Elections 2010 Ni nani aliyeingiza udini kwenye kampeni hizi?

Status
Not open for further replies.
Unaongea mavi,kama umekosa mada sio lazima uweke mada hapa,japo ni mtazamo wako! Huna uthibitisho usizisemee nyoyo!
 
Naamini hii habari ya "udini" kwenye uchaguzi huu ilianza taratibu kama propaganda ambapo CCM walianza kwa kumhusisha Dr.Slaa na kanisa Katoliki na Kanisa lilipokanusha, wakaanza kukosoa "ucha Mungu" wa Dr.Slaa kwa madai kuwa "amelisaliti kanisa" kwa kuacha upadre na kuwa "ni mzinifu, amechukua mke wa mtu", na huku kwa waislamu, CCM wakihubiri kuwa "Dr.Slaa ni adui wa uislamu".

Kuna baadhi ya wakristo na waislamu walizipokea propaganda hizo kutoka CCM hasa pale zilipoendelezwa na viongozi wa Dini wajinga na vyombo vyao kama magazeti na radio, mifano ni kama ifuatavyo:

  1. Kuna baadhi ya masheikh walikuwa wanahubiri chuki dhidi ya wakristo na Dr.Slaa katika kipindi cha kampeni.
  2. Magazeti ya kiislamu yalikuwa yanamhujumu na kumkataa Dr.Slaa waziwazi huku yakiwapamba Kikwete na Lipumba (Al Huda, n.k).
  3. Kuna baadhi ya mapadri walimpigia kampeni Dr.Slaa kanisani ingawa Kardinali Pengo alipiga marufuku jambo hilo.
  4. Kuna baadhi ya wachungaji wakihofia agenda za CCM na KIkwete za OIC na Mahakama ya Kadhi wakamu endorse Dr.Slaa kama mbadala wa Kikwete ili asirudi madarakani na kuepusha agenda hizo.
  5. Kuna baadhi ya wachungaji na maaskofu walimhujumu Dr.Slaa kwa kujifanya si wadini huku wakimnadi na kujipendekeza kwa Kikwete (Askofu Gamamywa na Gazeti la Nyakati).
Ndio maana kulikuwa na waumini wenye vichwa vyepesi walioshawishika na hoja hizo za viongozi wao na hivyo kujikuta wakichagua viongozi kwa misingi ya udini.Matokeo ni kuwa kuna waislamu walimchagua Kikwete kwa Uislamu wake, kuna wakristo waliomchagua Dr.Slaa kwa Ukristo wake, Kuna wakatoliki wasio mchagua Slaa kwa "kuacha upadre na kulisaliti kanisa", kuna wakristo wasiomchagua Dr.Slaa kwa "uzinzi wa kuchukua mke wa mtu" (mama yangu akiwamo), kuna waislamu wa CUF waliomchagua Kikwete kwa kuwa ni muislamu mwenzao na kwa kuwa alikuwa na nafasi zaidi ya kushinda kuliko Lipumba, ili "wasikose kote" kwa Kikwete na Lipumba "kugawana kura za waislamu", n.k

Hata hivyo kuna wananchi wengi (waumini wa dini zote) ambao hawakushawishiwa na hoja hizo za udini kutoka kwa viongozi wao, bali waliangalia sera na mvuto wa kiongozi na chama husika. Wapo waislamu wengi (amini usiamini) waliomchagua Dr.Slaa kwa agenda ya kutokomeza Ufisadi, kutoa elimu bora bure na kuwapa fursa ya makazi bora, n.k na huku pia wakiwamo Wakristo waliomchagua Kikwete kwa kuamini uzoefu wake na chama chake, "amani na utulivu", n.k

Mimi naamini mbegu za udini zimeshapandwa na CCM pamoja na baadhi ya viongozi wa dini zote, na majeraha yake yameumiza watu wengi. Lazima tufanye mjadala wa kitaifa kuhusu hatima ya mahusiano na uvumilivu wa dini zetu na mahusiano yake na siasa za nchi yetu ili kujenga upya mshikamano na kuondoa fikra za ubaguzi (haitoshi tu kwa viongozi kukemea wakati kuna issues nyingi ambazo hazijashughulikiwa na madonda makubwa yanaumiza watu wengi).

Naomba kuwasilisha!
 
Mchanganuo wako mzuri uanweza kuwa sahihi au si sahihi, Tanzania mambo yote na utulivu tunahitaji tume huru ya uchaguguzi itakayofanya kazi kwa mfumo tofauti na hii tuliyonayo na hapo ndio mbivu na mbichi zitajulikana kwa sasa hivi nusu ya majimbo majibu hayajatoka na uchakachuaji unaendelea kwa nguvu na kasi ya ajabu
 
Maeneo yenye wakristo wengi SLAA na CHADEMA alipewa kura nyingi zaidi ya JK na maeneo ya Waislam wengi JK aliata kura nyingi sehemu zingine kama Bukoba vijijini ndio walikoamua kumnyima kabisa JK kura. Sasa mambo ya kudanganyana eti ohhh viongozi wa kidini wapige vita udini naona imekuwa kama kutwanga maji kwenye kinu.

