Ni mwaka wa 6 sasa sijapata ajira ya ualimu TAMISEMI

Ni mwaka wa 6 sasa sijapata ajira ya ualimu TAMISEMI

bora hata wewe umenisaidia manake watu wengi wanauelewa mdogo sana humu ndani yani wanawaza tu kukosoa
Watu huwa wanafurahia ukiteseka.

Pambana mkuu, unaweza kukuta anayekukejeli humu anashindia tumihogo tuwili na chachandu hana mbele wala nyuma (tomboy).

Endelea kujichanganya kama wanavyosema.
 
Mkuu

Hakuna tatizo la ajira nchini!coz nahitaji yapo mengi sana kwenye sector ya Elim,afya na kilimo/mifugo!

Nimrfsnya mahesabu nikapata upungufu wa Akira 1200000, za haraka haraka!

Serikali ndio haitski kuajiri!nilisikia Dr. Mpango akinijibu siku ya meimosi eti ajira zinatolewa kwa mujibu wa Sheria za ILO ,eti kiwango Cha wage bill Cha mshahara kipo fixed,Nikamuona muongo coz ajira lazima ziendane na idadi ya watu!kama watu wameongezeka wagebill itakuaje sawa!!?kwa sasa tupo mil 61 na karibu zaid ya nusu ni vijajna na watoto ambao wapo mashuleni Sasa unakuaje na walimu laki tatu tu wafundishe mill 30 ya watu!!?

Bado sekta nyingine!

Hawataki kuajiri Ili wajilipe mishahara na posho Nene kwa wanasiasa!!
Wewe umesema ukweli afu anakuja mjinga mmoja anakwambia serikali imeelemewa kwenye kuajiri
 
usiwazuie watu kukushauri, huo ni ushauri tu bila kujali kwamba umesema au hujasema unajichanganya au la.
Sio kwamba nazuiq watu wasinishauri ila watu wengine wanaokosoa kwa kuniona kama mzembe ndio nawamaindi , au wewe ungekuwa mzazi umesomesha kijana wako kwa kujinyima afu miaka 6 hana ajira utajiskiaje , hatukusoma ualimu ili tuje kuuza machungwa, tuliona fursa kuwa walimu wa sayansi hawatoshi ndio tukaingia shule kusoma hivo nnachokiona hapa ni kuwa serikali imetusaliti.
 
Mkuu inasikitisha sana lakini serikali haiwezi kuajiri graduates wote nchini, sahau hilo na ukilielewa hilo ni vizuri.

Hatuna fursa za ajira za kutosheleza wahitimu wote, na hii sio tz tu.
 
Mkuu inasikitisha sana lakini serikali haiwezi kuajiri graduates wote nchini, sahau hilo na ukilielewa hilo ni vizuri.

Hatuna fursa za ajira za kutosheleza wahitimu wote, na hii sio tz tu.
Ndio ni sawa ila utajiskiaje kuona watu wa 2020 wameajiriwa na wa 2017 wameachwa kwa masomo yaleyale
 
Kwa niaba ya Graduators wote wa Degree za ualimu kuanzia 2017, 2018, 2019, tunakuomba Mheshimiwa Rais Dr. Samia na mamlaka zote zilizopo chini yako zinazo-deal na ajira za walimu, ikikupendeza tunaomba utumalize wote tuingie kwenye ajira.

Maana uzee unagonga hodi na sisi hatujaonja keki ya taifa na tuna familia zinatutegemea, wazazi wanaona wametupa hela zao kutusomesha.
Mkuu serikali haiwezi kuajiri graduates wote waliopo mtaani ...kwaio kwa maarifa uliyonayo tena degree holder kabisa wa miaka saba mtaani endelea kufanya unachofanya kwa bidii I hope utafanikiwa zaidi kuliko kwenda kuanza ualimu
 
Kwani lengo la serikali ni kutoa ajira au kutoa huduma kwa jamii?
Haya wa afya waseme hivyo, wa uhasibu waseme hivyo, wa ufundi waseme hivyo, wa kumbukumbu waseme hivyo, wa maendeleo ya jamii waseme hivyo itakuwaje?
Tatizo walimu na watu wa afya waliona ajira ni haki yao.
Na sisi journalist tuseme hivyo 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom