Ni nani aliyeharibu Mchakato wa Katiba Mpya? Tuanzie hapo

Sasa kwani democracy maana yake nini?,wengi wape,hata kama hupendi,,ndio democracy hiyo,
 

Soma kitabu Kwaheri uhuru kwaheri ukoloni utaelewa ni kitu gani kilifanyika.

Muungano tunaambiwa ulifanywa tarehe 26 mwezi Aprili 1964.

Tarehe 12 Januari 1964 yalifanyika mavamizi yanayoitwa mapinduzi. tarehe 14 januari aliyekuwa Waziri Mkuu aliyechaguliwa na wananchi alikamatwa na akapelekwa Tanganyika na kuwekwa gerezani yeye na baraza lake la mawaziri.

Huko Tanganyika hawakupelekwa mahakama yoyote na walikaa kwa zaidi ya miaka 10.

Sasa niambie kama muungano ulifanywa tarehe 26 Aprili 1964. ilikuwaje Nyerere akawakamata na kuwafunga kabla ya huo Muungano??

Kama si Uvamizi ni kitu gani ???
 
Waliyopita ndiyo wameuharibu...

Mpaka kwenda kumpeleka Warioba msobe msobe...
 

Kama ni ngozi si mungaliungana na Kenya au Uganda au Malawi au Rwanda ??
 
Sasa kwani democracy maana yake nini?,wengi wape,hata kama hupendi,,ndio democracy hiyo,
Kumbuka 1992 (labda ulikuwa mdogo) vyama vingi vilianza na "wachache wape!" Kuna mambo ambayo hata uyacheleweshe yatakuja tu! Na katiba ni mojawapo.
 
Katiba ilitibuliwa na serikali ya CCM.Hawawezi kukwepa lawama hiyo.
Nahisi ilitibuliwa kwa sababu hizi.
Japo Kikwete mwanzoni alionekana kama ndio alitaka mabadiliko ya katiba lakini mwisho wake akawa kama anakigugumizi na rasmi ya Jaji Warioba.
Kuna vigogo walipenda ukiugeugeu wa JK,kwa kuwa walitaka wawanie uraisi kwa katiba ya zamani,wakatiwa upofu wa wapambe kwamba kila Kigogo yuko bora kuliko mwezake.
1.Waziri Mkuu Pinda alifikiri yeye ndio top notch hana kashfa za rushwa
2.Lowasa alikuwa popular candidate hakuona wa kumlinganisha.
3.Membe alitegemea kubebwa na JK,akiamini akikatwa Lowassa yeye hana mtu wa kumzuia kwenda Ikulu.
4.Sitta alitaka kutibua Mchakato wa katiba akitegemea ukanda utambeba.
5.Mjomba Maguful yeye alitumia mbinu kama za Membe akamtafuta Godfather Mkapa,na wala hakuamini katika rasmi ya Warioba hadi anaondoka duniani.
 
Kaka hiyo Ni history yako, sio ile Rasmi tunayoijua wote. Pole
 
K

Kenya, Uganda, Rwanda au Malawi hawakuja kutuomba tuungane wao hawakuogopa kurudi wakoloni wao
Si ndio mkaivamia Uganda kwa staili nyengine Na Kenya ikawashinda mkabaki kubweka kuwaita manyangau huku wakiwapiga magoli kwenye economy
 
Si ndio mkaivamia Uganda kwa staili nyengine Na Kenya ikawashinda mkabaki kubweka kuwaita manyangau huku wakiwapiga magoli kwenye economy
Pole Sana inaonekana umelishwa propaganda mpaka uwezo wa kufikiri umepungua.... Haya tukubali tuliwavamia Uganda halafu??? Tukaikalia Kama unavodai tumeikalia Zanzibar!!???
Je tulivoipiga Uganda Muungano...
Labda tu nikuongezee Tanzania ilikuwa kitovu cha Pan Africanism.. Tumesaidia Nchi nyingi zilizoomba msaada kupambana na wakoloni. Nchi Kama Zimbabwe, Angola, Msumbiji, Sahara Magharibi, Palestina, Afrika Kusini na Nchi nyingine nyingi..
Bahati mbaya Sana Zanzibar mliomba tuungane na sio msaada ktk mapambano.. wenzenu wenye akili waliomba msaada ktk medani lakini nyinyi hamkutaka kuingia kwenye medani ya Vita mkaomba kufunikwa na koti la Tanganyika. Nchi yenye takriban kilomita mraba laki Moja wakati nyie Ni 2500 tu.
Pole sana
 
CCM
 

Aliomba nani uvamizi ?? wewe ni kijana uliyezaliwa kwa mbio za mwenge nini ??
 
Wewe hiyo ya kwako umesomeshwa msikitini na masheikh wa UAMASHO kwa ushirikiano na hayati MAALIM SEIF...!!??

Hizi ndio lugha za watoto wanaozaliwa kwa mbio za mwenge. Sikulaumu , Uamsho ulianza lini na mavamizi ya Laanatullahi Nyerere yalianza lini ??
 
Kwa hiyo walitakiwa waanze mdogo mdogo
 
Hizi ndio lugha za watoto wanaozaliwa kwa mbio za mwenge. Sikulaumu , Uamsho ulianza lini na mavamizi ya Laanatullahi Nyerere yalianza lini ??
Wee mtoto ulitokana na mwaka koga, Nyerer aliombwa alinde Mapinduzi yasije kupinduliwa. History inaonyesha wazi jinsi wazanzibar walivokuwa watu wakuomba kusaidiwa ndio maana walimuomba mpaka Jenerali Okello kufanya Mapinduzi alipomaliza akaenda kutangaza Redioni Karume popote ulipo jitokeze uje uchukue Nchi kazi nimemaliza.
Ni ukweli mchungu kwamba Wala urojo hawakuweza kujipigania na kujilinda mpaka waombe msaada kwa kina Okello na Nyerere. Inaonekana wewe uko upande wa Pili wa watu waliopinduliwa na Nyerere akaja kuzuia uwezekano wa nyie kufanya Mapinduzi, ndio maana mnamchukia na kuuchukia Muungano.
 
Ukiwa na Dini ikakujaza chuki,kukosa kujiamini,umaskini wa kifikra,kukosa heshima,kutukana n.k hiyo Dini ni Dini ya shetani moja kwa moja. Haina mjadala.Dini za Mungu hufundisha heshima,upendo,amani,unyenyekevu,kujiamini n.k.

Hizi ndio lugha za watoto wanaozaliwa kwa mbio za mwenge. Sikulaumu , Uamsho ulianza lini na mavamizi ya Laanatullahi Nyerere yalianza lini ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…