Ulikuwa unategemea nini kutoka kwa padiri aliefukuzwa kanisani kwa zinaa?
Inabidi ajipendekeze kanisani kuonekana kuwa anajali kanisa, na huku ana mke wa mtu! Na dini na wadhifa wake hauruhusu hilo. ukishangaa ya Musa utayaona ya Slaa!
hahahahahahahaha hii nilikuwa sijaijua!
Wapo watu wanaomini Tanzania hakuna udini, lkn pia wapo wanaoamini Tanzania kuna Udini.
1) Anapokuwa rais Mkiristo, waislam huwa hawatulii, huanzisha maneno, maandamano na malumbano sana UTAWALA unaokuwepo. kwa mfano Hadi leo waislam wengi hawaumini utwala wa baba wataifa, huku madhehebu ya wakiristo wanamuna baba wa Taifa ni mtu safi sana.
2) Wakati wa Mh Mkapa tulishudia waislam wakiandamana, kufanya makongamano na kutoa matamko makali kuhusu utawala wa mh Mkapa Japo mengine yalikuwa kwa ajili ya Taifa lkn wao walikuwa hayaoni . huku wakiristo wakiwa kimya na kutii utawala wa Mh mkapa japo baadhi ya matukio utwala ukivunja haki za binaadamu,
3)Wakati wa Mh mwinyi, tulishuhudia malumbano kati ya wakiristo na Utawala uliopo, tulishuhudia malumbano makubwa kati ya maaskofu na Utawala wa Mh MWINYI hata kufikia Marehemu Kigoma Malima kuandamwa na yeye kulalamika kwamba Udini unatumika.
4) Baada ya kuwa Kimya katika Utawala wa Mh mkapa licha ya baadhi ya maovu kama mauji kutokea. Lkn leo wanajitokeza kutoa matamko ambayo huko nyuma wallikuwa hawataki kuyatoa.yaliokuwa yakifanywa na ccm wakati wa Mh mkapa maaskofu walikuwa kimya, wengine wakipongeza lkn sasa yamekuwa Kero. na wasiwasi wangu hata akija rais mkiristo maaskofu watakuwa kimya na watasahu haya yote
5) Waislam licha ya Utawala wa Jk baadhi ya matukio kukiuka haki za binaadamu, wapo kimya, hakuna tena maandamano kama yale wakati wa Mkapa, na wapo mbele kuutetea utawala wa Jk kwa gharama zozote.
jee hapa nani alaumiwe?
Hivi wewe hii mijadala ya kipumbavupumbavu inakusaidia nini yaani wewe kila wakati dini dini, jukwaa hili tunjadili masuala ya mustakabali wa taifa letu. Haya mambo yasiyo kichwa wala miguu hayajengi barabara, wala hayajengi madarasa, wala kuongeza walimu.
Nimekusoma karibu threads zako zote wewe ni dini tuuuuuuuuu! Na by the look of things unaonekana ni mtu yule yule unaingia na majina tofauti tofauti. Man up bro! kama hii ndiyo interest yako basi nenda kwa hao watu wa dini maaskofu, mashehe mkajadili masuala haya.
Huchoki??????????? Shame on ya!!
Pengo: Sikutarajia polisi kuua raiaimekula kwako na udini wako....
pengo: Sikutarajia polisi kuua raia
pengo: Sikutarajia polisi kuua raia
"sikutegemea hata mara moja kwamba walinda usalama wanaweza kutumia silaha wakaua watu. Sikutegemea kwamba wanaweza kuua hata mtu mmoja. Wale wanapaswa kutetea uhai wa watanzania. Wachukue silaha dhidi ya watanzania, waue watu haidhuru wamekosaje, ni jambo ambalo sikutegemea kamwe kwamba lingeweza kutokea," alisema kardinali pengo.
Na peter mwenda
askofu mkuu wa jimbo kuu la dar es salaam, mwadhama polycarp kadinali pengo amesema
kitendo cha polisi waliopewa dhamana ya kulinda wananchi kuua watu wasio na hatia kinaashiria maafa makubwa kutokea nchini.
