My Son drink water
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 4,932
- 13,306
We...mremho huwa Bado upo?Angekuwepo, sahivi vile visiafu vyenye kofia nyekundu vingekua standby.....
Kesho wapinzani ndani, faini milioni 10, ahsante Mungu tumezika matatizo!!!
My son drink water...We...mremho huwa Bado upo?
Sijui nitakupataje yaani
Kwani katiba inasemajeAma kweli mambo yamebadilika sana mpaka watu wamesahau majukumu yao. Leo viongozi wa vyama vya upinzani wataongea na watanzania kupitia vyombo vya habari. Jambo linalonitatiza ni pamoja na kwamba hii itakuwa mara ya kwanza kwa wapinzani hawa kuzungumzia mambo ya kitaifa tangu Rais Samia aingie madarakani.
Na kwa kuwa Rais wetu hayupo nchini na kulingana na mtifuano mkali uliopo wa ripoti wa CAG na serikali ni nani ameruhusu watu hawa kuzungumzia mambo ya kitaifa? Tena mbele ya wanahabari na matukio yao kurushwa live?
Kwa nini hukuhoji wewe kwanza unasubiri mpk mtu afe ndio mhoji?uoga wenu ndio maana mnapigwa pesa tu.
unahoji kwenye keyboard umejifungia ndani na mkeo,sisi ndio tukuhojie?badae uanze kutuita wajinga wale 🤣🤣😂😂😂
Kama lema,mbowe wote walikimbia,saiv ndio wanarudi,ulitaka mm ndio ningehoji mkuu,ili nionekane kwako ni shujaa sio juha
Acha hizo 🤣🤣🤣wote ni majuha mpk wewe
Hebu tulia ww acha kusumbua wanaume
Komaa kamanda!...acha kua kamanda wa kwenye keyboard.Hebu tulia ww acha kusumbua wanaume.
Acheni hizo nyie,alikua na matatizo yake kitambo tu sio eti nyie chadema mliomba .Bora limekufa,mlidhani angetesa Watanzania mpaka lini?
Watu Tuliomba sana hatimaye MUNGU akatujibu,Mama hawezi kujaribu ujinga wa Hayati,Tutaomba naye afe na itakuwa hivyo.
Mtulie sasa,ya nini mnamsengenya mtu ameshaondoka?Ila kwa Ndesamburo Moshi ilikuwa dhambi?
Mwacheni Mwanakwenda avune alichopanda
Chuki na visasi ilikuwa Ibada yake Kuu
Mtulie sasa,sio mnaanza leta mambo yenu ya kuandamanaEnzi zenu za kuteka watu zilishapita
i wont care. maana nitakuwa najua mzee alikuwa na maadui. crushed ni kitu cha kawaida.Sasa unampayukia na nani na maswali yako ya kwamba nmefika Libya, unamaliza mate tu.. vitu vingine sio vya kubishania hapa nenda kagoogle kuanzia wealth na welfare ya wana Libya sasa hv compare na enzi za mwana hapo nyuma halaf uone, sawa walimtoa jamaa vipi nchi yao machafuko yaliisha!? He is Dead men and dead men tells no story ila hata kimila tu what we are doing right now ni upuuzi.. assume ww ndio mmoja wa wanafamilia wa mzee, miezi haijapita kila sehem anakua crushed.. that's not fair
Mungu anajibu maombi kwa wakati wake aonavyo inafaa. Hafananishwi na chochote.Mungu fundi aisee.
Ama kweli mambo yamebadilika sana mpaka watu wamesahau majukumu yao. Leo viongozi wa vyama vya upinzani wataongea na watanzania kupitia vyombo vya habari. Jambo linalonitatiza ni pamoja na kwamba hii itakuwa mara ya kwanza kwa wapinzani hawa kuzungumzia mambo ya kitaifa tangu Rais Samia aingie madarakani.
Na kwa kuwa Rais wetu hayupo nchini na kulingana na mtifuano mkali uliopo wa ripoti wa CAG na serikali ni nani ameruhusu watu hawa kuzungumzia mambo ya kitaifa? Tena mbele ya wanahabari na matukio yao kurushwa live?
KATIBA YA CCM ndiyo imeruhusu, ya JMT 1977 imewakataza.Ama kweli mambo yamebadilika sana mpaka watu wamesahau majukumu yao. Leo viongozi wa vyama vya upinzani wataongea na watanzania kupitia vyombo vya habari. Jambo linalonitatiza ni pamoja na kwamba hii itakuwa mara ya kwanza kwa wapinzani hawa kuzungumzia mambo ya kitaifa tangu Rais Samia aingie madarakani.
Na kwa kuwa Rais wetu hayupo nchini na kulingana na mtifuano mkali uliopo wa ripoti wa CAG na serikali ni nani ameruhusu watu hawa kuzungumzia mambo ya kitaifa? Tena mbele ya wanahabari na matukio yao kurushwa live?
Majinga ya CCM hasa yale Masukuma kweli tatizo kubwa kwa Nchi yetu, kwani ni Rais ndiye mwenye wajibu wa kuturuhusu Watanzania kuongea na lazima awepo ndo tuongee? Ndo maana Mwendazake alikuwa hasafiri tusije tukaongea akiwa hayupo!Ama kweli mambo yamebadilika sana mpaka watu wamesahau majukumu yao. Leo viongozi wa vyama vya upinzani wataongea na watanzania kupitia vyombo vya habari. Jambo linalonitatiza ni pamoja na kwamba hii itakuwa mara ya kwanza kwa wapinzani hawa kuzungumzia mambo ya kitaifa tangu Rais Samia aingie madarakani.
Na kwa kuwa Rais wetu hayupo nchini na kulingana na mtifuano mkali uliopo wa ripoti wa CAG na serikali ni nani ameruhusu watu hawa kuzungumzia mambo ya kitaifa? Tena mbele ya wanahabari na matukio yao kurushwa live?
Nitarejea mneno yako hayo kwani muda ndio mwamuziTumezika kubwa lao