Ni nani aliyewahi kuuelewa muziki wa Michael Jackson?

Ni nani aliyewahi kuuelewa muziki wa Michael Jackson?

Kweli kabisa. Jamaa kama Diamond anazuga na vimaneno vyake viwili vitatu anateleza kwa sana.

Tayari anaiteka dunia na kumtajirisha bila jasho.
Hebu sikiliza ngoma zifuatazo za MJ kwa moyo mkunjufu, Tena kwenye Bufa halafu uangalie videos zake na shows zake ndio utajua MJ ni Nani:

  • Black or white
  • Thriller
  • They don't care about us
  • The way you make me feel
  • Beat it
  • Heal the world
  • You are not alone
  • Earth song
  • We are the world
  • Hold my hand
  • Will you be there?
==========




 
Sweet Personality indeed,
Yaan kalikua kamtu fulani hivi unaweza ukasema yote akiwa hayupo ukikaona maneno yote yanaisha, alikua ana aibu sanaaaa, hua sichoki kuangalia documentaries zake.
Sanaa na kwa sasa mwenye hiyo trait ni beyonce. Powerful introverts
 
We jamaa bhana, hebu kasikilize nyimbo kama cry na stranger in moscow. hapo sijataka kukutajia thriller, billie jean, we are the world, earth song, liberian girl, black or white, remember the time, bat il, dirty diana, give in to me....
 
Hakurudi hadi KESHO ile Earth song sio bongo, mengine yote umesema sahihi Mimi nlifupisha story tu
Kwani ni lazima ujifanye unajua wakati hujui?
Bro, sio kila kitu lazima uweke neno wakati mwingine jifunze kutulia na ujifunze,

Screenshot_20230121-112814_Chrome.jpg
 
Tafuta Documentary ya Show zake utaelewa kwanin bwana Wako Jacko kwanini alijiita Jina la kimakonde

Wako kwa kimakonde maana yake Wewe
Jacko ni kifupi cha Jackson kwa pamoja maana yake ni Wewe Jackson kuna nyimbo yake moja inaitwa Liberian Girl mule kaimba Kiswahili "Nakupenda pia Nakutaka pia Mpenzi weeee", na bongo alipotua Dar aliishia Airport JNIA kipindi hicho ilikua haiitwi hivyo, akarudi kwao akasema bongo kuna stink yaan bongo kuna nuka,

Aliekua anamfuatia kwa Show kali ni Celine Dion
acha uongo, alifika mpaka ikulu na kupiga story na mwinyi. na kuna vipande kwenye video ya earth song inadaiwa vilishutiwa serengeti.
dsa.jpg
 
Sanaa na kwa sasa mwenye hiyo trait ni beyonce. Powerful introverts
Yes, Beyonce anajua kuwakomesha paparazi, kwanza ana miaka mingi hajafanya interview, haoneshi private life yake, anawaonesha watu kazi zake tu, ila nasikia ana rekodi kila kitu anachofanya siku akifa videos zitauzwa, mfanyabiashara yule ameamua atengeneze hela hata akiondoka, lol

Virgos wenzangu hao[emoji3059]
 
Haujanielewa mbon nmeshalielezea hili mimi nilifupisha story aisee kuna tatizo gani kwani? Unadhani Mimi sijui km alionana na mwinyi na hio picha siijui au?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa hiyo ukaona useme aliishia Airport na kusema Tz inanuka ili ufupishe story lakini ulijua kua alifika Dar na kwenda hadi Ikulu kuonana na Rais Mwinyi,
Umenichekesha kweli.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa hiyo ukaona useme aliishia Airport na kusema Tz inanuka ili ufupishe story lakini ulijua kua alifika Dar na kwenda hadi Ikulu kuonana na Rais Mwinyi,
Umenichekesha kweli.
Babu nilifupisha story tu Mambo yasiwe mengi Wako Jacko hakutaka Mambo mengi pia,
 
Back
Top Bottom