Ni Mwandishi gani wa habari nchini anaweza kumhoji Tundu Lissu kwa uelewa ulio sawa?

Ni Mwandishi gani wa habari nchini anaweza kumhoji Tundu Lissu kwa uelewa ulio sawa?

Da!! Kikeke kuna siku alimhoji Fatma Karume, ilikuwa ni shida kubwa. N kama Fatma Karume alikuwa anaongea na mtoto mdogo wa darasa la kwanza anamfundisha. NB: Kikeke sidhani ni mbaya sana kwenye mahojiano ila tatizo sasa hivi anakuwa kama chawa wa CCM hivyo anajikuta akiuliza maswali ya kijinga.
Unataka Crown Fm ivamiwe? Analinda ugali wake.
 
..kuna interview mwandishi alimhoji Tundu Lissu kuhusu mgogoro wa Israel vs Palestina ELIMU aliyoitoa ktk majibu yake inaweza kuwa mhadhara wa chuo kikuu.
Kaka ni Mwandishi wa Kenya, ile Interview ni ya saa moja na dakika 40.

Ni Heavy ime address maswala yote nyuma ya Vita ile.

Na ametoa Solution ambayo hata UN wakiitumia wataweza.

This Man is blessed.
 
mdomo umemponza, mdomo unamrudisha kwa mabwenyenye ya magharibi yanayombackup mikono mitupu dah!šŸ’
Mabwenyenye ambayo Ma CCM Huwa yanaenda kukopa pesa, na pia kupata grants za mairadi ya Maendeleo na pesa za bajeti kila mwaka, akiwa não karibu kosa, ila ma CCM kila Mwaka kusaidiwa não sio kosa??

Ama kweli UJINGA NI MZIGO šŸ¤”šŸ¤”šŸ¤£šŸ˜… I
 
..kuna interview mwandishi alimhoji Tundu Lissu kuhusu mgogoro wa Israel vs Palestina ELIMU aliyoitoa ktk majibu yake inaweza kuwa mhadhara wa chuo kikuu.
hii niliiona nadhani alikuwa ni bint flani hv mdogo kiumri lakini alijitahidi sana kuendesha interview.
msimami wake ulikuwa wa israel ni wavamizi pale Palestine.
 
Back
Top Bottom