Ni nani aliyeruhusu Mbowe na Zito kabwe kuongea na taifa wakati mkuu wa nchi akiwa nje ya nchi

Kwa
Ama kweli mambo yamebadilika sana mpaka watu wamesahau majukumu yao. Leo viongozi wa vyama vya upinzani wataongea na watanzania kupitia vyombo vya habari. Jambo linalonitatiza ni pamoja na kwamba hii itakuwa mara ya kwanza kwa wapinzani hawa kuzungumzia mambo ya kitaifa tangu Rais Samia aingie madarakani.

Na kwa kuwa Rais wetu hayupo nchini na kulingana na mtifuano mkali uliopo wa ripoti wa CAG na serikali ni nani ameruhusu watu hawa kuzungumzia mambo ya kitaifa? Tena mbele ya wanahabari na matukio yao kurushwa live?
Kwani katiba inasemaje
 
Kwa nini hukuhoji wewe kwanza unasubiri mpk mtu afe ndio mhoji?uoga wenu ndio maana mnapigwa pesa tu.
unahoji kwenye keyboard umejifungia ndani na mkeo,sisi ndio tukuhojie?badae uanze kutuita wajinga wale 🤣🤣😂😂😂

Kama lema,mbowe wote walikimbia,saiv ndio wanarudi,ulitaka mm ndio ningehoji mkuu,ili nionekane kwako ni shujaa sio juha
Acha hizo 🤣🤣🤣wote ni majuha mpk wewe

Hebu tulia ww acha kusumbua wanaume.
 
Bora limekufa,mlidhani angetesa Watanzania mpaka lini?
Watu Tuliomba sana hatimaye MUNGU akatujibu,Mama hawezi kujaribu ujinga wa Hayati,Tutaomba naye afe na itakuwa hivyo.
Acheni hizo nyie,alikua na matatizo yake kitambo tu sio eti nyie chadema mliomba .
 
Sasa unampayukia na nani na maswali yako ya kwamba nmefika Libya, unamaliza mate tu.. vitu vingine sio vya kubishania hapa nenda kagoogle kuanzia wealth na welfare ya wana Libya sasa hv compare na enzi za mwana hapo nyuma halaf uone, sawa walimtoa jamaa vipi nchi yao machafuko yaliisha!? He is Dead men and dead men tells no story ila hata kimila tu what we are doing right now ni upuuzi.. assume ww ndio mmoja wa wanafamilia wa mzee, miezi haijapita kila sehem anakua crushed.. that's not fair
i wont care. maana nitakuwa najua mzee alikuwa na maadui. crushed ni kitu cha kawaida.
good news is mm sio mwanafamilia.. ila msiba naujua.
 
Tuwekee vipengele vya sheria au katiba vinavyowazuia kuongea.
Ama kweli mambo yamebadilika sana mpaka watu wamesahau majukumu yao. Leo viongozi wa vyama vya upinzani wataongea na watanzania kupitia vyombo vya habari. Jambo linalonitatiza ni pamoja na kwamba hii itakuwa mara ya kwanza kwa wapinzani hawa kuzungumzia mambo ya kitaifa tangu Rais Samia aingie madarakani.

Na kwa kuwa Rais wetu hayupo nchini na kulingana na mtifuano mkali uliopo wa ripoti wa CAG na serikali ni nani ameruhusu watu hawa kuzungumzia mambo ya kitaifa? Tena mbele ya wanahabari na matukio yao kurushwa live?
 
Ama kweli mambo yamebadilika sana mpaka watu wamesahau majukumu yao. Leo viongozi wa vyama vya upinzani wataongea na watanzania kupitia vyombo vya habari. Jambo linalonitatiza ni pamoja na kwamba hii itakuwa mara ya kwanza kwa wapinzani hawa kuzungumzia mambo ya kitaifa tangu Rais Samia aingie madarakani.

Na kwa kuwa Rais wetu hayupo nchini na kulingana na mtifuano mkali uliopo wa ripoti wa CAG na serikali ni nani ameruhusu watu hawa kuzungumzia mambo ya kitaifa? Tena mbele ya wanahabari na matukio yao kurushwa live?
KATIBA YA CCM ndiyo imeruhusu, ya JMT 1977 imewakataza.
Lowassa aliwaambie msome hamtaki mnabaki kulamba nanii , nanii
 
Ama kweli mambo yamebadilika sana mpaka watu wamesahau majukumu yao. Leo viongozi wa vyama vya upinzani wataongea na watanzania kupitia vyombo vya habari. Jambo linalonitatiza ni pamoja na kwamba hii itakuwa mara ya kwanza kwa wapinzani hawa kuzungumzia mambo ya kitaifa tangu Rais Samia aingie madarakani.

Na kwa kuwa Rais wetu hayupo nchini na kulingana na mtifuano mkali uliopo wa ripoti wa CAG na serikali ni nani ameruhusu watu hawa kuzungumzia mambo ya kitaifa? Tena mbele ya wanahabari na matukio yao kurushwa live?
Majinga ya CCM hasa yale Masukuma kweli tatizo kubwa kwa Nchi yetu, kwani ni Rais ndiye mwenye wajibu wa kuturuhusu Watanzania kuongea na lazima awepo ndo tuongee? Ndo maana Mwendazake alikuwa hasafiri tusije tukaongea akiwa hayupo!
 
Back
Top Bottom