Hamuamini tazameni matokeo ya uchaguzi huuu KILAKALA Morogoro na maeneo hata ya Dar yalivyojigawa kutokana na dini za watu
wewe ndiyo mawazo yako yamejaa udini
 
wachangiaji watukanaji ni kikwazo kikubwa katika mijadala hai......tutoe hoja zenye mwelekeo wa kitaifa zaidi ili tuwe tunaheshimika kwa michango chanya kwa jamii iliyopo na ijayo.......NAWASILISHA
 
Acha matusi, kila mtu ana haki ya kutoa muono wake, kama haijakuvutia na huna cha kuchangia sio lazima uandike soma usonge kwenye post zingine.
 
Naamini hii habari ya "udini" kwenye uchaguzi huu ilianza taratibu kama propaganda ambapo CCM walianza kwa kumhusisha Dr.Slaa na kanisa Katoliki na Kanisa lilipokanusha, wakaanza kukosoa "ucha Mungu" wa Dr.Slaa kwa madai kuwa "amelisaliti kanisa" kwa kuacha upadre na kuwa "ni mzinifu, amechukua mke wa mtu", na huku kwa waislamu, CCM wakihubiri kuwa "Dr.Slaa ni adui wa uislamu".

Kuna baadhi ya wakristo na waislamu walizipokea propaganda hizo kutoka CCM hasa pale zilipoendelezwa na viongozi wa Dini wajinga na vyombo vyao kama magazeti na radio, mifano ni kama ifuatavyo:

  1. Kuna baadhi ya masheikh walikuwa wanahubiri chuki dhidi ya wakristo na Dr.Slaa katika kipindi cha kampeni.
  2. Magazeti ya kiislamu yalikuwa yanamhujumu na kumkataa Dr.Slaa waziwazi huku yakiwapamba Kikwete na Lipumba (Al Huda, n.k).
  3. Kuna baadhi ya mapadri walimpigia kampeni Dr.Slaa kanisani ingawa Kardinali Pengo alipiga marufuku jambo hilo.
  4. Kuna baadhi ya wachungaji wakihofia agenda za CCM na KIkwete za OIC na Mahakama ya Kadhi wakamu endorse Dr.Slaa kama mbadala wa Kikwete ili asirudi madarakani na kuepusha agenda hizo.
  5. Kuna baadhi ya wachungaji na maaskofu walimhujumu Dr.Slaa kwa kujifanya si wadini huku wakimnadi na kujipendekeza kwa Kikwete (Askofu Gamamywa na Gazeti la Nyakati).
Ndio maana kulikuwa na waumini wenye vichwa vyepesi walioshawishika na hoja hizo za viongozi wao na hivyo kujikuta wakichagua viongozi kwa misingi ya udini.Matokeo ni kuwa kuna waislamu walimchagua Kikwete kwa Uislamu wake, kuna wakristo waliomchagua Dr.Slaa kwa Ukristo wake, Kuna wakatoliki wasio mchagua Slaa kwa "kuacha upadre na kulisaliti kanisa", kuna wakristo wasiomchagua Dr.Slaa kwa "uzinzi wa kuchukua mke wa mtu" (mama yangu akiwamo), kuna waislamu wa CUF waliomchagua Kikwete kwa kuwa ni muislamu mwenzao na kwa kuwa alikuwa na nafasi zaidi ya kushinda kuliko Lipumba, ili "wasikose kote" kwa Kikwete na Lipumba "kugawana kura za waislamu", n.k

Hata hivyo kuna wananchi wengi (waumini wa dini zote) ambao hawakushawishiwa na hoja hizo za udini kutoka kwa viongozi wao, bali waliangalia sera na mvuto wa kiongozi na chama husika. Wapo waislamu wengi (amini usiamini) waliomchagua Dr.Slaa kwa agenda ya kutokomeza Ufisadi, kutoa elimu bora bure na kuwapa fursa ya makazi bora, n.k na huku pia wakiwamo Wakristo waliomchagua Kikwete kwa kuamini uzoefu wake na chama chake, "amani na utulivu", n.k

Mimi naamini mbegu za udini zimeshapandwa na CCM pamoja na baadhi ya viongozi wa dini zote, na majeraha yake yameumiza watu wengi. Lazima tufanye mjadala wa kitaifa kuhusu hatima ya mahusiano na uvumilivu wa dini zetu na mahusiano yake na siasa za nchi yetu ili kujenga upya mshikamano na kuondoa fikra za ubaguzi (haitoshi tu kwa viongozi kukemea wakati kuna issues nyingi ambazo hazijashughulikiwa na madonda makubwa yanaumiza watu wengi).

