Ni mwaka wa pili sasa sipo group lolote la WhatsApp

Hapa kwa style hii ugonjwa wa nyeto huwezi kupona

[emoji16] [emoji16] [emoji16] dahh kwa haraka kabisa ukiicheki hizi msg huyu kwa siku si anaweza kusoma biblia akaimaliza au kama ni muislam anaisoma quraan yote.maana si kwa msg nafikiri si chini ya 1000 au aingie kwenye kusoma encyclopedical volume kwa volume kibao.yeye kabezi kwenye group kwa kweli Albert Einstein alisema siku teknolojia ikipamba moto duniani na wajinga wataongezeka namkubali huyu nguli.una group zoote hizo mwisho ataishia kupiga self
 
Hapo hasomi mesej hapo yeye anaangalia vdeo znazotumwa tu zle za 10 ya kirumi
 
Hata la familia?
 
Hapo hasomi mesej hapo yeye anaangalia vdeo znazotumwa tu zle za 10 ya kirumi

Kwa hiyo yeye msg kwake siyo muhimu zaidi ni video tu ila hata kama ni video hizo grouop alizokuwa nazo si chini ya video 200 kwa siku pia nina imani huyu kwenye masaa 24 ambayo ni siku moja huenda lazima apoteze robo siku kwa kuzitazama video anazotumiwa.wakati robo siku angekuwa maabara au atengeneze japo nishati ya nyuklia kwa ajili ya nchi yetu.
 
Hivi kabla ya Whatsapp watu hawakushirikiana? Maana utakuta mtu anakuambia, usipojiunga kwa group ukipata tatizo(msiba) hatukuchangii. Kwani si naishi na watu vizuri kuanzia kazini hata mtaani, ntakosaje msaada?
Mtoa mada nakupongeza kwa kuyaepuka magroup iwapo unaona hayana tija kwako. Maisha ni zaidi ya Whatsapp.
 
You my friend are a serious INTROVERT.
 
Kila siku watu wanapost habari za kuokoteza tu ilomradi group lichangamke.
Nikitaka kucheka naingia funny sites nacheka mpaka mwisho. Habari ziko kila mahali, sasa haya magroup ya kuongea kilugha mara kukumbushana mateso ya boarding school yana kazi gani!
 
Ahh basi mimi huwa naitazama kila nikiiona hii picha huwa nacheka peke yangu hata kama nilikuwa nimekasirika ahh grops zote hizo
Tatizo sio wingi wa kundi....tatizo ni makundi gani?
 
Hata Mimi sipo group lolote.
Nulikuwa nayo matatu kila siku michango mtu hata akifiwa na Babu wa binamu yake anataka mchango.Harusi,send off sijui nini michango kila siku usipotoa wanakuchukia nikayafutilia mbali.
 
Siwezi kujitenga na dunia, nina magroup mengi tuu ila siko active kote,
Binafsi yamenisaidia kipindi cha harusi yangu na marafiki walipopata misiba ilisaidia sana kupata rambirambi kwa wapendwa wao
 
JF ni group tosha, ambapo unaweza kubishana na mshua wako na ukamtia biti la kutosha halafu mda huyo mpo mezani mnakula 😎 😎 😎 😎
unamwambia "We dogo ni pimbi tu kwangu"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…