Akihutubia waumini wa kanisa katoliki wa jimbo la dar es salaam katika misa ya kuwaombea wafiadini wa pugu iliyofanyika kituo cha hija, pugu juzi, kardinali pengo alisema hakutarajia jambo hilo linaweza kutokea tanzania bara, ambako kuna historia ya kuitwa kisiwa cha amani duniani.
"sikutegemea hata mara moja kwamba walinda usalama wanaweza kutumia silaha wakaua watu. Sikutegemea kwamba wanaweza kuua hata mtu mmoja. Wale wanapaswa kutetea uhai wa watanzania. Wachukue silaha dhidi ya watanzania, waue watu haidhuru wamekosaje, ni jambo ambalo sikutegemea kamwe kwamba lingeweza kutokea," alisema kardinali pengo.
Kutokana na tukio hilo kiongozi huyo aliwataka watanzania bila kujali madhehebu yao wasimpuuze mungu, bali warejee kumuomba ili arejeshe amani tanzania iliyoachwa na waasisi wa nchi hii, mwalumu julius nyerere na abeid amani karume.
Kardinali pengo alisema tukio la polisi kuua raia lililotokea arusha kwa wananchi wasio na hatia kupigwa risasi liimetia doa tanzania, limeipaka matope tanzania.
Kiongozi huyo aliwataka watanzania watambue kuwa hana lengo la kueneza hisia za chuki, woga wala hisia za aina yoyote, bali lengo lake kuwafanya watu watambue kwamba kama tumeishi kwa amani ni mwenyezi aliyetuopa amani hiyo.
"tutambue kwamba tulipoitwa kisiwa cha amani ilitokana na waasisi wa taifa letu kujenga misingi ya amani, kama tukidhani ilitokana na nguvu yoyote ya kibinadamu tutakuwa tunajidanganya," alisema.
"kitendo cha watu kutegemea nguvu ya silaha wakifiriki kwamba njia hiyo ndiyo italeta amani au wataweza kuleta ushindi wao, huko ni kujidanyanganya na kumtukana mungu, kwa vile hayo ni maandalizi ya maafa makubwa kwa ajili ya taifa la tanzania," alisema na kuongeza mwenyezi atuepushie na laana hiyo..
Kutokana na hali hiyo iliyosababisha watu watatu kuuawa kwa risasi na wengine zaidi ya 30 kujeruhiwa, kardinali pengo aliwataka watanzania waungane naye kuomba ili laana inayonyemelea tanzania kutokana kwa kumpuuza mungu iepukwe.
wapo watu wanaomini tanzania hakuna udini, lkn pia wapo wanaoamini tanzania kuna udini.
1) anapokuwa rais mkiristo, waislam huwa hawatulii, huanzisha maneno, maandamano na malumbano sana utawala unaokuwepo. Kwa mfano hadi leo waislam wengi hawaumini utwala wa baba wataifa, huku madhehebu ya wakiristo wanamuna baba wa taifa ni mtu safi sana.
2) wakati wa mh mkapa tulishudia waislam wakiandamana, kufanya makongamano na kutoa matamko makali kuhusu utawala wa mh mkapa japo mengine yalikuwa kwa ajili ya taifa lkn wao walikuwa hayaoni . Huku wakiristo wakiwa kimya na kutii utawala wa mh mkapa japo baadhi ya matukio utwala ukivunja haki za binaadamu,
3)wakati wa mh mwinyi, tulishuhudia malumbano kati ya wakiristo na utawala uliopo, tulishuhudia malumbano makubwa kati ya maaskofu na utawala wa mh mwinyi hata kufikia marehemu kigoma malima kuandamwa na yeye kulalamika kwamba udini unatumika.
