Ni nani aliyeharibu Mchakato wa Katiba Mpya? Tuanzie hapo

Ni nani aliyeharibu Mchakato wa Katiba Mpya? Tuanzie hapo

Umoja wa Katiba ya Wananchi na wanasiasa wasiyo na maono, hawa waliharibu mchakato mzima, vile walitaka mfumo wa 3 serikali ya Tanganyika, zanzibar na Muungano badala ya 2 na kupelekea kususa kikao kama njia ya kushinikiza.

Hapo ndipo walipofanya kosa ambalo leo lina tugarimu wote.
 
Hiyo serikali tatu ilianzia nje na kabla ya Bunge la katiba; unasema ni ukawa kwa kupotosha au sababu ni nini? unakumbuka hadidu za rejea za timu Jaji Warioba? na pia kwanini ziwe tofauti na timu Chenge?

Kama maoni za wananchi zilizokusanywa kwa gharama kubwa ni nini ilikua maana ya timu kuzikusanya wakati kuna uwezekano wa kuyamaliza kwa timu ndogo ndani ya Bunge bila kwenda kwa wananchi kupata maoni yao?

Bunge la katiba ilihitishwa kwa ajili ya kuyajadili maoni ya wananchi na kuyaboresha lakini wao wakaanza kuyaleta ya kwao mapya kabisa.
 
Mchakato wa katiba uliharibiwa na wanasiasa wajinga waliotaka kupenyeza agenda zao ili waingie ikulu kirahisi matokeo yake yakaibuka malumbano na mwisho wa siku wenye mamlaka wakaamua wauzike tu...

Hata hawa wapiga kelele za katiba mpya ukiwauliza agenda zao utaona ni zilezile za maslahi ya kisiasa ili wapate urahisi wa kuingia madarakani lakini ukiwauliza hoja za msingi zenye manufaa ya moja kwa moja kwa wananchi hawana...

Ukiwauliza ni lini mmeitisha maandamo ya watu kupewa elimu bure na bora, huduma za afya bure, fao la kujitoa, kuboreshwa kwa pension za wazee wetu nk nk...
Umepata wapi muda wakuandika ujinga hivi.kwani huo mchakato ulikua unasimamiwa na hao wanasiasa unaowasema. mambo ya wananchi kupata elimu mwenye jukumu la kwanza kabisa lakuhakikisha wananchi wake wanapata uelewa ni mwenye serikali.sasa unajifanya kuandika kishabiki wakati ni dhahiri mafisi emu ndio yaliyoharibu ule mchakato.
 
Mnakuja msumbua mama bure. Mchakato wa Katiba ilikuaje ukasitishwa? Ni nani alifanya uharibifu ule wa pesa? Amepata hukumu gani?

Mwacheni Mama nyie mjifikirie kwa nini mliharibu mchakato wa Katiba na pesa hamkurudisha. Majizi makubwa nyie. Sasa mnakosa pesa mnataka mje zipata tena kwenye Katiba.
Unge watag ccm wanajua kila kitu walianzisha wao wakavuruga wao, Hii nchi tangu tupate uhuru tunatawaliwa ccm ni vema ungewapigia simu au watumia email utapata majibu serekali ni moja tu ya ccm swala nini alianzisha nani vuguru ni wao wenyewe
 
tuache maswala ya ukichama,katba mpya ni muhimu sana, pengine tutaliokoa taifa kwenye mikono ya warafi wanaopenda kulifanya hili taifa nila familia fulani.[emoji51][emoji51].
 
Mnakuja msumbua mama bure. Mchakato wa Katiba ilikuaje ukasitishwa? Ni nani alifanya uharibifu ule wa pesa? Amepata hukumu gani?

Mwacheni Mama nyie mjifikirie kwa nini mliharibu mchakato wa Katiba na pesa hamkurudisha. Majizi makubwa nyie. Sasa mnakosa pesa mnataka mje zipata tena kwenye Katiba.
Wajane mna kazi sana... poleni.

Tumeambiwa tuwapende, kuwatunza na kuwavumilia....

Poleni kwa kifo cha mme wenu. Yote ni mipango ya Maulana
 
Waliharibu wapinzani UKAWA kwa vile walitaka serikali 3 badala ya 2 na hivyo kususa kikao kama njia ya kushinikiza. Hapo ndipo walipofanya kosa la kiufundi kubwa. Laiti wangekubali kwenda by peace meal wakaanza na madaraka ya Rais, Tume ya uchaguzi, upatikanaji wa wabunge, mgombea binafsi, nk wakaruka maeneo magumu halafu 5 years later wakayarudia kwa agenda mpya. Pushing by bits. Wangefanikiwa sasa hivi tungekuwa mbali sana. Hii ndiyo mbinu ya majadiliano magumu. You dont push for everything rather moving strategically in win win situation.
Waulize Uvccm wakiongozwa na bashite waliompiga vibao mzee jaji Warioba na mtisha asiendelee na mchakato wa katiba
 
..Katiba pendekezwa iliyoandikwa na CCM iko wapi?

..Kwanini hawaileti kwa wananchi kwa hatua zinazofuata?

..Au, CCM hawaitaki tena katiba waliyoiandika wao wenyewe?

