Ni mwanzo tu, Diamond Platnumz aagiza tena Lamborghini na Bentley, magari ya mabilion

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264


Baada ya kununua Rolls Royce Cullinan2021 Moja kati ya Gari za Ndoto yake ya muda wote Star wa muziki Barani Afrika Diamond Platnumz ametangaza kuwa anasubiri kupokea gari zingine mbili DiamondPlatnumz kupitia ukurasa wake wa instagram ametangaza kuwa gari zinazofuata alizozinunua ni lamborghini pamoja na bentleymotors na hivyo kwa sasa anasubiri kuzipokea nchini

Your browser is not able to display this video.
 
Barabara za Kibongo Lamborghini mmh, labda siku hizi mmeendelea sana kwenye barabara.
All in all pongezi kwake, anajituma sana hivyo acha autakase moyo wake. Planning properly and working hard ndiyo vilivyomfikisha hapo alipo, acha ale matunda ya jasho lake.
 
David mosha alishawahi kuimiliki na mechi za yanga alikuwa anaenda nayo, huwa zinainuliwa


ila pia kuna matoleo ya model aina ya urus, zinakua juu

 
Lambo Urus ni SUV
 
Anaishi ndoto zake.. Vema kumpongeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…