Ni mwaka wa 6 sasa sijapata ajira ya ualimu TAMISEMI

Ni mwaka wa 6 sasa sijapata ajira ya ualimu TAMISEMI

Unasomea ualimu unategema kuajiriwa serikalini?

Jichanganye huo muda unaosubiri fanya mishe zingine

Umri haukusubiri na muda huwa haurudi nyuma
Hajasema "hajichanganyi".

Kujichanganya anajichanganya ila anataka AJIRA YA UALIMU.

Sijui kama mnamuelewa au mmekazana tu "jichanganye".

Kujichanganya kwingi mwishowe unajipaka mavi / MADIFI.

Kwako BABA VINYEO.

Cc: dronedrake
 
Mungu hajakuleta duniani uogope uzee😂😂.Uzee ni stage tu mojawapo ya maisha... Bakhresa ni mzee lakini ndio tajiri namba moja Tanzania. So live your life,mtegemee Mungu atafanya kwa wakati
Hhha huyo hawez enjoy kama utajiri waujanani
 
Hajasema "hajichanganyi".

Kujichanganya anajichanganya ila anataka AJIRA YA UALIMU.

Sijui kama mnamuelewa au mmekazana tu "jichanganye".

Kujichanganya kwingi mwishowe unajipaka mavi / MADIFI.

Kwako BABA VINYEO.

Cc: dronedrake
Walimu wengine tangu 2016 wanajichanganya 🤣🤣🤣

Mamadam mitaani hawana mishe wanadanga wengine wanagawa hadi vinyeo mambo ni magumu. Ungekuwa wewe unawasaidiaje?
 
Kwa niaba ya Graduators wote wa Degree za ualimu kuanzia 2017, 2018, 2019, tunakuomba Mheshimiwa Rais Dr. Samia na mamlaka zote zilizopo chini yako zinazo-deal na ajira za walimu, ikikupendeza tunaomba utumalize wote tuingie kwenye ajira.

Maana uzee unagonga hodi na sisi hatujaonja keki ya taifa na tuna familia zinatutegemea, wazazi wanaona wametupa hela zao kutusomesha.
kwa hiyo wewe ni graduator na siyo graduate 😆 😆 😆
kama kiingereza tu hujui mkuu, unataka kuajiriwa ukawapotoshe madogo
tafuta kazi nyingine hata ya kulima
in serious note.: waajiriwa wanajua kuajiriwa
 
Kwani lengo la serikali ni kutoa ajira au kutoa huduma kwa jamii?
Haya wa afya waseme hivyo, wa uhasibu waseme hivyo, wa ufundi waseme hivyo, wa kumbukumbu waseme hivyo, wa maendeleo ya jamii waseme hivyo itakuwaje?
Tatizo walimu na watu wa afya waliona ajira ni haki yao.
 
Mkuu

Hakuna tatizo la ajira nchini!coz nahitaji yapo mengi sana kwenye sector ya Elim,afya na kilimo/mifugo!

Nimrfsnya mahesabu nikapata upungufu wa Ajira 1200000, za haraka haraka!

Serikali ndio haitaki kuajiri!nilisikia Dr. Mpango akinijibu siku ya meimosi eti ajira zinatolewa kwa mujibu wa Sheria za ILO ,eti kiwango Cha wage bill Cha mshahara kipo fixed,Nikamuona muongo coz ajira lazima ziendane na idadi ya watu!kama watu wameongezeka wagebill itakuaje sawa!!?kwa sasa tupo mil 61 na karibu zaid ya nusu ni vijajna na watoto ambao wapo mashuleni Sasa unakuaje na walimu laki tatu tu wafundishe mill 30 ya watu!!?

Bado sekta nyingine!

Hawataki kuajiri Ili wajilipe mishahara na posho Nene kwa wanasiasa!!
 
Hajasema "hajichanganyi".

Kujichanganya anajichanganya ila anataka AJIRA YA UALIMU.

Sijui kama mnamuelewa au mmekazana tu "jichanganye".

Kujichanganya kwingi mwishowe unajipaka mavi / MADIFI.

Kwako BABA VINYEO.

Cc: dronedrake
bora hata wewe umenisaidia manake watu wengi wanauelewa mdogo sana humu ndani yani wanawaza tu kukosoa
 
Mkuu

Hakuna tatizo la ajira nchini!coz nahitaji yapo mengi sana kwenye sector ya Elim,afya na kilimo/mifugo!

Nimrfsnya mahesabu nikapata upungufu wa Akira 1200000, za haraka haraka!

Serikali ndio haitski kuajiri!nilisikia Dr. Mpango akinijibu siku ya meimosi eti ajira zinatolewa kwa mujibu wa Sheria za ILO ,eti kiwango Cha wage bill Cha mshahara kipo fixed,Nikamuona muongo coz ajira lazima ziendane na idadi ya watu!kama watu wameongezeka wagebill itakuaje sawa!!?kwa sasa tupo mil 61 na karibu zaid ya nusu ni vijajna na watoto ambao wapo mashuleni Sasa unakuaje na walimu laki tatu tu wafundishe mill 30 ya watu!!?

Bado sekta nyingine!

Hawataki kuajiri Ili wajilipe mishahara na posho Nene kwa wanasiasa!!
Niliku-quote mahali haujanijibu.
 
Back
Top Bottom