Habari wanaJF,
Hoja: Ni either tumekuwa taifa la WANAFIKI zaidi au TUMEPOTEZA DIRA kabisa. Mh Rais hajarekebisha chochote.
Nimekuwa nikifuatilia mijadala hasa ktk mitandao ya wanajamii (Twitter, Insta na ktk majukwaa ya CCM) kwamba Mama amefanya vizuri, na kwamba sasa tupo sawa kama Taifa.
Mpaka wale wafuasi wa CHADEMA, Makamanda akina MalisaGJ wanashikilia bango kwamba Mama anawadunga sindano MATAGA.
Najiuliza swali, tumekuwa "LOW" kiasi hiki? Tena ghafla hivi? Why now people can't see things in a bigger picture?
Yupo humu mwanajukwaa mmoja alisema upinzani waangalie maana mama anaenda vizuri, kwamba ame win huruma ya Watanzania na kuwapa kupumua. Ndugu "The Boss", this is "TOO LOW".
Hivi kiongozi wa nchi ambaye ana login ktk mitandao ya nchi zingine (VPN) ndio awaandikie wananchi wake ujumbe huko Twitter, huyo ndiye aliyebadili mambo?! Kwamba huyu amewapa wananchi wake kupumua?
Kiongozi ambae anawatisha wa mitandaoni waziwazi mbele ya wawakilishi wao (BUNGE), ndiye ana tofauti na Hayati JPM?
Au kwa vile JPM alikuwa anamtishia #Kigogo, na huyu sasa anamtisha #Veronica???
Watu wanaoona tofauti hapo kama sio WANAFIKI; tuwaite vipi?
Ndugu zangu, uongozi wa Nchi ni mambo makubwa. Tena nashangaa sana kwa nini Mh. Rais anakubali hizi sifa hata zisizo na msingi. Hazimsaidii, Hazimjengi na kubwa zaidi haziliinui Taifa ktk chochote.
Rais wangu Ukisifiwa; jiulize, hii sifa inatatua nini kati ya UMASKINI, MARADHI au UJINGA kwa Wananchi wangu. Wewe ni mtu mkubwa sana, huna haja ya kuchukua sifa kama sisi akinaflani huku mtaani.
Now WANAFIKI wame switch into a new word "CHAWA". Yani kazi yake ni kumwaga sifa tu, wala hujamuomba. Ila anajua itamlipa kama si leo, basi kesho. JPM alikosea sana kulea "u-CHAWA"/ "UNAFIKI", na wewe wamekuingizia gia hiyo hiyo. Hata hao wanaotaka kukuletea "MATHA - MAke Tanzania Happy Again", wakatae. Tofauti yao na MATAGA ni ipi?
Rais wangu, Nchi yetu inahitaji mabadiliko makubwa sana.
Mabadiliko haya lazima yawe ya aina 3:-
1. Ya Kimfumo
2. Ya Kitaasisi
3. Ya Kiuwajibikaji
Hilo la #3, halihitaji hata muda mwingi Rais wangu, ukweli ilitakiwa tangu umeingia tuwe tumeshaona hilo la Kiuwajibikaji limeshafanyika kwa kasi kubwa.
Yale ya #Kimfumo na #Kitaasisi ndio maengi yanahitaji muda, fedha na ubadilishwaji wa sheria, n.k. Hapa tunakuelewa ukisema tunahitaji tukupe muda.
Una bahati mbaya kwamba hata yale ambayo mazuri ya JPM aliyosimama kidete kabisa, yameanza kulegalega.
Mfano, huku mtaani, wizi, ukibaka na ujambazi umeanza kushamiri kwa kasi.
Huko Kagera, kuna ndugu mmoja kakatwa mapanga na vibaka, anadai maeneo korofi ya wizi, doria zimelegea na sasa wanatamba. Kwamba enzi za JPM ulikuwa hukosi kuona Defender 'gari' za polisi zikiranda-randa usiku kucha ila sasa, utakutana na vibaka, wezi.
Huku Dar sasa vifaa vya magari, popote pale vinachomolewa kama kula bisi. Wewe ni shahidi, utakuwa umeona hata Afande Mambosasa alionesha vifaa. Wezi wanaruka hata ukuta na kuingia ndani.
Pata picha huko mbele tuendako, itakuwaje.
Uongozi wa nchi ni mambo makubwa, hizi sifa uchwara zitakushangaza siku ukikutana na vilio vya wananchi wako.
Matatizo ya nchi hii ni yaleyale, tangu Nyerere ayatangaze na sioni yakipungua
1. UJINGA, 2. MARADHI, na 3. UMASKINI.
Tuna mfumo wa AFYA wa ajabu sijawahi kuona. Mfumo kama wa "RUFAA ya Matibabu" kwa Tz ni wa ovyo sijawahi ona.
Mfumo na Utaratibu wa ELIMU Tz, ni wa kijinga sijwahi ona.
Mh. Rais unaogopa nini kuvunja-vunja mifumo hii.
Mimi nimesoma mambo ya "Kodi". Nilisikia unasema TRA wasitumie nguvu. Mh Rais kaulize wataalam wako, zile sheria za kodi, Income Tax Act, VAT Act, Tax Administration Act, na zile tunazoshea na Forodha, EAC Customs Management Act, n.k. Sheria zote zipo ktk mfumo wa "Altimatum".
Mama una Kazi Sana.