Ni nani aliyeruhusu Mbowe na Zito kabwe kuongea na taifa wakati mkuu wa nchi akiwa nje ya nchi

...nani ameruhusu watu hawa kuzungumzia mambo ya kitaifa? tena mbele ya wanahabari na matukio yao kurushwa live?
Akili kama hizi ndo zinaturudisha nyuma sana...

Hujui kama kutoa na kupokea maoni ni haki ya wote Kikatiba?!

Mwisho utasema unaomba "kibali" ili kula ugali nyumbani kwako
 
Ama kweli mambo yamebadirika sana mpaka watu wamesahau majukumu yao. Leo viongozi wa vyama vya upinzani wataongea na watanzania kupitia vyombo vya habari. Jambo linalonitatiza ni pamoja na kwamba hii itakuwa mara ya kwanza kwa wapinzani hawa kuzungumzia mambo ya kitaifa tangu rais Samia aingie madarakani. Na kwa kuwa rais wetu hayupo nchini na kulingana na mtifuano mkali uliopo wa ripoti wa CAG na serikali ni nani ameruhusu watu hawa kuzungumzia mambo ya kitaifa? tena mbele ya wanahabari na matukio yao kurushwa live?
Kwani shida nini??
 
Sasa mbna naona Libya ya pili, mambo yalikua hivi.. speed kibao.. hamma kitu kinatisha kama hizi pupa tulizoanza nazo, Too much is harmful always.. juzi nlkua nmekaa na wazee wakasema heri uwe mbabe mwenye manufaa kuliko upole wa kijinga na kuwatolea mahayati mfano kuanzia Jk, Karume, Benj, mpaka sasa.. ndio nmeanza kuona sasa
 
Mkuu c watu walikuwa wanalalamikaa ukandamizwaji wa vyamaa pinzani ss c ndio mmeanzaa kuupewaa au hamuutaki tenaa???bongo Bhana kz kwel kwel
 
Wanataka waanze kuleta usumbufu wao tena kwa mama samia baada ya kumkimbia magufuli eeh, kichapo walichokua wanapata toka kwa magufuli kilikua cha haja,mpk wakakimbia wote,wakianza mambo yao ya kumsumbua mama watakula viboko tu saiv 😂😂😂
Yupo wapi sasa' huyo mbabe wako? Mbona baadaye akawa anatembezwa tu viwanjani na subordinates wake just for show off?.......mara Taifa, mara Dodoma, mara Zanzibar mara Mwanza etc etc. Almradi vurugu.
 
Ama kweli mambo yamebadirika sana mpaka watu wamesahau majukumu yao. Leo viongozi wa vyama vya upinzani wataongea na watanzania kupitia vyombo vya habari. Jambo linalonitatiza ni pamoja na kwamba hii itakuwa mara ya kwanza kwa wapinzani hawa kuzungumzia mambo ya kitaifa tangu rais Samia aingie madarakani. Na kwa kuwa rais wetu hayupo nchini na kulingana na mtifuano mkali uliopo wa ripoti wa CAG na serikali ni nani ameruhusu watu hawa kuzungumzia mambo ya kitaifa? tena mbele ya wanahabari na matukio yao kurushwa live?
Kwa hiyo unataka turudi enzi zile ulipoyaona maslahi yako sio.
 
Ama kweli mambo yamebadirika sana mpaka watu wamesahau majukumu yao. Leo viongozi wa vyama vya upinzani wataongea na watanzania kupitia vyombo vya habari. Jambo linalonitatiza ni pamoja na kwamba hii itakuwa mara ya kwanza kwa wapinzani hawa kuzungumzia mambo ya kitaifa tangu rais Samia aingie madarakani. Na kwa kuwa rais wetu hayupo nchini na kulingana na mtifuano mkali uliopo wa ripoti wa CAG na serikali ni nani ameruhusu watu hawa kuzungumzia mambo ya kitaifa? tena mbele ya wanahabari na matukio yao kurushwa live?
ibara ya 18 ya katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania ssiyo hisani ni takwa la katiba
 
Ama kweli mambo yamebadirika sana mpaka watu wamesahau majukumu yao. Leo viongozi wa vyama vya upinzani wataongea na watanzania kupitia vyombo vya habari. Jambo linalonitatiza ni pamoja na kwamba hii itakuwa mara ya kwanza kwa wapinzani hawa kuzungumzia mambo ya kitaifa tangu rais Samia aingie madarakani. Na kwa kuwa rais wetu hayupo nchini na kulingana na mtifuano mkali uliopo wa ripoti wa CAG na serikali ni nani ameruhusu watu hawa kuzungumzia mambo ya kitaifa? tena mbele ya wanahabari na matukio yao kurushwa live?

Hiyo ni ruhusa ya kikatiba. Ama bado uko kwenye hangover ya ule utawala wa kidhalimu?
 
Back
Top Bottom