Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
At least fellaini alileta matumaini kwenye game ya leo.
progba ndio nani?magoli ya lukaku anayo progba ngojeni arudi progba na lukaku anarudi kwenye ubora
mchezaji wa mbao fcprogba ndio nani?
Lukaku man u ni mzigo kama wasira alivyo mzigo CCM
Mwayasema haya siku mkifungwa, makombe kila timu inayo yanapishana idadi. Kama ni hivyo mnaenda uwanjani kufanya nini?.Wewe usiwe kama Msukule, Man Utd ana makombe 20 ya EPL kuliko timu nyingine, ana mataji matatu ya UCL halafu unaulizaje kama ni timu kubwa?
We endelea kupenda na kudhabikia Simba na Yanga.
Huyu Nyoshi ni mzigo mwingineNi kweli Fellaini alileta Matumaini Kwenye Game ya Leo lakini Kwa Chelsea Manake Bado Kidogo Awagaiye Goli la Pili na la Tatu..
Mkuu Mbona mechi zile 6 za mwanzo mlikuwa vizuri tu. Au ndo kusema yalikuwa ni moto wa mabua......4G ilikuwa kila kona ukienda kule 4 G ukirudi huku 3G....mou kawa mfalme ghala....Leo mou kawa mbaya ama kweli sisi washabiki tunatabu sana.Kocha mwenyewe hajielewi, sembuse mchezaji anayemnunua bastard sana huyu jamaa amenifanya hadi niichukie timu, kila timu akikutana nayo anadefence tu, ndio maana Phil Neville alisema mourinho anakuja kuondoa identity ya man u
Hakupata service ya maana. Ngolo Kante, Bakayoko na Fabregas walifanya kazi yao pale kati. Kwa mara ya kwanza Bakayoko kanifurahishaLukaku man u ni mzigo kama wasira alivyo mzigo CCM
Samahani bwana mkubwa, mimi mgeni hapa mjini. Unaweza ukadhani mimi ni mpuuzi lakini tukawa na mawazo sawa, maana Yanga ndio wana makombe mengi kuliko Manure (27).Wewe usiwe kama Msukule, Man Utd ana makombe 20 ya EPL kuliko timu nyingine, ana mataji matatu ya UCL halafu unaulizaje kama ni timu kubwa?
We endelea kupenda na kudhabikia Simba na Yanga.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] liability [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji6]Lukaku ni liability kwa sasa. ..
Mkuu acha kuchekesha tulionuna!Hamna straika pale, Lukaku hana tofauti na Mavugo.
lakini huo ndio ukweliMkuu acha kuchekesha tulionuna!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi nitabaki na huyu mpumbavu Mkhitaryan....sijui anafanya nini hapa kwenye hii timu.