Naomba kuwasilisha!

Watu wanataka kukataa ukweli ulio wazi. Ukanda wa pwani na Zanzibar ambapo waislam ni wengi mno CUF na CCM waligawana kura wakati Slaa hakupata kura zinazofanafanana japo kidogo tu na uwezo wake...Huu ni udini

Kadri proportion ya wakristu inavyoongezeka kuelekea bara ndivyo kura za Dr Slaa zinaongezeka hasa kwa mikoa inayojulikana kuwa na uelewa wa hali ya juu. Hata hivyo ni kwa kiwango gani wakristu walimpa tafu Slaa hatuwezi kujua kwa usahihi kwa sababu CCM wamefanya umafia wa hali ya juu.

CONCLUSION: Udini haukuanza mwaka huu isipokuwa tu na wakristu waliamua kuingia kwenye jambo hili kwa uwazi kuliko wakati mwingine wowote. Magazeti ya Kiislamu yalikuwa yapo wazi kabisa katika hili na inabidi uwe kichaa kukataa ukweli huu. Kuna wakristu ambao kamwe hawatarudi nyuma japo kuna wale ambao ni moderate (na ni wengi) wataweza kusamehe!
 
mimi muislam lakini kikwete sijampa kura

ni kweli wanaoongelea udini wanaujua wao na serikali yao ya mafisadi. na huwezi ukaona kuna udini kama na wewe si mdini na hili liko kwa waislam sana hata ukiangalia kwenye serikali ya kikwete ilopita tunaisubiria na hii kikwete ndo mdini pambafu
 
Monduli wengi ni wakiristo na KIkwete ameshinda kwa 81+%
Longido wengi ni wakiristu na Kikwete ameshinda kwa 83.64%
Sasa mbona siwaelewi? Japo nina ushahidi wa watu 4 tuliojiandikisha kituo kimoja huko Monduli, na wamepiga kura katika kituo kimoja huko Iringa (Kwenye Muslim center moja) kwa masharti ya kwamba nani achaguliwe na wakati hadi siku ya uchaguzi walikuwa hawana zaidi ya mwezi pale, hivyo, siamini kama walipata nafasi ya kujiandikisha upya...! Lakini bado mimi naamini kila mmoja amekuwa akiongoza kulingana vigezo vifuatavyo;

  1. Upeo wa jamii husika hasa katika kuchambua mbivu na mbichi kuhusu sera na ahadi za wagombea...! (tazama makundi kama elites VS non elites)
  2. Umakini na ujuzi wa jamii husika juu ya tabia ya CCM hasa katika wizi wa kura na uhujumu wa maamuzi ya umma na mbinu za kulinda maamuzi hayo...!(tazama mijini na vijijini)
  3. Utayari wa watu husika kuhitaji mabadiliko na matumaini juu ya maisha yao...! (tazama mwitikio wa vijana VS wazee)
  4. Urahisi na ugumu wa watu kubadilika, na ujasiri/uwoga wa kudhubutu kujaribu mabadiliko katika maisha yao...! wengine wanadiriki kusihi turidhike na tulichonacho na tuache kutafuta mabadiliko. Hii imewaga sana watu kati ya wazee, wanawake na vijana...!
  5. Hali ya uchumi na udhaifu wa watu fulanifulani kuwa na mtazamo wa mbali kidogo. Hii imepelekea rushwa kufanya kazi kubwa katika maeneo kadhaa...!
  6. Vitisho vinavyotolewa kuwa eti tuwe makini sana katika kuvuruga amani na utulivu wa nchi na hivyo kuwafanya wengi kuchagua CCM ilhali wanajua si wasafi (kwa mujibu wa mioyo yao) kwa lengo tu la kulinda amani...!
  7. Watu wengi sana wamechagua CCM kwa kuamini kuwa wangechagua vyama vya upinzani, watakuwa wamepoteza kura zao maana kwa vyovyote CCM ingeshinda tu...! Hii pia ni ufinyu wa wamawazo/fikra za mtu kutokujua kuwa hata kura ilioko kwa CUF ina maana kubwa sana kwa CCM, CHADEMA, TLP....!(mfano matokeo ya uraisi wa sasa kule Zanzibar, ambao wamepishana only 1.00%, kura za CUF zinaipatia CCM changamoto ya umakini na kutobweteka madarakani, na hivyo kuchapa kazi). Jaribu kutazama majimbo ambayo CCM imepita bila kupingwa uone jinsi wale wagombea walivyolala usingizi...!
  8. nk
 