4) baada ya kuwa kimya katika utawala wa mh mkapa licha ya baadhi ya maovu kama mauji kutokea. Lkn leo wanajitokeza kutoa matamko ambayo huko nyuma wallikuwa hawataki kuyatoa.yaliokuwa yakifanywa na ccm wakati wa mh mkapa maaskofu walikuwa kimya, wengine wakipongeza lkn sasa yamekuwa kero. Na wasiwasi wangu hata akija rais mkiristo maaskofu watakuwa kimya na watasahu haya yote
5) waislam licha ya utawala wa jk baadhi ya matukio kukiuka haki za binaadamu, wapo kimya, hakuna tena maandamano kama yale wakati wa mkapa, na wapo mbele kuutetea utawala wa jk kwa gharama zozote.
Jee hapa nani alaumiwe?
kweli. lkn naona topic nyingi za askofu laizer na makamba, sasa sijui unakusdia nini unaposema mpumbavu. jee haya yote huyaoni au huyataki? lkn sasa kuna malumbano makubwakati ya kanisa na ccm. lkn pia kuna malumbano kati ya waislam na maaskofu. sasa hapa kosa langu nini? nitende haki. au unaficha jambo hutaki tulijdalili.
hata gazeti la leo limeandika pengo akasirika kuuwa raia.
Hoja aliyoileta Muhogo Mchungu kabla ya hii, kuhusu Chadema kukiuka maadili ya kiIslam kutumia maziko kujitafutia umaarufu wa kisiasa,hoja yake ilikuwa ni valid kabisa, kwani leo tunaona kumbe Arusha kulikuwa kuna mvutano ndani ya Chadema hata Mwenyekiti wa Wenyeviti wa Chadema mkoani Arusha, Fundikira, ambae ni muIslaam hakuhudhuria ukiukwaji wa maadili ya kiIslaam wa kuaga miili ya wafu uwanjani ambao unakinzana na heshima za maiti na maadili ya kiIslaam.
Hii hoja pia ni valid. Tutake tusitake, Tanzania haina dini lakini wa Tanzania tuna dini.
Kwa muono wangu, Tanzania kuna udini, mie naona bora tuukubali na tuujadili ili kupata ku-vent out. Kuliko kuficha maradhi.
Zomba umesema.Hoja aliyoileta Muhogo Mchungu kabla ya hii, kuhusu Chadema kukiuka maadili ya kiIslam kutumia maziko kujitafutia umaarufu wa kisiasa,hoja yake ilikuwa ni valid kabisa, kwani leo tunaona kumbe Arusha kulikuwa kuna mvutano ndani ya Chadema hata Mwenyekiti wa Wenyeviti wa Chadema mkoani Arusha, Fundikira, ambae ni muIslaam hakuhudhuria ukiukwaji wa maadili ya kiIslaam wa kuaga miili ya wafu uwanjani ambao unakinzana na heshima za maiti na maadili ya kiIslaam.
Hii hoja pia ni valid. Tutake tusitake, Tanzania haina dini lakini wa Tanzania tuna dini.
Kwa muono wangu, Tanzania kuna udini, mie naona bora tuukubali na tuujadili ili kupata ku-vent out. Kuliko kuficha maradhi.
Hivi wewe hii mijadala ya kipumbavupumbavu inakusaidia nini yaani wewe kila wakati dini dini, jukwaa hili tunjadili masuala ya mustakabali wa taifa letu. Haya mambo yasiyo kichwa wala miguu hayajengi barabara, wala hayajengi madarasa, wala kuongeza walimu.
Nimekusoma karibu threads zako zote wewe ni dini tuuuuuuuuu! Na by the look of things unaonekana ni mtu yule yule unaingia na majina tofauti tofauti. Man up bro! kama hii ndiyo interest yako basi nenda kwa hao watu wa dini maaskofu, mashehe mkajadili masuala haya.
Huchoki??????????? Shame on ya!!
Wewe ndio mdini
maji yakiishamwagika hayazoleki sidhani kama tanzania ni kisiwa cha amani
Wewe ndio mdini