Maswa Yetu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2023
- 1,398
- 2,619
Ni JK kuna majini alikuwa ameyaacha Magogoni alitaka JPM aendelee kukaa pale ili yammalize taratibu, huyu mkwere ni shetani kabisa.Kwa maelezo ya Polepole ni kwamba mpango wa kuhamishia serikali Dodoma ilikuwa ni vita kamili na kuna vigogo walihujumu mpango huo makusudi kabisa hadi Hayati Magufuli akazira na kuamua kuhamia hivyo hivyo kwenye kijumba kidogo Dodoma.
Hili la vigogo kuhujumu mipango yenye masilahi mapana kwa ustawi wa Watanzania linasikitisha sana.
Inasikitisha sanaNi JK kuna majini alikuwa ameyaacha Magogoni alitaka JPM aendelee kukaa pale ili yammalize taratibu, huyu mkwere ni shetani kabisa.
UzuriKwa maelezo ya Polepole ni kwamba mpango wa kuhamishia serikali Dodoma ilikuwa ni vita kamili na kuna vigogo walihujumu mpango huo makusudi kabisa hadi Hayati Magufuli akazira na kuamua kuhamia hivyo hivyo kwenye kijumba kidogo Dodoma.
Hili la vigogo kuhujumu mipango yenye masilahi mapana kwa ustawi wa Watanzania linasikitisha sana.
Ipo siku watanyongwa kama China inavyowafania wahuni ndani ya nchi.
Uzuri wa hao vigogo ni CCM wenzenu nyinyi mmejawa vinasaba vya rushwa,ufisadi utekaji na uuajiKwa maelezo ya Polepole ni kwamba mpango wa kuhamishia serikali Dodoma ilikuwa ni vita kamili na kuna vigogo walihujumu mpango huo makusudi kabisa hadi Hayati Magufuli akazira na kuamua kuhamia hivyo hivyo kwenye kijumba kidogo Dodoma.
Hili la vigogo kuhujumu mipango yenye masilahi mapana kwa ustawi wa Watanzania linasikitisha sana.
Ipo siku watanyongwa kama China inavyowafania wahuni ndani ya nchi.
Kumbuka ziara za Kikwete wakati huo kila siku yupo Ikulu kuonana na RaisKwa maelezo ya Polepole ni kwamba mpango wa kuhamishia serikali Dodoma ilikuwa ni vita kamili na kuna vigogo walihujumu mpango huo makusudi kabisa hadi Hayati Magufuli akazira na kuamua kuhamia hivyo hivyo kwenye kijumba kidogo Dodoma.
Hili la vigogo kuhujumu mipango yenye masilahi mapana kwa ustawi wa Watanzania linasikitisha sana.
Ipo siku watanyongwa kama China inavyowafania wahuni ndani ya nchi.
Kwa maelezo ya Polepole ni kwamba mpango wa kuhamishia serikali Dodoma ilikuwa ni vita kamili na kuna vigogo walihujumu mpango huo makusudi kabisa hadi Hayati Magufuli akazira na kuamua kuhamia hivyo hivyo kwenye kijumba kidogo Dodoma.
Hili la vigogo kuhujumu mipango yenye masilahi mapana kwa ustawi wa Watanzania linasikitisha sana.
Ipo siku watanyongwa kama China inavyowafania wahuni ndani ya nchi.
Ikulu ya chamwino unaiita kijumba kidogo? Ikulu ambayo aliishi Mzee Nyerere, Mwinyi....Kwa maelezo ya Polepole ni kwamba mpango wa kuhamishia serikali Dodoma ilikuwa ni vita kamili na kuna vigogo walihujumu mpango huo makusudi kabisa hadi Hayati Magufuli akazira na kuamua kuhamia hivyo hivyo kwenye kijumba kidogo Dodoma.
Hili la vigogo kuhujumu mipango yenye masilahi mapana kwa ustawi wa Watanzania linasikitisha sana.
Ipo siku watanyongwa kama China inavyowafania wahuni ndani ya nchi.
Unajua lazima tuhoji kwa kufikiria...Kwa maelezo ya Polepole ni kwamba mpango wa kuhamishia serikali Dodoma ilikuwa ni vita kamili na kuna vigogo walihujumu mpango huo makusudi kabisa hadi Hayati Magufuli akazira na kuamua kuhamia hivyo hivyo kwenye kijumba kidogo Dodoma.
Hili la vigogo kuhujumu mipango yenye masilahi mapana kwa ustawi wa Watanzania linasikitisha sana.
Ipo siku watanyongwa kama China inavyowafania wahuni ndani ya nchi.
Ndiyo maana mnaitwa nyumbu, swala dogo kama hili hujui?Unajua lazima tuhoji kwa kufikiria...
Naomba unipe hata faida mbili tuu za Serikali kuhamia Dodoma....
Maana umesema ni maslahi mapana ya taifa...naomba unipe maslahi mawili tuu
Anza wewe mkuuHiviii....hakuna wazalendo jeshini kukomesha genge hili ??? Hakuna ? Hata kujitoa mhanga tu?
Wewe ni boya....Ndiyo maana mnaitwa nyumbu, swala dogo kama hili hujui?
Wewe kenge elitwege jibu hojaNdiyo maana mnaitwa nyumbu, swala dogo kama hili hujui?
Kama ni kuhujumu basi walianza enzi za Mwl. Nyerere na walifanikiwa isipokuwa walishindwa kwa Mwamba Magufuli.Kwa maelezo ya Polepole ni kwamba mpango wa kuhamishia serikali Dodoma ilikuwa ni vita kamili na kuna vigogo walihujumu mpango huo makusudi kabisa hadi Hayati Magufuli akazira na kuamua kuhamia hivyo hivyo kwenye kijumba kidogo Dodoma.
Hili la vigogo kuhujumu mipango yenye masilahi mapana kwa ustawi wa Watanzania linasikitisha sana.
Ipo siku watanyongwa kama China inavyowafania wahuni ndani ya nchi.
1.Dar ni mji wa kibiashara haihitaji ving'ora vya misafara ya viongozi mara kwa mara.Wewe ni boya....
Nipe faida mbili tuu....
Kitu Gani kinakushinda ?
Inaonyesha palikuwa hapakaliki pale.Ikulu ya Magogoni ina MAJINI MAZITO.
Mazindiko yake sio ya kitoto. Ni heavyweight.
Ndo maana Magu alikimbia kaenda dodoma.
A smiling faceAnajulikana !!