Ni nani aliyewaambia na kuwadanganya Wamisri kuwa wana umiliki wa 87% ya maji yote ya Mto Nile?

Cha kulaumu zaidi ni yule aliyetunyima akili, ni sawa na swala au pundamilia waanze kujilaumu huko porini kwa nini wanaliwa na Simba. That's nature my dear, lazima viumbe tutegemeane. Ulishawahi kujiuliza hivi hao wazungu kwa mfano waamue kuacha kuchukua dhahabu huku Afrika au madini mengine ambayo unasema yana thamani, utayafanyia nini? Hiyo thamani unayoiona wewe kwenye madini imesababishwa na hao wazungu la sivyo sisi tungekuwa tunayaona kama mawe tu.
 

Aisee! Unakumbuka kariakoo watu wanadondoka mpaka kufa, umesahau eti! Sema hivi wanaokufa hapa hatujui idadi yake kwa sababu takwimu hazitolewi. Nakushauri nenda kwenye hospitali kubwa hasa za serikali ukajionee wagonjwa wa corona walivyo wengi utashika kichwa kiongozi, acha kusikiliza maneno ya mtaani kwenye vijiwe vya kahawa na mitandaoni, nenda mwenyewe kajihakikishie utarudi kunishukuru.
 
Vita ya aina hiyo ikizuka Kenya, Uganda, Tanzania, Sudan tusimame na Ethiopia.
Maana wanachotaka kuleta Misri ni upuuzi

Huu sasa ni ubaguzi kisa wale ni waarabu, lakini umesahau hao pia ni waafrika.

Ili mambo yatuendee sawia tuachaneni na roho mbaya, chuki, na tusaidiane na tushirikiane kwa pamoja. Huu ndio ubinadamu na sio uhasama
 
Huu sasa ni ubaguzi kisa wale ni waarabu, lakini umesahau hao pia ni waafrika.

Ili mambo yatuendee sawia tuachaneni na roho mbaya, chuki, na tusaidiane na tushirikiane kwa pamoja. Huu ndio ubinadamu na sio uhasama
Ni wapi nimetaja waarabu au wafrika?
Wamisri wanataka kujimilikisha mto Nile, hiyo ni Tunu ya kila nchi ambayo mto huo umepita.
Kila nchi ina haki ya kutumia maji hayo.

Dhana ya ubaguzi ni yako.
 
Acha mambo yako kariakoo ya wapi!!!?? Lini watu walidondoka
 

Maisha hayendi unavyotaka wewe bosi, hata ukiwa raisi hutoweza kufanya hilo.
 
Huwa najiuliza nani aliwamilikisha Masri hiyo 87% nakosa jibu. Labda wajuzi wa history watatujuza.
Mikataba iliyosainiwa na wakoloni inaendelea kutafuna mpaka sasa,hao wamisri Wana haki miliki ya maji yaliyomo ziwa Viktoria pia.kutahitajika viongozi shupavu kutangua mikataba hiyo.
 
Mataifa ya Ulaya Magharibi wameununua huo mgogoro ili kuchonganisha mataifa ya Afrika yazidi kuchelewa kupiga hatua.

Ukiangalia sehemu bwawa la Ethiopia lilipojengwa ni kwenye tawi dogo la huo mto wala sio kwenye mto mama... Najiuliza kama huu mto unaanzia kwetu kwenye ziwa Victoria vipi tukiamua kuutumia kwa mambo makubwa tutafokewa?
 
Maisha hayendi unavyotaka wewe bosi, hata ukiwa raisi hutoweza kufanya hilo.
usichukulie serious mkuu,nachangamsha genge tu mkuu kwanza huo utakua ukatili Kwa binadamu wenzangu unaanzaje kuzuia maji Kwa watu wa jangwani wakati sisi tuna Kila Aina ya chanzo?
Hiyo itakua ni roho mbaya zaidi ya shetani Aisee!
 
Vita ya aina hiyo ikizuka Kenya, Uganda, Tanzania, Sudan tusimame na Ethiopia.
Maana wanachotaka kuleta Misri ni upuuzi
Hivi ikitokea vita Kati ya Misri Vs Ethiopia,Kenya, Uganda, Tanzania Na Sudan. Nani atashinda?
 
Hlf yeye Museven amefanya nini sio kwa Ajiri ya Afrika kwa Ajiri Uganda tu...
 
Makao makuu ya AU yamejengwa na mchina
Gadf ndio alikua sponsor mkubwa wa budget ya AU (mataifa wanachama wanalipia fees zao kwa kusuasua)
3. Sponsors wa AU hutakosa EU na WB
4. CDC-Africa mpk sasa hatujaona impact yake kwenye ishu ya COVID-19 mpaka tunaletewa covax
Nk nk nk
Kwa mtizamo wangu, si rahisi Afrika kusimama kwa kutegemea sera za nje za mabeberu
 
Hivi kwa mfano mtu ukaenda pale daraja la jinja uganda na kumwaga vifusi vya zege mto nile utaendelea kuwepo!?
Maji mengi ya Mto Nile yanatoka Ethiopia kwenye mto unaitwa Blue Nile amabao chanzo chake ni lake Tana iliyopo Ethiopia. Ziwa Victoria na tributaries zake zinatoa 20%
 
Huu sasa ni ubaguzi kisa wale ni waarabu, lakini umesahau hao pia ni waafrika.

Ili mambo yatuendee sawia tuachaneni na roho mbaya, chuki, na tusaidiane na tushirikiane kwa pamoja. Huu ndio ubinadamu na sio uhasama
Wa misri asilia sio warabu. Warabu ni wahamiaji na wagiriki ispkuwa warabu nfio watawala pale misri ila ni waafrika kweli hata damu tu nashare jwa asilimia fulani ila haki izingatiwe bila kujali rangi dini wala kabila.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…