Mjengoni ilikuwa chini ya waarabu na mpaka kuna maandishi yao kabisa na yana maana ya kishetani kabisaa ukifikiri kutokea ulimwengu wa roho Kitombile naye aliweka majini yake mengi tu. kwa hiyo Ston alipambana na roho chafu nyingi na nzito kama unavyosema na alishindwa ilikuwa ston akilala anajikuta kaamkia nje ilibidi nyamitako alete waganga tokea gamboshi kwa hiyo pale pana majini sampuli kibao ila nashukuru Mungu maana majini mashetani karibia yatafurushwa na patakuwa na madhabahu ya Yesu Kristo.Ikulu ya Magogoni ina MAJINI MAZITO.
Mazindiko yake sio ya kitoto. Ni heavyweight.
Ndo maana Magu alikimbia kaenda dodoma.
Wewe ni boya....Ndiyo maana mnaitwa nyumbu, swala dogo kama hili hujui?
Upotevu wa fedha....1.Dar ni mji wa kibiashara haihitaji ving'ora vya misafara ya viongozi mara kwa mara.
Mji wa kisiasa ni Dodoma.
Duniani kote wametenganisha hiyo miji miwili.
2. Kutawanyika au kusogezwa karibu kwa huduma za kijamii kwa wananchi wote. Bila serikali kuhamia Dodoma miradi mingi unayoiona inajengwa hapo isingejengwa milele, hivyo raia zaidi ya milioni 50 wangelazimika kusafiri mpaka Dar hupata huduma za kiserikali
Jeshi gani, la wasiojulikana?Hiviii....hakuna wazalendo jeshini kukomesha genge hili ??? Hakuna ? Hata kujitoa mhanga tu?
Bro ukipewa B ukawa afande bilioni lazma uishiwe pawaHiviii....hakuna wazalendo jeshini kukomesha genge hili ??? Hakuna ? Hata kujitoa mhanga tu?
Mbona wewe hukufariki na ajali ukitoka Dodoma.Wewe ni boya....
Nipe faida mbili tuu....
Kitu Gani kinakushinda ?
Upotevu wa fedha....
Kipindi Nyerere anasema Dodoma iwe Makao makuu...Tanzania haikuwa na miundombinu ya barabara
Mfano mikoa mingi ya pembezoni ilikuwa Haina lami hivyo kulikuwa na changamoto ya kufika Dar es Salaam
Sasa hivi sehemu kubwa ya mikoa imeunganishwa kwa lami...
Kama Serikali ingetaka kuhamia Dodoma ingefanya kwa awamu..kulingana na mapato ya Serikali...yaani Wizara tatu kwa miaka mitano...ikifika miaka hata 20 angalau
Sio kwa mkupuo na kuleta shida kwenye jamii,
Serikali ilishindwa hata kuajiri madaktari 500 kwa mwaka kwakuwa matumizi zaidi ya 70% yalipelekwa kwenye ujenzi..
Pia Serikali kama kulikuwa na ulazima sana..wangeweka ofisi ndogo za wizara hapo Dodoma ..
Hivi unajua kabla ya treni ya umeme kuanza kazi...kulikuwa na kupishana V8 zaidi ya 70 zinatoka Dar Kwenda Dodoma....wakati huo huo Kuna V8 kama 80 zinatoka Dodoma Kwenda Dar...yaani hasara kubwa
Kuna wafanyakazi wengi wa Serikali kati ya 2017-2023 walifariki kwa ajali ...mambo ya Kukaa Dodoma Hadi Alhamis..Kisha kuwasha magari kurudi Dar...na Jumapili jioni kurudi Dodoma
Ni JK kuna majini alikuwa ameyaacha Magogoni alitaka JPM aendelee kukaa pale ili yammalize taratibu, huyu mkwere ni shetani kabisa.
[/Q
Kuna siku Mkwere alikiri kumiliki majini kwenye ikulu ya magogoni, kwamba ndiyo yaliyokuwa yakimlinda
Kwa hiyo wewe umeona kufariki tuu...Mbona wewe hukufariki na ajali ukitoka Dodoma.
Ujinga mtupu umewajaa kichwani
Duuuuuu.....nani mzalendo ? Kujitia mhabfa kupasua mtandao....??Bro ukipewa B ukawa afande bilioni lazma uishiwe pawa
We mshamba wa kisukuma kamfuate huyo mshamba mwenzio na ujue huu si mtandao wa wafu au mizimu ya kisukuma. We mbwa hujawahi kuwa na akili, kila wakati unaandika upupu kuhusu marehemuKwa maelezo ya Polepole ni kwamba mpango wa kuhamishia serikali Dodoma ilikuwa ni vita kamili na kuna vigogo walihujumu mpango huo makusudi kabisa hadi Hayati Magufuli akazira na kuamua kuhamia hivyo hivyo kwenye kijumba kidogo Dodoma.
