Ni nani alimshauri Mourinho kumnunua Lukaku Man Utd?

José Mourinho kila anapoenda huwa na maamuzi tata kuhusu manunuzi na mauzo ya wachezaji, watu kufikiri may be huwa anapata cha juu - yaani mzee wa dili (ha ha ha)

Akiwa Chelsea aliwauza:
1. David Luis kwenda PSG (Baadaye chelsea wamemnunua tena) - hili simlaumu sana
2. Mohamed Sarah kwenda Fiolentina na sasa jamaa anawasha moto Liverpool - Juzi kafunga ila kwa heshima ya Club hakushangilia goli - bado ana uchungu kuuzwa kwa kisingizio hana kiwango kucheza Chelsea
3. Kevin De Bruyne huyu pia alikuwa hapati nafasi, City wakaja na dau wakamchukua sasa hivi anawasha moto saaana, tena ana uchungu mkubwa kuondoka Chelsea
4. Arjen Robben Huyu pia aliondolewa na Morinho sababu kubwa yeye anaumia umia sana (he made of classes) yaani mwili wake ni wa vioo - hiki kilimuuzi sana kinda huyo wakati huo akiwa 24 tu akatimukia Ujerumani kwa Beryern Munich - Mmeona moto alilivyokuwa anauwasha?
5. Lukaku Huyu alimkataa kwa kisingizio ni mzito, akamuuza everton, Kule akawasha moto - Sasa sijui nini kimempata ena amemnunua tena - sasa zito limekuwa ati.
6. Juan Cuadrado Alimuuza pia kwa kisingizio hana kiwango hakukukidhi; jamaa kwa sasa anakipiga Juve, mnaona moto anaouwasha kule??

7. Ryan Bertrand - Angalia moto anaouwasha Southampon leo.

Wapo wengi tu ambao wameuzwa lakini walikoenda wanawasha moto.

Maamuzi ya José Mourinho anayajua yeye!!
 
Huyu jamaa hana uwezo wa kucheza timu kubwa! Hajui kukontroo mpira, ana touch mbovu, ni mzito sana na mwisho huwa haonekani kwenye mechi kubwa, kwa kifupi ni mzigo na hafai kuwepo kwenye timu kubwa kama Man Utd!
Povu ruksa...
Lengo kuu la Morinho kwa sasa ni kuvunja rekodi ya usajili tu , Angalia hata alipomnunua Pogba , ile haikuwa bei ya yule mchezaji kabisa !
 
Hamna...

Messi ana uhuru wa kucheza popote, sio 7,9 wala 10..

Kwahiyo neno lilibakia la kumuita ni mshambuliaji, ni sawa na mtu umuite Ronaldo Winger wakati ukiangalia mpira karibu muda wote unamuona katikati
Mm nasemea namba anayopangwa ni 7
 
Huyu jamaa hana uwezo wa kucheza timu kubwa! Hajui kukontroo mpira, ana touch mbovu, ni mzito sana na mwisho huwa haonekani kwenye mechi kubwa, kwa kifupi ni mzigo na hafai kuwepo kwenye timu kubwa kama Man Utd!
Povu ruksa...
Mi si fan wa Man utd ila una mawazo ya kibong tu. Lukaku ana bao mangapi? EPL anaeongoza kwa mabao ana mangapi?
 
José Mourinho kila anapoenda huwa na maamuzi tata kuhusu manunuzi na mauzo ya wachezaji, watu kufikiri may be huwa anapata cha juu - yaani mzee wa dili (ha ha ha)

Akiwa Chelsea aliwauza:
1. David Luis kwenda PSG (Baadaye chelsea wamemnunua tena) - hili simlaumu sana
2. Mohamed Sarah kwenda Fiolentina na sasa jamaa anawasha moto Liverpool - Juzi kafunga ila kwa heshima ya Club hakushangilia goli - bado ana uchungu kuuzwa kwa kisingizio hana kiwango kucheza Chelsea
3. Kevin De Bruyne huyu pia alikuwa hapati nafasi, City wakaja na dau wakamchukua sasa hivi anawasha moto saaana, tena ana uchungu mkubwa kuondoka Chelsea
4. Arjen Robben Huyu pia aliondolewa na Morinho sababu kubwa yeye anaumia umia sana (he made of classes) yaani mwili wake ni wa vioo - hiki kilimuuzi sana kinda huyo wakati huo akiwa 24 tu akatimukia Ujerumani kwa Beryern Munich - Mmeona moto alilivyokuwa anauwasha?
5. Lukaku Huyu alimkataa kwa kisingizio ni mzito, akamuuza everton, Kule akawasha moto - Sasa sijui nini kimempata ena amemnunua tena - sasa zito limekuwa ati.
6. Juan Cuadrado Alimuuza pia kwa kisingizio hana kiwango hakukukidhi; jamaa kwa sasa anakipiga Juve, mnaona moto anaouwasha kule??

