More Chances
Senior Member
- Jun 24, 2022
- 151
- 344
Jitahidi kua creative usitegemee kua ajiriwa mkuu, hata walio ajiliwa wanalia hali ngumu.Kwa niaba ya Graduators wote wa Degree za ualimu kuanzia 2017,2018,2019, tunakuomba mheshimiwa Rais Dr Samia na mamlaka zote zilizopo chini yako zinazo deal na ajira za walimu ikikupendeza tunaomba utumalize wote tuingie kwenye ajira , maana uzee unagonga hodi na sisi hatujaonja keki ya taifa na tuna familia zinatutegemea wazazi wanaona wametupa hela zao kutusomesha.
hao nao bado wapoUmesahau wa 2016
Dah aseeUmesahau wa 2016
Mungu hajakuleta duniani uogope uzee😂😂.Uzee ni stage tu mojawapo ya maisha... Bakhresa ni mzee lakini ndio tajiri namba moja Tanzania. So live your life,mtegemee Mungu atafanya kwa wakatiMaana uzee unagonga hodi
AmeenMungu hajakuleta duniani uogope uzee😂😂.Uzee ni stage tu mojawapo ya maisha... Bakhresa ni mzee lakini ndio tajiri namba moja Tanzania. So live your life,mtegemee Mungu atafanya kwa wakati
We acha tu mtaani up and down ni nyingiMkuu miaka 7 kitaa na bado una hamu na ajira? Tena za uwalimu? Aisee
Uwe mwaka wako wa kufosi mkuu....pambana usiogope chochote..We acha tu mtaani up and down ni nyingi
Point ya muhimuIs it graduators or graduates?
Mkuu jichanganye hata kwenye ufundi, usisubiri ajira za watu 1000 kwa mwaka
Sio kwamba sijichanganyi, ningekuwa sijichanganyi ningeishije sasa hapa naongelea ajira , sio kwamba nipo jobless ila nataka ajira ya serikaliJaribu kutafuta shule za binafsi au anzisha hata "twisheni",kuna watu wamesema hapo juu kuwa jichanganye hata kwenye ufundi
Point ya muhimu
Point ya muhimu
nenda google katafute meaning ya graduators acha kujifanya much knowPoint ya muhimu
Kwani umeambiwa hatufanyi mishe zingine?Unasomea ualimu unategema kuajiriwa serikalini?
Jichanganye huo muda unaosubiri fanya mishe zingine
Umri haukusubiri na muda huwa haurudi nyuma