MmasaiHalisi
Senior Member
- Jan 15, 2009
- 192
- 23
ushaidi unao kama watu wamepiga kura kutokana na dini ya mtu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naamini hii habari ya "udini" kwenye uchaguzi huu ilianza taratibu kama propaganda ambapo CCM walianza kwa kumhusisha Dr.Slaa na kanisa Katoliki na Kanisa lilipokanusha, wakaanza kukosoa "ucha Mungu" wa Dr.Slaa kwa madai kuwa "amelisaliti kanisa" kwa kuacha upadre na kuwa "ni mzinifu, amechukua mke wa mtu", na huku kwa waislamu, CCM wakihubiri kuwa "Dr.Slaa ni adui wa uislamu".
Kuna baadhi ya wakristo na waislamu walizipokea propaganda hizo kutoka CCM hasa pale zilipoendelezwa na viongozi wa Dini wajinga na vyombo vyao kama magazeti na radio, mifano ni kama ifuatavyo:
- Kuna baadhi ya masheikh walikuwa wanahubiri chuki dhidi ya wakristo na Dr.Slaa katika kipindi cha kampeni.
- Magazeti ya kiislamu yalikuwa yanamhujumu na kumkataa Dr.Slaa waziwazi huku yakiwapamba Kikwete na Lipumba (Al Huda, n.k).
- Kuna baadhi ya mapadri walimpigia kampeni Dr.Slaa kanisani ingawa Kardinali Pengo alipiga marufuku jambo hilo.
- Kuna baadhi ya wachungaji wakihofia agenda za CCM na KIkwete za OIC na Mahakama ya Kadhi wakamu endorse Dr.Slaa kama mbadala wa Kikwete ili asirudi madarakani na kuepusha agenda hizo.
- Kuna baadhi ya wachungaji na maaskofu walimhujumu Dr.Slaa kwa kujifanya si wadini huku wakimnadi na kujipendekeza kwa Kikwete (Askofu Gamamywa na Gazeti la Nyakati).
Ndio maana kulikuwa na waumini wenye vichwa vyepesi walioshawishika na hoja hizo za viongozi wao na hivyo kujikuta wakichagua viongozi kwa misingi ya udini.Matokeo ni kuwa kuna waislamu walimchagua Kikwete kwa Uislamu wake, kuna wakristo waliomchagua Dr.Slaa kwa Ukristo wake, Kuna wakatoliki wasio mchagua Slaa kwa "kuacha upadre na kulisaliti kanisa", kuna wakristo wasiomchagua Dr.Slaa kwa "uzinzi wa kuchukua mke wa mtu" (mama yangu akiwamo), kuna waislamu wa CUF waliomchagua Kikwete kwa kuwa ni muislamu mwenzao na kwa kuwa alikuwa na nafasi zaidi ya kushinda kuliko Lipumba, ili "wasikose kote" kwa Kikwete na Lipumba "kugawana kura za waislamu", n.k
Hata hivyo kuna wananchi wengi (waumini wa dini zote) ambao hawakushawishiwa na hoja hizo za udini kutoka kwa viongozi wao, bali waliangalia sera na mvuto wa kiongozi na chama husika. Wapo waislamu wengi (amini usiamini) waliomchagua Dr.Slaa kwa agenda ya kutokomeza Ufisadi, kutoa elimu bora bure na kuwapa fursa ya makazi bora, n.k na huku pia wakiwamo Wakristo waliomchagua Kikwete kwa kuamini uzoefu wake na chama chake, "amani na utulivu", n.k
Mimi naamini mbegu za udini zimeshapandwa na CCM pamoja na baadhi ya viongozi wa dini zote, na majeraha yake yameumiza watu wengi. Lazima tufanye mjadala wa kitaifa kuhusu hatima ya mahusiano na uvumilivu wa dini zetu na mahusiano yake na siasa za nchi yetu ili kujenga upya mshikamano na kuondoa fikra za ubaguzi (haitoshi tu kwa viongozi kukemea wakati kuna issues nyingi ambazo hazijashughulikiwa na madonda makubwa yanaumiza watu wengi).
Naomba kuwasilisha!
wewe ndiyo mawazo yako yamejaa udiniMaeneo yenye wakristo wengi SLAA na CHADEMA alipewa kura nyingi zaidi ya JK na maeneo ya Waislam wengi JK aliata kura nyingi sehemu zingine kama Bukoba vijijini ndio walikoamua kumnyima kabisa JK kura. Sasa mambo ya kudanganyana eti ohhh viongozi wa kidini wapige vita udini naona imekuwa kama kutwanga maji kwenye kinu.
Hamuamini tazameni matokeo ya uchaguzi huuu KILAKALA Morogoro na maeneo hata ya Dar yalivyojigawa kutokana na dini za watu
Naamini hii habari ya "udini" kwenye uchaguzi huu ilianza taratibu kama propaganda ambapo CCM walianza kwa kumhusisha Dr.Slaa na kanisa Katoliki na Kanisa lilipokanusha, wakaanza kukosoa "ucha Mungu" wa Dr.Slaa kwa madai kuwa "amelisaliti kanisa" kwa kuacha upadre na kuwa "ni mzinifu, amechukua mke wa mtu", na huku kwa waislamu, CCM wakihubiri kuwa "Dr.Slaa ni adui wa uislamu".
