Ni Mwandishi gani wa habari nchini anaweza kumhoji Tundu Lissu kwa uelewa ulio sawa?

Unataka Crown Fm ivamiwe? Analinda ugali wake.
 
..kuna interview mwandishi alimhoji Tundu Lissu kuhusu mgogoro wa Israel vs Palestina ELIMU aliyoitoa ktk majibu yake inaweza kuwa mhadhara wa chuo kikuu.
Kaka ni Mwandishi wa Kenya, ile Interview ni ya saa moja na dakika 40.

Ni Heavy ime address maswala yote nyuma ya Vita ile.

Na ametoa Solution ambayo hata UN wakiitumia wataweza.

This Man is blessed.
 
mdomo umemponza, mdomo unamrudisha kwa mabwenyenye ya magharibi yanayombackup mikono mitupu dah!🐒
Mabwenyenye ambayo Ma CCM Huwa yanaenda kukopa pesa, na pia kupata grants za mairadi ya Maendeleo na pesa za bajeti kila mwaka, akiwa não karibu kosa, ila ma CCM kila Mwaka kusaidiwa não sio kosa??

Ama kweli UJINGA NI MZIGO 🤔🤔🤣😅 I
 
..kuna interview mwandishi alimhoji Tundu Lissu kuhusu mgogoro wa Israel vs Palestina ELIMU aliyoitoa ktk majibu yake inaweza kuwa mhadhara wa chuo kikuu.
hii niliiona nadhani alikuwa ni bint flani hv mdogo kiumri lakini alijitahidi sana kuendesha interview.
msimami wake ulikuwa wa israel ni wavamizi pale Palestine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…