Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Unapenda ligi za kijinganenda google katafute meaning ya graduators acha kujifanya much know
Hajasema "hajichanganyi".Unasomea ualimu unategema kuajiriwa serikalini?
Jichanganye huo muda unaosubiri fanya mishe zingine
Umri haukusubiri na muda huwa haurudi nyuma
Sasa unamlalamikia nani kuhusu kutoajiriwa kwako. Dunia haijawahi kuwa lelemama kwa mwanaume. Endelea kupambana na mishe zingineKwani umeambiwa hatufanyi mishe zingine?
Ni kwikwi erooMkuu miaka 7 kitaa na bado una hamu na ajira? Tena za uwalimu? Aisee
Hhha huyo hawez enjoy kama utajiri waujananiMungu hajakuleta duniani uogope uzee😂😂.Uzee ni stage tu mojawapo ya maisha... Bakhresa ni mzee lakini ndio tajiri namba moja Tanzania. So live your life,mtegemee Mungu atafanya kwa wakati
We ndo unapenda lig za kijingaUnapenda ligi za kijinga
Alichokazia Half american ni ile point ya
jichanganye hata kwenye ufundi, usisubiri ajira za watu 1000 kwa mwaka
Walimu wengine tangu 2016 wanajichanganya 🤣🤣🤣Hajasema "hajichanganyi".
Kujichanganya anajichanganya ila anataka AJIRA YA UALIMU.
Sijui kama mnamuelewa au mmekazana tu "jichanganye".
Kujichanganya kwingi mwishowe unajipaka mavi / MADIFI.
Kwako BABA VINYEO.
Cc: dronedrake
kwa hiyo wewe ni graduator na siyo graduate 😆 😆 😆Kwa niaba ya Graduators wote wa Degree za ualimu kuanzia 2017, 2018, 2019, tunakuomba Mheshimiwa Rais Dr. Samia na mamlaka zote zilizopo chini yako zinazo-deal na ajira za walimu, ikikupendeza tunaomba utumalize wote tuingie kwenye ajira.
Maana uzee unagonga hodi na sisi hatujaonja keki ya taifa na tuna familia zinatutegemea, wazazi wanaona wametupa hela zao kutusomesha.
Yawezekana he was born to be a teacher nahyo mambo mengine nikama yanamdatishaTafuta plan nyingine ndugu yangu Kuna watu Awana ajira, wamejiajiri na Wana piga pesa kinouma
Nawabamiza vinyeo tu.Mamadam mitaani hawana mishe wanadanga wengine wanagawa hadi vinyeo mambo ni magumu. Ungekuwa wewe unawasaidiaje?
Asomi maelekezo, hana umakini.Unapenda ligi za kijinga
Alichokazia Half american ni ile point ya
jichanganye hata kwenye ufundi, usisubiri ajira za watu 1000 kwa mwaka
bora hata wewe umenisaidia manake watu wengi wanauelewa mdogo sana humu ndani yani wanawaza tu kukosoaHajasema "hajichanganyi".
Kujichanganya anajichanganya ila anataka AJIRA YA UALIMU.
Sijui kama mnamuelewa au mmekazana tu "jichanganye".
Kujichanganya kwingi mwishowe unajipaka mavi / MADIFI.
Kwako BABA VINYEO.
Cc: dronedrake
Nimeliona hiloAsomi maelekezo, hana umakini.
Niliku-quote mahali haujanijibu.Mkuu
Hakuna tatizo la ajira nchini!coz nahitaji yapo mengi sana kwenye sector ya Elim,afya na kilimo/mifugo!
Nimrfsnya mahesabu nikapata upungufu wa Akira 1200000, za haraka haraka!
Serikali ndio haitski kuajiri!nilisikia Dr. Mpango akinijibu siku ya meimosi eti ajira zinatolewa kwa mujibu wa Sheria za ILO ,eti kiwango Cha wage bill Cha mshahara kipo fixed,Nikamuona muongo coz ajira lazima ziendane na idadi ya watu!kama watu wameongezeka wagebill itakuaje sawa!!?kwa sasa tupo mil 61 na karibu zaid ya nusu ni vijajna na watoto ambao wapo mashuleni Sasa unakuaje na walimu laki tatu tu wafundishe mill 30 ya watu!!?
Bado sekta nyingine!
Hawataki kuajiri Ili wajilipe mishahara na posho Nene kwa wanasiasa!!
Mkuu point ya muhimu niliyomaanisha ni huo ushauri wa kujichanganya kufanya kazi nyingine na sio vinginevyo.nenda google katafute meaning ya graduators acha kujifanya much know