Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Hahahaa we jamaa umeamua utuchekeshe tu. Daah asante siku tunaimaliza vizuriššKikeke, Charles William wa Wasafi media na Masoud Kipanya pamoja na Juma Lokole.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaa we jamaa umeamua utuchekeshe tu. Daah asante siku tunaimaliza vizuriššKikeke, Charles William wa Wasafi media na Masoud Kipanya pamoja na Juma Lokole.
Chief Odembalabda yule wa Star Tv
Unataka Crown Fm ivamiwe? Analinda ugali wake.Da!! Kikeke kuna siku alimhoji Fatma Karume, ilikuwa ni shida kubwa. N kama Fatma Karume alikuwa anaongea na mtoto mdogo wa darasa la kwanza anamfundisha. NB: Kikeke sidhani ni mbaya sana kwenye mahojiano ila tatizo sasa hivi anakuwa kama chawa wa CCM hivyo anajikuta akiuliza maswali ya kijinga.
Ningekuwa na uwezo wa Mungu ningemfanya awe rais wa Tanzania mwaka kesho.
Kaka ni Mwandishi wa Kenya, ile Interview ni ya saa moja na dakika 40...kuna interview mwandishi alimhoji Tundu Lissu kuhusu mgogoro wa Israel vs Palestina ELIMU aliyoitoa ktk majibu yake inaweza kuwa mhadhara wa chuo kikuu.
Hakuna mwandishi anayeweza kumuhoji Lissu na Lissu akashindwa kujibu maswali yake kwa ufasaha
Naomba link tafadhali.Kaka ni Mwandishi wa Kenya, ile Interview ni ya saa moja na dakika 40.
Ni Heavy ime address maswala yote nyuma ya Vita ile.
Na ametoa Solution ambayo hata UN wakiitumia wataweza.
This Man is blessed.
Tuwekee link tafadhali ndugu JokaKuu ...kuna interview mwandishi alimhoji Tundu Lissu kuhusu mgogoro wa Israel vs Palestina ELIMU aliyoitoa ktk majibu yake inaweza kuwa mhadhara wa chuo kikuu.
kikeke alisha mshindwa siku nyingi sana. siku walipo kutana aliishia kuumuliza maswali mepesi na sio kama yale ya BBC. Labda wakutane tena awamu ya pili.Kikeke ndio size yake
Mabwenyenye ambayo Ma CCM Huwa yanaenda kukopa pesa, na pia kupata grants za mairadi ya Maendeleo na pesa za bajeti kila mwaka, akiwa nĆ£o karibu kosa, ila ma CCM kila Mwaka kusaidiwa nĆ£o sio kosa??mdomo umemponza, mdomo unamrudisha kwa mabwenyenye ya magharibi yanayombackup mikono mitupu dah!š
hii niliiona nadhani alikuwa ni bint flani hv mdogo kiumri lakini alijitahidi sana kuendesha interview...kuna interview mwandishi alimhoji Tundu Lissu kuhusu mgogoro wa Israel vs Palestina ELIMU aliyoitoa ktk majibu yake inaweza kuwa mhadhara wa chuo kikuu.