Ni nani aliyempa Rais pongezi na tahadhari ya kupingwa na kijani

Maswali ya kijinga ,kama yeye hakumsema sisi tutajuaje uwe unatumia akili
 
Yule mzee Wiseman wamakamo huyu hapa
 

Attachments

  • Screenshot_2022-01-04-23-09-36-52.jpg
    97 KB · Views: 9
MBONA TUNAMJUA NI YULE BERIZEBULI WA MSOGA
 
Chawa baba....
 
Ni uhuru kenyatta

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Hotuba ilisheheni kweli kweli. Kila sentensi ya hotuba inaanzishiwa uzi. JF sihami, ha ha haaa!
 
 
Ni ndoto za uchu wa madaraka ya urais
 
Samia URAIS umeanza kumkolea hivyo msije shangaa akafanya mambo ya hovyo kuliko Magufuli!! Ameisha anza kupata kigugumizi kuhusu katiba mpya baada ya Kikwete kumshauri kuwa akilubali katiba mpya ipatikane atakosa muhila wa pili wa Urais!!
Hiyo tume waliounda eti tume ya vyama vya siasa ni wateule wanapata maelekezo kutoka kwa Kikwete!! Huyo mwenyekiti wao Mukandala ni chawa wa Vasco Dagama wa siku nyingi. Hivyo mapendekezo yao ni yale watakayotaka ili waendeleze ufisadi wao.
 
Wewe haya umeyaleta mwenyewe... jitahidi ufukunyue utuletee majibu pia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…