Think2
JF-Expert Member
- Jan 3, 2025
- 3,087
- 6,024
we men mwanamke unamchango mkubwa sana kwenye kufanikiwa au kufeli kwako, hapa nazungumzia wanaume sio wavulana anyway kama hujaoa wewe ni mvulana sio mwanamume
Iko ivi, kuna baadhi ya wanawake ukiwa nao kwenye ndoa mambo yako yatanyooka sana riziki utapata sana na hawa wanawake wa namna hio ni wachache mno ndio maana unahimizwa uombe sana Mungu akupe mke mwema, mke mwema huleta baraka na mafanikio kwenye familia.
On other side, mwanamke anaweza kuchangia ukafeli kabla hujaoa unakuta ulikuwa vizuri sana kimapato baada ya kuoa tu mambo yanaanza kwenda kombo, tena wanawake wa namna hii ni wale wanaokesha tiktok kwenye vioo vikubwa kujitizama maumbile yao hawa ndio wale kichwani wana mavi ila nyuma wamekazia sana , mwanamke wa hivi atakufili bure wajanja tunakula afu tunaoa mafundi cherehani unadhani hatuna akili.
NB:Nyuma ya mwanaume aliefilisika kuna mwanamke mweupe mwenye tako kubwa