Hili la vigogo kuhujumu mipango yenye masilahi mapana kwa ustawi wa Watanzania linasikitisha sana.
Ipo siku watanyongwa kama China inavyowafania wahuni ndani ya nchi.
Shetani Mamako aliyekudanganya babako,Ni JK kuna majini alikuwa ameyaacha Magogoni alitaka JPM aendelee kukaa pale ili yammalize taratibu, huyu mkwere ni shetani kabisa.
Huyo mshamba wa kisukuma ameiharibu hii nchi, kulikuwa kuna ulazima gani kuteketeza matrilioni ya watanzania bila sababu, jogoo wa shamba kweli hawiki mjiniKwa maelezo ya Polepole ni kwamba mpango wa kuhamishia serikali Dodoma ilikuwa ni vita kamili na kuna vigogo walihujumu mpango huo makusudi kabisa hadi Hayati Magufuli akazira na kuamua kuhamia hivyo hivyo kwenye kijumba kidogo Dodoma.
Hili la vigogo kuhujumu mipango yenye masilahi mapana kwa ustawi wa Watanzania linasikitisha sana.
Ipo siku watanyongwa kama China inavyowafania wahuni ndani ya nchi.
Watawakomesha washamba na wapumbavu km nyieHiviii....hakuna wazalendo jeshini kukomesha genge hili ??? Hakuna ? Hata kujitoa mhanga tu?
Huwezi kuacha kuanza na Jakaya Mrisho Kikwete katika mpango huo; hili lipo wazi.Kwa maelezo ya Polepole ni kwamba mpango wa kuhamishia serikali Dodoma ilikuwa ni vita kamili na kuna vigogo walihujumu mpango huo makusudi kabisa hadi Hayati Magufuli akazira na kuamua kuhamia hivyo hivyo kwenye kijumba kidogo Dodoma.
Hili la vigogo kuhujumu mipango yenye masilahi mapana kwa ustawi wa Watanzania linasikitisha sana.
Ipo siku watanyongwa kama China inavyowafania wahuni ndani ya nchi.
Dar walikua wanafuata nini ikiwa serikali ilihamia dodoma? Kiherehere cha kumis starehe za jiji.Wewe ni boya....
Nipe faida mbili tuu....
Kitu Gani kinakushinda ?
Upotevu wa fedha....
Kipindi Nyerere anasema Dodoma iwe Makao makuu...Tanzania haikuwa na miundombinu ya barabara
Mfano mikoa mingi ya pembezoni ilikuwa Haina lami hivyo kulikuwa na changamoto ya kufika Dar es Salaam
Sasa hivi sehemu kubwa ya mikoa imeunganishwa kwa lami...
Kama Serikali ingetaka kuhamia Dodoma ingefanya kwa awamu..kulingana na mapato ya Serikali...yaani Wizara tatu kwa miaka mitano...ikifika miaka hata 20 angalau
Sio kwa mkupuo na kuleta shida kwenye jamii,
Serikali ilishindwa hata kuajiri madaktari 500 kwa mwaka kwakuwa matumizi zaidi ya 70% yalipelekwa kwenye ujenzi..
Pia Serikali kama kulikuwa na ulazima sana..wangeweka ofisi ndogo za wizara hapo Dodoma ..
Hivi unajua kabla ya treni ya umeme kuanza kazi...kulikuwa na kupishana V8 zaidi ya 70 zinatoka Dar Kwenda Dodoma....wakati huo huo Kuna V8 kama 80 zinatoka Dodoma Kwenda Dar...yaani hasara kubwa
Kuna wafanyakazi wengi wa Serikali kati ya 2017-2023 walifariki kwa ajali ...mambo ya Kukaa Dodoma Hadi Alhamis..Kisha kuwasha magari kurudi Dar...na Jumapili jioni kurudi Dodoma
Wengi wao wanafamilia...Dar walikua wanafuata nini ikiwa serikali ilihamia dodoma? Kiherehere cha kumis starehe za jiji.
Wangetulia dodoma, familia kwani umezaliwa nayoWengi wao wanafamilia...
Kumbuka kuhamia Dodoma ilikuwa ghafla...Kuna wengine walikuwa wanalala Hostel za Udom
Membe alikuwa ndiyo kinara wa kuuwa yuko wapi?We mshamba wa kisukuma kamfuate huyo mshamba mwenzio na ujue huu si mtandao wa wafu au mizimu ya kisukuma. We mbwa hujawahi kuwa na akili, kila wakati unaandika upupu kuhusu marehemu
Fafanua
Hajui chochote huyu, kulikua na ukumbi wa bunge pale nililala mle ndani.Ikulu ya chamwino unaiita kijumba kidogo? Ikulu ambayo aliishi Mzee Nyerere, Mwinyi....