Ni nani aliyempa Rais pongezi na tahadhari ya kupingwa na kijani

Kifurukutu

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2013
Posts
4,641
Reaction score
6,694
Leo mheshimiwa Rais Samia Suluhu amesema kuwa baada ya kuapishwa kuna mtu alimfuata akampa hongera pamoja na pole.

Pia akamwambia kwamba katika uongozi wako, hautapingwa na wapinzani zaidi ni kijani mwenzako

Je mtu huyo ni nani aliyempa Rais taarifa hii ambayo kwa sasa inajidhihiri?

Ni anatokea upinzani?
 
Wacha wavuragane… tunataka wapinzani watoke kijani…ndio tutapata maendeleo ya kweli….makundi makubwa yenye nguvu mawili tunayataka…haya na mpira uanze
 
Jakaya
 
Aaaah watanzania Leo mnasahau? Jamani yule Babu wa Ruksa si ndio alienda wa kwanza kutoa pongezi na pole?
 
Bila shaka ni mkuu wa TISS wa wakati huo ambaye pia ni mchungaji.
 
 
Nakumbuka Mabeyo alisema kuna siri ameachiwa na Magufuli, labda ndiyo hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…