7. Ryan Bertrand - Angalia moto anaouwasha Southampon leo.

Wapo wengi tu ambao wameuzwa lakini walikoenda wanawasha moto.

Maamuzi ya José Mourinho anayajua yeye!!
De bryne aliuzwa kwenda Wolfsburg
Arjen robben aliuzwa kwenda Madrid kwanza kabla ya kwenda munchen
 
Daah Lukaku anatugharimu sana
Anatugharimu vipi wakati anaachwa peke yake na mabeki 5?

Wakati anafunga goli 8 katika mechi 7 za mwanzo kwa msaada wa Micki na Pogba mlisema haya?

Lazima tukubali kuwa kushuka kwa form ya Micki, kuumia kwa Pogba na mfumo wa kocha kumemgharimu Romelu.

Otherwise hawezi kucheza peke yake, anahitaji msaada kama strikers wengine.

[HASHTAG]#Tuache[/HASHTAG] kupiga ramli#
 
José Mourinho kila anapoenda huwa na maamuzi tata kuhusu manunuzi na mauzo ya wachezaji, watu kufikiri may be huwa anapata cha juu - yaani mzee wa dili (ha ha ha)

Akiwa Chelsea aliwauza:
1. David Luis kwenda PSG (Baadaye chelsea wamemnunua tena) - hili simlaumu sana
2. Mohamed Sarah kwenda Fiolentina na sasa jamaa anawasha moto Liverpool - Juzi kafunga ila kwa heshima ya Club hakushangilia goli - bado ana uchungu kuuzwa kwa kisingizio hana kiwango kucheza Chelsea
3. Kevin De Bruyne huyu pia alikuwa hapati nafasi, City wakaja na dau wakamchukua sasa hivi anawasha moto saaana, tena ana uchungu mkubwa kuondoka Chelsea
4. Arjen Robben Huyu pia aliondolewa na Morinho sababu kubwa yeye anaumia umia sana (he made of classes) yaani mwili wake ni wa vioo - hiki kilimuuzi sana kinda huyo wakati huo akiwa 24 tu akatimukia Ujerumani kwa Beryern Munich - Mmeona moto alilivyokuwa anauwasha?
5. Lukaku Huyu alimkataa kwa kisingizio ni mzito, akamuuza everton, Kule akawasha moto - Sasa sijui nini kimempata ena amemnunua tena - sasa zito limekuwa ati.
6. Juan Cuadrado Alimuuza pia kwa kisingizio hana kiwango hakukukidhi; jamaa kwa sasa anakipiga Juve, mnaona moto anaouwasha kule??

7. Ryan Bertrand - Angalia moto anaouwasha Southampon leo.

Wapo wengi tu ambao wameuzwa lakini walikoenda wanawasha moto.

Maamuzi ya José Mourinho anayajua yeye!!
Juan Mata
 
Kocha ni mwanadamu wa kawaida ana -ve na +ve side naona ww ume base kwenye -VE tu.
Sio kila mchezaji anaesajiliwa au kuuzwa ni mbaya issue ni mfumo tu.
 
lukaku kaingia uwanjani kusaidizana na mabeki kulinda ili kupunguza idadi ya magoal tu na mou aliingia kwa mfumo wa kubahatisha magoal tu hakua anahitaji kucheza mpira na kushinda mwacheni lukaku kafanya kazi yake vzr tu
 
Lukaku ni striker mzuri tu tatizo ni man U kwenye game kubwa zote wanacheza on the back foot, hawa-dominate michezo.Timu inapack basi muda wote, striker anakua kati kati ya uwanja zaidi ya 70% ya game halafu unataka magoli?
 
Kocha ni mwanadamu wa kawaida ana -ve na +ve side naona ww ume base kwenye -VE tu.
Sio kila mchezaji anaesajiliwa au kuuzwa ni mbaya issue ni mfumo tu.
Nakubaliana na wewe, lakini pia tutambue kuwa kocha mzuri ni yule anayekuja na mfumo thabiti (chemistry) wa ku-accommodate wachezaji wake mahiri.

ukocha ni ubunifu; kutengeneza chemistry nzuri kwa wachezaji ndiyo kazi kubwa ya kocha, maana kama ni kufundisha mpira wengi tu tungeweza.

Makocha wa namna hii tunao wachache sana duniani.
 
Back
Top Bottom