Ni nani alimshauri Mourinho kumnunua Lukaku Man Utd?

Ni nani alimshauri Mourinho kumnunua Lukaku Man Utd?

magoli ya lukaku anayo progba ngojeni arudi progba na lukaku anarudi kwenye ubora
 
Tulia wewe. Mechi moja tu ushaanza lialia. Mech zlzopta ametusaidia balaa hukuonaee.
 
IMG_2821.jpg
 
Wewe usiwe kama Msukule, Man Utd ana makombe 20 ya EPL kuliko timu nyingine, ana mataji matatu ya UCL halafu unaulizaje kama ni timu kubwa?

We endelea kupenda na kudhabikia Simba na Yanga.
Mwayasema haya siku mkifungwa, makombe kila timu inayo yanapishana idadi. Kama ni hivyo mnaenda uwanjani kufanya nini?.
 
Kocha mwenyewe hajielewi, sembuse mchezaji anayemnunua bastard sana huyu jamaa amenifanya hadi niichukie timu, kila timu akikutana nayo anadefence tu, ndio maana Phil Neville alisema mourinho anakuja kuondoa identity ya man u
Mkuu Mbona mechi zile 6 za mwanzo mlikuwa vizuri tu. Au ndo kusema yalikuwa ni moto wa mabua......4G ilikuwa kila kona ukienda kule 4 G ukirudi huku 3G....mou kawa mfalme ghala....Leo mou kawa mbaya ama kweli sisi washabiki tunatabu sana.
Kwenye mpira uwezi kushinda mechi zote....ndo maana kukawa na Win, Draw and Loss...!!
Vitu muhimu katika mfuko wa Christensen ni....!!
7cd673916fafcc5030ac78883b73f6c9.jpg
 
Wewe usiwe kama Msukule, Man Utd ana makombe 20 ya EPL kuliko timu nyingine, ana mataji matatu ya UCL halafu unaulizaje kama ni timu kubwa?

We endelea kupenda na kudhabikia Simba na Yanga.
Samahani bwana mkubwa, mimi mgeni hapa mjini. Unaweza ukadhani mimi ni mpuuzi lakini tukawa na mawazo sawa, maana Yanga ndio wana makombe mengi kuliko Manure (27).

Back to topic Lukaku ni mzigo, ndio maana tuliwakatalia Everton kubadilishana na Tambwe
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji6]Lukaku ni liability kwa sasa. ..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] liability [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom