Ni nani aliyewahi kuuelewa muziki wa Michael Jackson?

Ni nani aliyewahi kuuelewa muziki wa Michael Jackson?

Huu uzi uingizwe kwenye kitabu cha kumbukumbu kama uzi wenye maoni ya hovyo zaidi mwaka 2023.

Mj ndiye alileta mapinduzi ya watu weusi kupigwa regularly kwenye networks kubwa za wazungu kama MTV.

Bila Mj hao blacks uliowataja wangesubiri sana.

Mj ndiye mwanamuziki pekee alitamba kwenye jamii zote kuanzia marekani, kwa wahindi, wachina, waafrika... ( Bila social media )

Yaani ukisema MJ hajui ni sawa na useme Pele/Messi au Cr7 hawajui, inaonekana tu huna akili.
 
Earth Song from the album Bad released in 1987 was shot at the Tarangire National Park in Tanzania.

Source: East Africa News.
Sasa ndio maana nokasema sio Serengeti, wanaoihusudu Serengeti ni akina Kendrick Lamar ndio maana kwenye nyimbo yake ya High Power anasema

[Verse 1: Kendrick Lamar]
Visions of Martin Luther staring at me Malcolm X put a hex on my future, someone catch me I'm falling victim to a revolutionary song, the Serengeti's clone

Pia kuna ile ngoma ya Beyonce & Jigga inaitwa The Carters - Apeshit baba mule Jigga akataka kurap Kiswahili nilishtuka anasema

I'm a gorilla in the fuckin' coupe
Finna pull up in the zoo
I'm like Chief Keef meet Rafiki, who been lyin' king to you? (Woo)

Sasa akifika hapo kwenye rafiki unaona km jamaa anataka kurap Kiswahili
 
Huu uzi uingizwe kwenye kitabu cha kumbukumbu kama uzi wenye maoni ya hovyo zaidi mwaka 2023.

Mj ndiye alileta mapinduzi ya watu weusi kupigwa regularly kwenye networks kubwa za wazungu kama MTV.

Bila Mj hao blacks uliowataja wangesubiri sana.

Mj ndiye mwanamuziki pekee alitamba kwenye jamii zote kuanzia marekani, kwa wahindi, wachina, waafrika... ( Bila social media )

Yaani ukisema MJ hajui ni sawa na useme Pele/Messi au Cr7 hawajui, inaonekana tu huna akili.
Yule jamaa angezaliwa zama za social media sijui ingekuwaje asee
 
Yes, Beyonce anajua kuwakomesha paparazi, kwanza ana miaka mingi hajafanya interview, haoneshi private life yake, anawaonesha watu kazi zake tu, ila nasikia ana rekodi kila kitu anachofanya siku akifa videos zitauzwa, mfanyabiashara yule ameamua atengeneze hela hata akiondoka, lol

Virgos wenzangu hao[emoji3059]
Kwa Beyonce kila kitu ni business ndio maana wanasema ni ngumu sana hata kuachana na Jay z kwa sababu ile ndoa ni business patnership zaidi 🤣🤣
 
Mimi huwa naamini kutomkubali kwangu msanii haimaanishi hawezi, pengine mimi tu sio mpenzi wa nyimbo zake. Ni kweli kwa wakati ule hakuwazidi wengi ila haya mambo yanachangiwa na vitu vingi

Mfano diamond anaimba kawaida ila anawazidi wenzake kucheza, akili ya biashara nk

Kwa umri wangu sio mtu wa team ila nasema hata Kiba aandike vizuri vipi hata wewe unakubali kwamba hamzidi Diamond katika biashara na kumiliki jukwaa.

Ofcoz tunahitaji uandishi mzuri ila kuna wakati tunahitaji burudani tu, so tuondolee mambo yako ya uandishi mzuri

Ndio maana mandonga sio bondia lakini watu wanafurahia burudani yake tu.
 
Kuna mtu huwa namkumbuka nikisikiliza huu mguso She's out of my life She's out of my life And I don't know whether to laugh or cry I don't know whether to live or die And it cuts like a knife She's out of my life It's out of my hands It's out of my hands To think for two years she was here And I took her for granted I was so cavalier Now the way that it stands She's out of my hands So I've learned that love's not possession And I've learned that love won't wait Now I've learned that love needs expression But I learned too late She's out of my life She's out of my life Damned indecision and cursed pride Kept my love for her locked deep inside And it cuts like a knife She's out of my life
 
kwahiyo MJ na dula makabila unamuelewa zaidi dula makabila
 
Za jioni ndugu zangu, kwema?

Michael Jackson enzi za uhai wake alikuwa msanii maarufu na tajiri kuliko msanii yeyote hapa duniani.

Lakini pamoja na hizo sifa mbili kubwa nilizozitaja, kwangu mimi naona kuwa jamaa alibebwa na nyota tu kama ilivyo kwa Diamond, ila kiuimbaji au utungaji jamaa hakuwa anatunga au kuimba nyimbo zozote za maana.

Em fikiria Michael Jackson alikuwa na uwezo gani wa kutunga nyimbo nzuri na za maana kushinda wasanii kama Lionel Richie, Steven Wonder, Phil Collins, au mademu kama vile Whitney Houston, Celine Dion, Shania Twain nk.

Labda aliwashinda kwenye kucheza kama vile kusimamia kucha, kuteleza sakafuni, mabreka nk. Lakini kwenye tungo iwe za mapenzi, kijamii nk Michael alikuwa mweupe tu kama ilivyo kwa Diamond kuonekana anajua na kupata umaarufu wa ndani na nje zaidi ya wakongwe wa mziki kama vile kina Nature, Afande Sele, Kiba, Barnaba na wakongwe wengine mbali mbali.

Sijajua hili linatokana na nyota kweli au kuna namna tu media zinaamua kukubeba kwa lengo fulani.

Kwa kweli mpaka sasa sijauelewa mziki au wimbo uliomfanya Michael Jackson apendwe na kuitwa mfalme. Mwenye uelewa zaidi wa nyimbo zake aje atuambie.

Futa uzi wako maoema,yaani pop unashindanisha na matakataka yako hayo? Unaonekana mtoto sana na akili huna usirudie tena kuonesha upupu wako hapa ,hivi unamjua Michael jakson au umesimuliwa wewe??mfano wako ni sawa umlinganishe Bob maley na Lil wine,miziki miwili tofauti.
 
Za jioni ndugu zangu, kwema?

Michael Jackson enzi za uhai wake alikuwa msanii maarufu na tajiri kuliko msanii yeyote hapa duniani.

Lakini pamoja na hizo sifa mbili kubwa nilizozitaja, kwangu mimi naona kuwa jamaa alibebwa na nyota tu kama ilivyo kwa Diamond, ila kiuimbaji au utungaji jamaa hakuwa anatunga au kuimba nyimbo zozote za maana.

Em fikiria Michael Jackson alikuwa na uwezo gani wa kutunga nyimbo nzuri na za maana kushinda wasanii kama Lionel Richie, Steven Wonder, Phil Collins, au mademu kama vile Whitney Houston, Celine Dion, Shania Twain nk.

Labda aliwashinda kwenye kucheza kama vile kusimamia kucha, kuteleza sakafuni, mabreka nk. Lakini kwenye tungo iwe za mapenzi, kijamii nk Michael alikuwa mweupe tu kama ilivyo kwa Diamond kuonekana anajua na kupata umaarufu wa ndani na nje zaidi ya wakongwe wa mziki kama vile kina Nature, Afande Sele, Kiba, Barnaba na wakongwe wengine mbali mbali.

Sijajua hili linatokana na nyota kweli au kuna namna tu media zinaamua kukubeba kwa lengo fulani.

Kwa kweli mpaka sasa sijauelewa mziki au wimbo uliomfanya Michael Jackson apendwe na kuitwa mfalme. Mwenye uelewa zaidi wa nyimbo zake aje atuambie.

Trust me mkuu,Kuna watu mmeumbwa kukera watu,hv unaweza mfananisha MJ na hao watu uliowataja seriously!!!?.watoto wa 2000's mnakera.
 
Michael Jackson alikuwa na uwezo gani wa kutunga nyimbo nzuri na za maana kushinda wasanii kama Lionel Richie, Steven Wonder, Phil Collins, au mademu kama vile Whitney Houston, Celine Dion, Shania Twain nk.
Naomba nitajie mmoja kati ya hao uliowataja au wengine ambaye alikuwa na uwezo wa kuvheza style kama slide walk, moon walk ambazo hadi ss zinatamba.

Uniqueness ya Wacko Jacko, MJ na Majina mengine unayoweza kumwita ni pamoja na frequently realising best and loved songs, creativity ya dancing style, creativity kwenye videos na theatres, voice, dressing etc....Kazi za MJ zilijaa ubunifu.

Huuezi elewa muziki wake kwa kizazi chako, give space and respect kwa legends wa kipindi hicho. But the truth is that mfano style mavazi na dancing ambayo alitumia those era ndo kina Burner Boy na Kiz Daniel (nimewataja unaowajua) ndo wanatumia sasa.

Hebu imargine ngoma kama human nature na heal of the world, Bill Jean, Dangerous na nyingine nyingi unaeza fananisha na ngoma gani dogo?

Mpe heshima yake kama hukubali endelea na kina Dogo Asley unaowaelewa!
 
Ndomaana nikasema kuwa kwa hili la kucheza kwa kuteleza sakafuni zamani tulikuwa tunaita "mabreka" yuko vizuri ila kwa tungo ni taaban ukilinganisha na hao niliowataja.
 
Back
Top Bottom