Randy orton
JF-Expert Member
- Apr 29, 2019
- 1,338
- 3,561
Earth Song from the album Bad released in 1987 was shot at the Tarangire National Park in Tanzania.Hakuna palipoandikwa Serengeti, au km umepaona nionyeshe? Si unasema Mimi muongoView attachment 2489883
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan hapo watashuka nawee mzima mzima lolnasubiri kuuwawa na JUSTICE SOCIETY mana nmechokoza CIA
Sasa ndio maana nokasema sio Serengeti, wanaoihusudu Serengeti ni akina Kendrick Lamar ndio maana kwenye nyimbo yake ya High Power anasemaEarth Song from the album Bad released in 1987 was shot at the Tarangire National Park in Tanzania.
Source: East Africa News.
Yule jamaa angezaliwa zama za social media sijui ingekuwaje aseeHuu uzi uingizwe kwenye kitabu cha kumbukumbu kama uzi wenye maoni ya hovyo zaidi mwaka 2023.
Mj ndiye alileta mapinduzi ya watu weusi kupigwa regularly kwenye networks kubwa za wazungu kama MTV.
Bila Mj hao blacks uliowataja wangesubiri sana.
Mj ndiye mwanamuziki pekee alitamba kwenye jamii zote kuanzia marekani, kwa wahindi, wachina, waafrika... ( Bila social media )
Yaani ukisema MJ hajui ni sawa na useme Pele/Messi au Cr7 hawajui, inaonekana tu huna akili.
Kwa Beyonce kila kitu ni business ndio maana wanasema ni ngumu sana hata kuachana na Jay z kwa sababu ile ndoa ni business patnership zaidi 🤣🤣Yes, Beyonce anajua kuwakomesha paparazi, kwanza ana miaka mingi hajafanya interview, haoneshi private life yake, anawaonesha watu kazi zake tu, ila nasikia ana rekodi kila kitu anachofanya siku akifa videos zitauzwa, mfanyabiashara yule ameamua atengeneze hela hata akiondoka, lol
Virgos wenzangu hao[emoji3059]
Umeona eenh sidhani kama amemfuatilia kwenye kibao kama thriller. Kanapenda kaonekane tofauti, upuuzi mtupu.Basi tu eti unataka uonekane upo tofauti
Heal the World [emoji106]Ukitaka kujuwa Michael Jackson alikuwa anaimba nini,,
Tafuta wimbo uliopigwa na world music all stars,,
We are the world
*Sauti tamu kuliko zote utakayoisikia *,,
That will be Michael Jackson
The wacko Jacko
Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
Futa uzi wako maoema,yaani pop unashindanisha na matakataka yako hayo? Unaonekana mtoto sana na akili huna usirudie tena kuonesha upupu wako hapa ,hivi unamjua Michael jakson au umesimuliwa wewe??mfano wako ni sawa umlinganishe Bob maley na Lil wine,miziki miwili tofauti.Za jioni ndugu zangu, kwema?
Michael Jackson enzi za uhai wake alikuwa msanii maarufu na tajiri kuliko msanii yeyote hapa duniani.
Lakini pamoja na hizo sifa mbili kubwa nilizozitaja, kwangu mimi naona kuwa jamaa alibebwa na nyota tu kama ilivyo kwa Diamond, ila kiuimbaji au utungaji jamaa hakuwa anatunga au kuimba nyimbo zozote za maana.
Em fikiria Michael Jackson alikuwa na uwezo gani wa kutunga nyimbo nzuri na za maana kushinda wasanii kama Lionel Richie, Steven Wonder, Phil Collins, au mademu kama vile Whitney Houston, Celine Dion, Shania Twain nk.
Labda aliwashinda kwenye kucheza kama vile kusimamia kucha, kuteleza sakafuni, mabreka nk. Lakini kwenye tungo iwe za mapenzi, kijamii nk Michael alikuwa mweupe tu kama ilivyo kwa Diamond kuonekana anajua na kupata umaarufu wa ndani na nje zaidi ya wakongwe wa mziki kama vile kina Nature, Afande Sele, Kiba, Barnaba na wakongwe wengine mbali mbali.
