Kifurukutu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 4,641
- 6,694
Leo mheshimiwa Rais Samia Suluhu amesema kuwa baada ya kuapishwa kuna mtu alimfuata akampa hongera pamoja na pole.
Pia akamwambia kwamba katika uongozi wako, hautapingwa na wapinzani zaidi ni kijani mwenzako
Je mtu huyo ni nani aliyempa Rais taarifa hii ambayo kwa sasa inajidhihiri?
Ni anatokea upinzani?