Ujinga mtupu...Tanzania Fact sheet: Christians 30% Muslims 35% Others 35% Source: CIA Website. Choko choko za udini mara nyingi huanzishwa na kundi la pili hapo juu. Nawashauri wasifanye hivyo kwa sababu mwishowe hawatakuja kutawala Tanzania TENA kwa sababu kundi la tatu ni rahisi zaidi kujiunga na la kwanza katika uongozi kuliko kwenda la tatu ambalo mara nyingi huogopwa na wengi. NI USHAURI TU, NAWAKILISHA.
Pengine hamkumbuki history ya tanganyika, mahakama ya kadhi ilikuwepo kabla ya uhuru na miaka ya mwanzoni mwa uhuru. sio kitu kigeni, kama wakoloni waliruhusu na hawakuwa waislam, je sisi watz wenyewe. Fuatilieni Mahakama ya kadhi ni nini na inafanya kazi zipi. Baada ya hapo toa hoja. Tusiingize Ushabiki wa Simba na Yanga. Tujadili Mafisadi awe Muislam, Mkristo au Kama kingunge.
I am afraid this is mere fear of unknown or a deliberate effort to divert peoples' thinking from real issues affecting our country at the moment. What are evidencies of the so called UDINI? Hakuna kitu msitupandikizie mawazo ya ajabu ya vitu visivyokuwepo kwenye mawazo yetu.
hivi ni tangazo gani hilo la kidini walilolitoa huko ikulu??Ili kuonesha kuwa jambo la udini linamkera kutoka moyoni anatakiwa kuwafukuza wasaidizi wake wote waliotumia propaganda za udini katika kumpatia JK advantage ya kisiasa. Na kuanzia awafukuze wakurugenzi wa IKULU waliofadhili tangazo la udini kisha ashuke kwa vilaza wake kina Tambwe Hiza.
Hawa si ndio walidhamini tangazo la udini kupitia Ikulu kama ilivolipotiwa na raia mwema?
Alafu huu udini wanaohubiri mbona hawatoi evidences watu wanaishia kusema udini udini bila kusubstantiate where