Ni nani alikuwa anahujumu serikali kuhamia Dodoma hadi Magufuli akazira?

1. Lakini kama tangu enzi za Nyerere ilipitishwa kuhamia Dodoma, Magufuli yeye alitekeleza agizo alilokuta.

2. Pia hatua hii imefanya Jiji la Dsm kuwa jiji la biashara, mambo ya kisiasa sio mahala pake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…