..Kitendo cha CCM kuifungia kabatini katiba iliyopendekezwa ndio kinawapa wapinzani uhalali wa kudai katiba mpya kama ilivyopendekezwa na TUME YA WARIOBA.
Heshima yako mkuu. Umesema sahihi kabisa kuwa ni katiba pendekezwa. Inaelekea CCM wao kwa wao viliumana. Ikashindikana. Pengine sababu haikuwa ndani ya ilani ya uchaguzi. Ilianzishwa juu kwa juu.
Lakini haina maana hakuna sababu ya kuwa na katiba inayojenga taasisi imara na madaraka yenye tija kwa kila mtu. Mtu mmoja asiwe ndio kila kitu. Lazima kuwe na check and balance. lazima kuwe na sababu kwanini nani anapewa dhamana ya uongozi. Ana vigezo gani.
Ninachosema hapa ni kuwa pengine kama wale waliokusanya maoni na wale wanaotawala wangekaa pamoja na kukubaliana, leo ingekuwepo katiba mpya. Ujuaji wa kila upande uliifanya katiba ile iishie ilikoishia. Siku nyingine, kwenye kazi sensitive kama hizi, wasipewe hardliners. Huwa wanaharibu
 
Hawakutaka serikali tatu. Ubishi na ujuaji uliua ile nia ya katiba. mara nyingine tujifunze kuwa humble. Kuna yaliyokuwa yanawezekana kwenye ile katiba kwa wakati ule. Yale yangefanyika. Yasiyowezekana yangeachwa pembeni ili wakati muafaka ukifika, nayo yapatiwe maamuzi.
Ujuaji na ego za watu ndio zimeharibu
Uwezi kutengeneza katiba unayoitaka wewe katiba ni yetu wote maoni ya watu wengi ni Serekali tatu unazikwepa vipi? Hii ni nchi sio campuny kusikiliza maoni ya watu wachache wenye share nyingi uwezi kutengeneza katibu unayoitaka wewe
 
Wajane mna kazi sana... poleni.

Tumeambiwa tuwapende, kuwatunza na kuwavumilia....

Poleni kwa kifo cha mme wenu. Yote ni mipango ya Maulana

Kumbe nawe ume experience hili? Usijali mama yako kwa sasa amesahau machungu ya kumpoteza baba yako. Namtunza vizuri. Anaenjoy kila kitu....😁
 
Uwezi kutengeneza katiba unayoitaka wewe katiba ni yetu wote maoni ya watu wengi ni Serekali tatu unazikwepa vipi? Hii ni nchi sio campuny kusikiliza maoni ya watu wachache wenye share nyingi uwezi kutengeneza katibu unayoitaka wewe
Mzee serikali ziko mbili tu. Hiyo serikali tatu muulizie warioba amefika nayo wapi. Mbona hamuelewi nyie waja? Nchi sio kampuni. Ila nchi sio ya kwako peke yako pia. Ukiongea kama wewe ndio mwenye nchi unakosea
 
Mnakuja msumbua mama bure. Mchakato wa Katiba ilikuaje ukasitishwa? Ni nani alifanya uharibifu ule wa pesa? Amepata hukumu gani?

Mwacheni Mama nyie mjifikirie kwa nini mliharibu mchakato wa Katiba na pesa hamkurudisha. Majizi makubwa nyie. Sasa mnakosa pesa mnataka mje zipata tena kwenye Katiba.
Walioharibu mchakato wa katiba mpya ni CCM chini ya Mhe. Kikwete. Kikwete kama rais na mwenyekiti wa CCM alipinga vikali baadhi ya maoni ya Kamati ya Mzee Warioba; na hapo ndipo mgogoro ulianzia.
 
Kumbe nawe ume experience hili? Usijali mama yako kwa sasa amesahau machungu ya kumpoteza baba yako. Namtunza vizuri. Anaenjoy kila kitu....😁
Uzuri baba yangu bado yuko hai na yuko vizuri kabisa na mama yangu. Na bahati nzuri baba yangu hana tabia za ubasha mpaka aje akutafute akufanye nyumba ndogo....
 
Mnakuja msumbua mama bure. Mchakato wa Katiba ilikuaje ukasitishwa? Ni nani alifanya uharibifu ule wa pesa? Amepata hukumu gani?

Mwacheni Mama nyie mjifikirie kwa nini mliharibu mchakato wa Katiba na pesa hamkurudisha. Majizi makubwa nyie. Sasa mnakosa pesa mnataka mje zipata tena kwenye Katiba.
Mchakato unaeleweka alieuanzisha alimaliza mkataba wake kabla hajaumalizia shida imetokea kwa aliepokea kijiti.
 
Nani aliyeharibu mchakato? Aliharibuje? Nani alieandaa sherehe Dodoma za Kupokea rasimu ya Katiba? Wajumbe walikua akina nani? Ccm iliwakilishwa na akina nani?
Achana na hili chizi! Huwezi uliza swali,kabla hujajibiwa ukaanza kutukana watu. Halaf moderator sijui wako wapi siku hizi...wangefutilia mbali uzi kama huu mapema tu
 
Mnakuja msumbua mama bure. Mchakato wa Katiba ilikuaje ukasitishwa? Ni nani alifanya uharibifu ule wa pesa? Amepata hukumu gani?

Mwacheni Mama nyie mjifikirie kwa nini mliharibu mchakato wa Katiba na pesa hamkurudisha. Majizi makubwa nyie. Sasa mnakosa pesa mnataka mje zipata tena kwenye Katiba.
PANYA BUKU WA LUMUMBA
 
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ndilo liliharibu mchakato wa katiba kwa kufanya marekebisho ya sheria ya mchakato, marekebisho ambayo yalilipa bunge la katiba kufanya maamuzi ya mwisho. Nitafafanua nikipata nafasi, lakini anayeweza atafute bsheria ya mchakato kabla na baada ya kufanya marekebisho hapo utaona uhuni uliofanyika.
Pili bunge la JMT lilishindwa kujitenga na mchakato likatunga sheria ambayo lenyewe lilijigeuza kuwa la katiba. Hapo ndipo mgongano wa maslahi ulipoingia
 
Back
Top Bottom