Kuna baadhi ya wakristo na waislamu walizipokea propaganda hizo kutoka CCM hasa pale zilipoendelezwa na viongozi wa Dini wajinga na vyombo vyao kama magazeti na radio, mifano ni kama ifuatavyo:
Ndio maana kulikuwa na waumini wenye vichwa vyepesi walioshawishika na hoja hizo za viongozi wao na hivyo kujikuta wakichagua viongozi kwa misingi ya udini.Matokeo ni kuwa kuna waislamu walimchagua Kikwete kwa Uislamu wake, kuna wakristo waliomchagua Dr.Slaa kwa Ukristo wake, Kuna wakatoliki wasio mchagua Slaa kwa "kuacha upadre na kulisaliti kanisa", kuna wakristo wasiomchagua Dr.Slaa kwa "uzinzi wa kuchukua mke wa mtu" (mama yangu akiwamo), kuna waislamu wa CUF waliomchagua Kikwete kwa kuwa ni muislamu mwenzao na kwa kuwa alikuwa na nafasi zaidi ya kushinda kuliko Lipumba, ili "wasikose kote" kwa Kikwete na Lipumba "kugawana kura za waislamu", n.k
- Kuna baadhi ya masheikh walikuwa wanahubiri chuki dhidi ya wakristo na Dr.Slaa katika kipindi cha kampeni.
- Magazeti ya kiislamu yalikuwa yanamhujumu na kumkataa Dr.Slaa waziwazi huku yakiwapamba Kikwete na Lipumba (Al Huda, n.k).
- Kuna baadhi ya mapadri walimpigia kampeni Dr.Slaa kanisani ingawa Kardinali Pengo alipiga marufuku jambo hilo.
- Kuna baadhi ya wachungaji wakihofia agenda za CCM na KIkwete za OIC na Mahakama ya Kadhi wakamu endorse Dr.Slaa kama mbadala wa Kikwete ili asirudi madarakani na kuepusha agenda hizo.
- Kuna baadhi ya wachungaji na maaskofu walimhujumu Dr.Slaa kwa kujifanya si wadini huku wakimnadi na kujipendekeza kwa Kikwete (Askofu Gamamywa na Gazeti la Nyakati).
Hata hivyo kuna wananchi wengi (waumini wa dini zote) ambao hawakushawishiwa na hoja hizo za udini kutoka kwa viongozi wao, bali waliangalia sera na mvuto wa kiongozi na chama husika. Wapo waislamu wengi (amini usiamini) waliomchagua Dr.Slaa kwa agenda ya kutokomeza Ufisadi, kutoa elimu bora bure na kuwapa fursa ya makazi bora, n.k na huku pia wakiwamo Wakristo waliomchagua Kikwete kwa kuamini uzoefu wake na chama chake, "amani na utulivu", n.k
Mimi naamini mbegu za udini zimeshapandwa na CCM pamoja na baadhi ya viongozi wa dini zote, na majeraha yake yameumiza watu wengi. Lazima tufanye mjadala wa kitaifa kuhusu hatima ya mahusiano na uvumilivu wa dini zetu na mahusiano yake na siasa za nchi yetu ili kujenga upya mshikamano na kuondoa fikra za ubaguzi (haitoshi tu kwa viongozi kukemea wakati kuna issues nyingi ambazo hazijashughulikiwa na madonda makubwa yanaumiza watu wengi).
Naomba kuwasilisha!
mimi muislam lakini kikwete sijampa kura
Matokeo ya uchaguzi yamedhihirisha udini na ukabila unavyoota mizizi katika siasa za Tanzania. CHADEMA wamepata ushindi katika maeneo ya wakristo wengi na makabila fulani fulani tu. Maeneo hayo ni Kilimanjaro, Kanda ya Ziwa, Iringa na Rukwa. Hii inatokana na safu za uongozi wa juu kutokana na dini na makabila hayo. Pia CCM imetetereka baada ya mfumo uliokuwa unakipa nguvu kuhamia CHADEMA. CCM imeendelea kushinda kwa sababu mfumo huo haujaondoka wote, bali nusunusu. Mwaka 2015, chama tawala kinaweza kuwa CHADEMA ikiwa mfumo huo wote utahamia chama hicho, lakini hakitatofautiana na CCM ya juzi na jana. CUF imeendelea kubaki nafasi yake ileile kwa sababu imeshindwa kupokewa na mfumo ulioistawisha CCM. CUF imeendelea kubakishwa ilipo kutokana na wapenzi na wanachama wake kuwa ving'ang'anizi wa mfumo wao wanaouona haufanani na vyama vingine. Waislamu wameendelea kuvichangia vyama vyote kura zao, Hususan CCM na CUF na CHADEMA Anayebisha ukweli huu ni kama anabisha kuwa asili ya watanzania ni Tanzania.