Maswa Yetu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2023
- 1,398
- 2,619
Kwa maelezo ya Polepole ni kwamba mpango wa kuhamishia serikali Dodoma ilikuwa ni vita kamili na kuna vigogo walihujumu mpango huo makusudi kabisa hadi Hayati Magufuli akazira na kuamua kuhamia hivyo hivyo kwenye kijumba kidogo Dodoma.
Hili la vigogo kuhujumu mipango yenye masilahi mapana kwa ustawi wa Watanzania linasikitisha sana.
Ipo siku watanyongwa kama China inavyowafania wahuni ndani ya nchi.
Hili la vigogo kuhujumu mipango yenye masilahi mapana kwa ustawi wa Watanzania linasikitisha sana.
Ipo siku watanyongwa kama China inavyowafania wahuni ndani ya nchi.