Sijajua hili linatokana na nyota kweli au kuna namna tu media zinaamua kukubeba kwa lengo fulani.
Kwa kweli mpaka sasa sijauelewa mziki au wimbo uliomfanya Michael Jackson apendwe na kuitwa mfalme. Mwenye uelewa zaidi wa nyimbo zake aje atuambie.
Ingekuwa balaa.Yule jamaa angezaliwa zama za social media sijui ingekuwaje asee
Trust me mkuu,Kuna watu mmeumbwa kukera watu,hv unaweza mfananisha MJ na hao watu uliowataja seriously!!!?.watoto wa 2000's mnakera.Za jioni ndugu zangu, kwema?
Michael Jackson enzi za uhai wake alikuwa msanii maarufu na tajiri kuliko msanii yeyote hapa duniani.
Lakini pamoja na hizo sifa mbili kubwa nilizozitaja, kwangu mimi naona kuwa jamaa alibebwa na nyota tu kama ilivyo kwa Diamond, ila kiuimbaji au utungaji jamaa hakuwa anatunga au kuimba nyimbo zozote za maana.
Em fikiria Michael Jackson alikuwa na uwezo gani wa kutunga nyimbo nzuri na za maana kushinda wasanii kama Lionel Richie, Steven Wonder, Phil Collins, au mademu kama vile Whitney Houston, Celine Dion, Shania Twain nk.
Labda aliwashinda kwenye kucheza kama vile kusimamia kucha, kuteleza sakafuni, mabreka nk. Lakini kwenye tungo iwe za mapenzi, kijamii nk Michael alikuwa mweupe tu kama ilivyo kwa Diamond kuonekana anajua na kupata umaarufu wa ndani na nje zaidi ya wakongwe wa mziki kama vile kina Nature, Afande Sele, Kiba, Barnaba na wakongwe wengine mbali mbali.
Sijajua hili linatokana na nyota kweli au kuna namna tu media zinaamua kukubeba kwa lengo fulani.
Kwa kweli mpaka sasa sijauelewa mziki au wimbo uliomfanya Michael Jackson apendwe na kuitwa mfalme. Mwenye uelewa zaidi wa nyimbo zake aje atuambie.
Naomba nitajie mmoja kati ya hao uliowataja au wengine ambaye alikuwa na uwezo wa kuvheza style kama slide walk, moon walk ambazo hadi ss zinatamba.Michael Jackson alikuwa na uwezo gani wa kutunga nyimbo nzuri na za maana kushinda wasanii kama Lionel Richie, Steven Wonder, Phil Collins, au mademu kama vile Whitney Houston, Celine Dion, Shania Twain nk.
Ndomaana nikasema kuwa kwa hili la kucheza kwa kuteleza sakafuni zamani tulikuwa tunaita "mabreka" yuko vizuri ila kwa tungo ni taaban ukilinganisha na hao niliowataja.Naomba nitajie mmoja kati ya hao uliowataja au wengine ambaye alikuwa na uwezo wa kuvheza style kama slide walk, moon walk ambazo hadi ss zinatamba.
Uniqueness ya Wacko Jacko, MJ na Majina mengine unayoweza kumwita ni pamoja na frequently realising best and loved songs, creativity ya dancing style, creativity kwenye videos na theatres, voice, dressing etc....Kazi za MJ zilijaa ubunifu.
Huuezi elewa muziki wake kwa kizazi chako, give space and respect kwa legends wa kipindi hicho. But the truth is that mfano style mavazi na dancing ambayo alitumia those era ndo kina Burner Boy na Kiz Daniel (nimewataja unaowajua) ndo wanatumia sasa.
Hebu imargine ngoma kama human nature na heal of the world, Bill Jean, Dangerous na nyingine nyingi unaeza fananisha na ngoma gani dogo?
Mpe heshima yake kama hukubali endelea na kina Dogo Asley unaowaelewa!