Voice of Tanzania
JF-Expert Member
- Sep 23, 2018
- 2,036
- 3,107
Very sad😢Ndio ni sawa ila utajiskiaje kuona watu wa 2020 wameajiriwa na wa 2017 wameachwa kwa masomo yaleyale
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Very sad😢Ndio ni sawa ila utajiskiaje kuona watu wa 2020 wameajiriwa na wa 2017 wameachwa kwa masomo yaleyale
Ajira Serikalini si umesikia Waziri wa TAMISEMI amesema wataajiriwa wenye maksi za juu,wanaangalia ufaulu kwanza,kwa hiyo jiangalie GPA yakoSio kwamba sijichanganyi, ningekuwa sijichanganyi ningeishije sasa hapa naongelea ajira , sio kwamba nipo jobless ila nataka ajira ya serikali
Hawa vijana wa ualimu ni kama wajinga fulani hivi.Na sisi journalist tuseme hivyo 🤣🤣🤣
Mjinga mwenyewe mpuuzi kama walimu ni wajinga basi utoe hoja course ya ualimu ifutwe ili watoto wenu muwafundishe wenyewe nyumbaniHawa vijana wa ualimu ni kama wajinga fulani hivi.
Siku moja serikali iliposema patakuwa na usaili kwa kada ya ualimu walilalamika kana kwamba serikali imedhamiria kuajiri kada zingine ili wawe walimu.
🤣🤣🤣Kujichanganya kwingi mwishowe unajipaka mavi
Pole sana,ungekuwa unajitolea labda ungepata kipaombele ila jaribu zitakazotoka next July.Kwa niaba ya Graduators wote wa Degree za ualimu kuanzia 2017, 2018, 2019, tunakuomba Mheshimiwa Rais Dr. Samia na mamlaka zote zilizopo chini yako zinazo-deal na ajira za walimu, ikikupendeza tunaomba utumalize wote tuingie kwenye ajira.
Maana uzee unagonga hodi na sisi hatujaonja keki ya taifa na tuna familia zinatutegemea, wazazi wanaona wametupa hela zao kutusomesha.
Walimu 12,000 tu tena waliopewa kipaumbele wa masomo ya SayansiPole sana,ungekuwa unajitolea labda ungepata kipaombele ila jaribu zitakazotoka next July
Huyo elimu haijamsaidia kitu mimi naona...tuseme ndo hana kabisa hata kipaji au nguvu ya kufanya kazi zingine au hayo maarifa aliyopata huko chuoni hawezi kabisa kuyatumia kufanya mitikasi mingine ya kimaisha anakaa kusubiria ajira za mpaka watu wajisikie kutoa mkeka tena ambao tayari una watu wa connections!Mkuu miaka 7 kitaa na bado una hamu na ajira? Tena za uwalimu? Aisee
Nomeongeza maelezo soma upyaWalimu 12,000 tu tena waliopewa kipaumbele wa masomo ya Sayansi
SawaNomeongeza maelezo soma upya
And this boy wants to teach our kids.Is it graduators or graduates?
Mkuu jichanganye hata kwenye ufundi, usisubiri ajira za watu 1000 kwa mwaka
bahati mbaya ajira sio hisani..Kwa niaba ya Graduators wote wa Degree za ualimu kuanzia 2017, 2018, 2019, tunakuomba Mheshimiwa Rais Dr. Samia na mamlaka zote zilizopo chini yako zinazo-deal na ajira za walimu, ikikupendeza tunaomba utumalize wote tuingie kwenye ajira.
Maana uzee unagonga hodi na sisi hatujaonja keki ya taifa na tuna familia zinatutegemea, wazazi wanaona wametupa hela zao kutusomesha.
Mwalimu samahani lakini ni graduates sio graduatorsKwa niaba ya Graduators wote wa Degree za ualimu kuanzia 2017, 2018, 2019, tunakuomba Mheshimiwa Rais Dr. Samia na mamlaka zote zilizopo chini yako zinazo-deal na ajira za walimu, ikikupendeza tunaomba utumalize wote tuingie kwenye ajira.
Maana uzee unagonga hodi na sisi hatujaonja keki ya taifa na tuna familia zinatutegemea, wazazi wanaona wametupa hela zao kutusomesha.
Sababu za kukosa ajira:Kwa niaba ya Graduators wote wa Degree za ualimu kuanzia 2017, 2018, 2019, tunakuomba Mheshimiwa Rais Dr. Samia na mamlaka zote zilizopo chini yako zinazo-deal na ajira za walimu, ikikupendeza tunaomba utumalize wote tuingie kwenye ajira.
Maana uzee unagonga hodi na sisi hatujaonja keki ya taifa na tuna familia zinatutegemea, wazazi wanaona wametupa hela zao kutusomesha.
Journalist haiwezi kuwa na Mass employment haiwezi finana na uwalimu na afyaNa sisi journalist tuseme hivyo 🤣🤣🤣