kama ukitaka kufanya nao kazi njoo inbox nikupatie, utakuja kuufuta uzi huu. Ila uwalipe vizuri.
Yah !ni kweli ila hatuna guarantee.Unsona jinsi siku hizi elimu haimpi mtu 100 ya kazi. Competition ni kubwa sana nafasi ni chache.
Kwa hio wenye exceptional nfio wataokula baya average people watapata tabu.
Kwa taarifa yako Roboti atafanya mambo mengi tunacyofanya kasolo emotional behavior.
Robot ataweza kuzalisha hadi electronic chip sembuse kufungua enjini.Ile ni AI tena zitaweza kuperform zaidi ya human.
Mbona Maxence Melo anajua mambo ya codingUkiongelea taaluma ya Computer LAZIMA ujue kuandika lugha ya Computer (coding). Hiki chuo cha UDSM nina wasiwasi kila kitu wanafundisha nadharia tu (theory) hata katika taalum ambazo tunategenea wahitimu wawe wameiva kivitendo. Taaluma za uhandisi (engineering) wanaweza kujificha katika kivuli cha taasisi wanazofanyakazi kiasi kwamba wanaweza kuwa wanabebwa kwavile wanakuta taasisi au kampuni tayari imesimama inafanyakazi na wao tiamajitiamaji wanaibia na kukalili na mwisho wa siku wanajimwambafai. Sasa katika tasinia ya computer huwezi kudanganya. Sasa naomba (KWA USHAHIDI), muhitimu yupi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kahitimu anajua kuandika lugha ya computer (coding) na aje hapa na ushahidi wa kazi alizozifanya na jinsi ambavyo jamii tunajua na anaishi kwa taaluma hiyo. Mimi wengi ninaowajua kwenye coding wamejifunzia nje ya Tanzania. Nasema hivyo, tusijekuwa tunapeleka vijana wetu tukidhani watasaidika kumbe wanaenda kulishwa theories na mwisho wa siku wanaishia mtaani kama taaluma nyingine za Art! Kama kuna wataaluma wa UDSM ebu njoo mtuambie pia!
Unaweza kakaHyo coding nikikomaa nayo miaka mitatu mwenyew gheton swez kuwa mtaalamu bila chet?
Acha nijoin teamtreehouseUnaweza kaka
✔️✔️🤜🤛Mwisho nikakwambia, haijalishi umesoma wapi, programming ni passion kama huna passion nayo huwezi kuwa programmer mzuri.
Toka zako unaongea ujinga mtupu kazi fuata nyumbu wenzioWee vip? Si unyamaze?
Kama unataka vitu ambavyo vinatmika practically, ni vingi sana ila walau kwa uchache tembelea hapa upate kujua developers wamefanya nini:Leta hapa ushaidi! Inbox nikafanye nini mimi ni "me"
Wewe jamaa banaUkiongelea taaluma ya Computer LAZIMA ujue kuandika lugha ya Computer (coding). Hiki chuo cha UDSM nina wasiwasi kila kitu wanafundisha nadharia tu (theory) hata katika taalum ambazo tunategenea wahitimu wawe wameiva kivitendo. Taaluma za uhandisi (engineering) wanaweza kujificha katika kivuli cha taasisi wanazofanyakazi kiasi kwamba wanaweza kuwa wanabebwa kwavile wanakuta taasisi au kampuni tayari imesimama inafanyakazi na wao tiamajitiamaji wanaibia na kukalili na mwisho wa siku wanajimwambafai. Sasa katika tasinia ya computer huwezi kudanganya. Sasa naomba (KWA USHAHIDI), muhitimu yupi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kahitimu anajua kuandika lugha ya computer (coding) na aje hapa na ushahidi wa kazi alizozifanya na jinsi ambavyo jamii tunajua na anaishi kwa taaluma hiyo. Mimi wengi ninaowajua kwenye coding wamejifunzia nje ya Tanzania. Nasema hivyo, tusijekuwa tunapeleka vijana wetu tukidhani watasaidika kumbe wanaenda kulishwa theories na mwisho wa siku wanaishia mtaani kama taaluma nyingine za Art! Kama kuna wataaluma wa UDSM ebu njoo mtuambie pia!
Kama "source code" ni yenu hapo sawa lakini kuna wengi wanadownload free website na kuzicustomize kwa kuongeza templates na plugins, etc like WordPress, joomla, etc. Ukiwapa task kwamba nitengenezee for example "real-time apps ya kuonyesha traffic jams na kunipa alternative route nipite wapi" utaanza: eeeeh! "you know ....." this is complicated ......" 😂😂😂Kama unataka vitu ambavyo vinatmika practically, ni vingi sana ila walau kwa uchache tembelea hapa upate kujua developers wamefanya nini:
UDSM DHIS2 LAB – Digital Innovation for Sustainable Development
dhis2.udsm.ac.tz