Matokeo ya uchaguzi yamedhihirisha udini na ukabila unavyoota mizizi katika siasa za Tanzania. CHADEMA wamepata ushindi katika maeneo ya wakristo wengi na makabila fulani fulani tu. Maeneo hayo ni Kilimanjaro, Kanda ya Ziwa, Iringa na Rukwa. Hii inatokana na safu za uongozi wa juu kutokana na dini na makabila hayo. Pia CCM imetetereka baada ya mfumo uliokuwa unakipa nguvu kuhamia CHADEMA. CCM imeendelea kushinda kwa sababu mfumo huo haujaondoka wote, bali nusunusu. Mwaka 2015, chama tawala kinaweza kuwa CHADEMA ikiwa mfumo huo wote utahamia chama hicho, lakini hakitatofautiana na CCM ya juzi na jana. CUF imeendelea kubaki nafasi yake ileile kwa sababu imeshindwa kupokewa na mfumo ulioistawisha CCM. CUF imeendelea kubakishwa ilipo kutokana na wapenzi na wanachama wake kuwa ving'ang'anizi wa mfumo wao wanaouona haufanani na vyama vingine. Waislamu wameendelea kuvichangia vyama vyote kura zao, Hususan CCM na CUF na CHADEMA Anayebisha ukweli huu ni kama anabisha kuwa asili ya watanzania ni Tanzania.
 
Ukiisha anza kuingiza mambo ya uchaguzi na udini hapo sipo pake kabisaaaaaaaaaa
 
What a stupid idea! probably from a buffoon. No space for such nonsense.
 
so stupid and nonsense sijui umetokea wapi please moderator futa upuuzi huu.
 
so stupid and nonsense sijui umetokea wapi please moderator futa upuuzi huu. Haraka sana kabla haujatuchafulia hali ya hewa hapa pleaseeeeee.
 
Matokeo ya uchaguzi yamedhihirisha udini na ukabila unavyoota mizizi katika siasa za Tanzania. CHADEMA wamepata ushindi katika maeneo ya wakristo wengi na makabila fulani fulani tu. Maeneo hayo ni Kilimanjaro, Kanda ya Ziwa, Iringa na Rukwa. Hii inatokana na safu za uongozi wa juu kutokana na dini na makabila hayo. Pia CCM imetetereka baada ya mfumo uliokuwa unakipa nguvu kuhamia CHADEMA. CCM imeendelea kushinda kwa sababu mfumo huo haujaondoka wote, bali nusunusu. Mwaka 2015, chama tawala kinaweza kuwa CHADEMA ikiwa mfumo huo wote utahamia chama hicho, lakini hakitatofautiana na CCM ya juzi na jana. CUF imeendelea kubaki nafasi yake ileile kwa sababu imeshindwa kupokewa na mfumo ulioistawisha CCM. CUF imeendelea kubakishwa ilipo kutokana na wapenzi na wanachama wake kuwa ving'ang'anizi wa mfumo wao wanaouona haufanani na vyama vingine. Waislamu wameendelea kuvichangia vyama vyote kura zao, Hususan CCM na CUF na CHADEMA Anayebisha ukweli huu ni kama anabisha kuwa asili ya watanzania ni Tanzania.

Kama ni ukweli uthibitishe. hapa unachofanya ni 'claims'. Sasa hizo 'claims' zi'support' kwa 'evidence'. Conclusion yako imesimama kwenye premises zipi?
 
Matokeo ya uchaguzi yamedhihirisha udini na ukabila unavyoota mizizi katika siasa za Tanzania. CHADEMA wamepata ushindi katika maeneo ya wakristo wengi na makabila fulani fulani tu. Maeneo hayo ni Kilimanjaro, Kanda ya Ziwa, Iringa na Rukwa. Hii inatokana na safu za uongozi wa juu kutokana na dini na makabila hayo. Pia CCM imetetereka baada ya mfumo uliokuwa unakipa nguvu kuhamia CHADEMA. CCM imeendelea kushinda kwa sababu mfumo huo haujaondoka wote, bali nusunusu. Mwaka 2015, chama tawala kinaweza kuwa CHADEMA ikiwa mfumo huo wote utahamia chama hicho, lakini hakitatofautiana na CCM ya juzi na jana. CUF imeendelea kubaki nafasi yake ileile kwa sababu imeshindwa kupokewa na mfumo ulioistawisha CCM. CUF imeendelea kubakishwa ilipo kutokana na wapenzi na wanachama wake kuwa ving'ang'anizi wa mfumo wao wanaouona haufanani na vyama vingine. Waislamu wameendelea kuvichangia vyama vyote kura zao, Hususan CCM na CUF na CHADEMA Anayebisha ukweli huu ni kama anabisha kuwa asili ya watanzania ni Tanzania.

kama huna cha kusema kamsaidie mkeo kupika
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom