Wewe ni boya....
Nipe faida mbili tuu....
Kitu Gani kinakushinda ?
Upotevu wa fedha....
Kipindi Nyerere anasema Dodoma iwe Makao makuu...Tanzania haikuwa na miundombinu ya barabara
Mfano mikoa mingi ya pembezoni ilikuwa Haina lami hivyo kulikuwa na changamoto ya kufika Dar es Salaam
Sasa hivi sehemu kubwa ya mikoa imeunganishwa kwa lami...
Kama Serikali ingetaka kuhamia Dodoma ingefanya kwa awamu..kulingana na mapato ya Serikali...yaani Wizara tatu kwa miaka mitano...ikifika miaka hata 20 angalau
Sio kwa mkupuo na kuleta shida kwenye jamii,
Serikali ilishindwa hata kuajiri madaktari 500 kwa mwaka kwakuwa matumizi zaidi ya 70% yalipelekwa kwenye ujenzi..
Pia Serikali kama kulikuwa na ulazima sana..wangeweka ofisi ndogo za wizara hapo Dodoma ..
Hivi unajua kabla ya treni ya umeme kuanza kazi...kulikuwa na kupishana V8 zaidi ya 70 zinatoka Dar Kwenda Dodoma....wakati huo huo Kuna V8 kama 80 zinatoka Dodoma Kwenda Dar...yaani hasara kubwa
Kuna wafanyakazi wengi wa Serikali kati ya 2017-2023 walifariki kwa ajali ...mambo ya Kukaa Dodoma Hadi Alhamis..Kisha kuwasha magari kurudi Dar...na Jumapili jioni kurudi Dodoma